Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kawe mpya, na Bishop. Gwajima
 
Kheri James na mjomba wake wamesema hadharani kuwa usipochagua CCM maendeleo hawaleti na la kuwafanya hatuna.

Mwaka huu tunawajibu kuwa Rais, Mbunge na Diwani watatoka upinzani na maendeleo yatakua kwa wote.
Well said kuhusu mabarabara na MAENDELEO wakawaulize ccm kawe...
 
Kawe mpya, na Bishop. Gwajima
Kweli kabisa mkuu.
Hata vitabu vya dini vimesema , mti usiozaa utakatwa na matawi kutupwa motoni.
Kuna mataahira wanamg’ang’ania huyu Mdee pamoja na kushindwa kazi kwa miaka 10.
Halima akatwe na kutupwa motoni!
 
Ccm ni chama dhaifu sana na wana mzee wao pasua kichwa zaidi, hafai hata kuumangia
 
Kwakuzingatia MITHALI 26:4 nimeona ni bora nikuache kwasababu watu watashindwa kutu tofautisha. This matter is now closed!
Ni ya kijinga au si ya kijinga mnaonyesha uzuzu na ufala ule Mkapa aliuita ulofa!
Mnalishabikia jike tasa la maendeleo utafikiri mnanyonyeshwa maziwa.
10 years enough is enough!
Halima out!
Gwajima in!
 
Huyo huyo, baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hatuchgui personalities tunataka mru atakayeta barabara, kazi ambayo Halima Mdee Kashindwa.

Huu ni ujinga waliokatalia pesa za maendeleo wamesema hadharani achene kumtungiamakosa Mdee. hakuna mbunge hata mmoja aliyewahi kujenga barabara kwa pesa zake. Hizi tabiaza kishamba za kutumia pesa za kodi zetu kwa ubaguzi na upendeleo ndilolinaloiumiza sasa hivi CCM. Badala ya kujirekebisha ndio wanazidi kupalilia hasira za wananchi. Hiki chama hakijawahikuwa unpopular kwakiasi hiki and it is getting worse.
 
We si umesema wabunge ndio wanao jenga barabara? Sasa hao wameshindwaje kujenga barabara majimboni kwao tena ni hoi bin taabani kuliko huko Cow Way. F2 ni elimu kubwa sana mkuu. We unafikiri elimu ni madarasa mengi au vyeti vingi?

Elimu ni uwezo na kuna tofauti kubwa kati ya akili na elimu. Unaweza kuwa na elimu halafu ukawa huna akili. Ndiyo maana mtu anaweza kuwa na Phd (sija sema Phd fake ya maganda ya korosho) lakini ukimsikiliza anavyo ongea ma maamuzi yake utagundua wa darasa la saba yupo vizuri zaidi
Mkuu naona unabishana kama mtu uliyekula madawa ya kulevya.
Nimefuatilia arguments zako hazina mashiko.
Inaelekea una mapenzi tu na Halima.
Kitu gani usichoelewa hapa, mtu kakaa miaka 10 bila maendeleo ya kujivunia.

Mtu akishindwa kuishawishi serikali kuwekeza jimbo lako mnamuweka wa nini?
Kwani dhahabu huyo Halima.
Kyela wamefanya kweli, kwa kutoridhishwa na uwezo wa serikali kuwekeza Kyela, Mwakyembe wamemfutilia mbali, tena wana CCM wenzake.
Itakuwa Halima Mdee?
Mna mapenzi naye kayafanyeni huko sirini!
 
Yani tumchague pornstar? Mcheza x? Kawe unatuonaje wewe!? Kwanza Halina Ni jembe kwa kawe na nchi nzima. Magu anafanya hila hapeleki maendeleo sehemu walipochagua upinzani na kasema live, na sisi tunasema hatupangiwi! Yani tulipigie li pornstar kisa magu kasema? Ndo ataleta maendeleo ,huo ubaguzi na chuki. Ata afanyaje hatumchagui yeye wala huyo mzee.
 
WEWE NI MJINGA TU FULANI, NANI KAKWAMBIA SISI WANAKAWE MAENDELEO ATATULETEA GWAJIMA?PUMBAV.
We unakaa mabondeni tu mto Mbezi, na ni wale wa sebule zinakaa na kuelekea vyoo passport size.
Na hapo ulipo si ajabu una harufu ya uharo wa jirani yako.
Unahitaji barabara za nini?
 
We unakaa mabondeni tu mto Mbezi, na ni wale wa sebule zinakaa na kuelekea vyoo passport size.
Na hapo ulipo si ajabu una harufu ya uharo wa jirani yako.
Unahitaji barabara za nini?
NDO MAANA NIKAKWAMBIA WEWE NI MJINGA NA LOFA MKUBWA, NANI KAKUAMBIA SISI WATU WA MBEZI TUNAHITAJI KUSAIDIWA NA GWAJIMA KUWA NA BARABARA? ONDOA UJINGA WAKO HAPA PELEKA FACEBOOK MSUKULE MKUBWA!
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.

Kwa tulioiva kidemokrasia tutachagua tunaye mtaka bila kujali hayo unayoyasema kwani tumesikia wananchi wakiambiwa wakichagua vyama vingine mbali na CCM wataadhibiwa kwa style hiyo. Kabla ya conclude, tuambie wabunge na madiwani wa maeneo hayo yenye lami mpaka uchochoroni ni wa vyama gani? Mwananchi ndio anayejiletea maendeleo kwani ndio mlipa kodi, sasa kama apelekewi matokeo ya kodi yake, basi ujue serikali iliyopo madarakani imekosa uhalali.
 
NDO MAANA NIKAKWAMBIA WEWE NI MJINGA NA LOFA MKUBWA, NANI KAKUAMBIA SISI WATU WA MBEZI TUNAHITAJI KUSAIDIWA NA GWAJIMA KUWA NA BARABARA? ONDOA UJINGA WAKO HAPA PELEKA FACEBOOK MSUKULE MKUBWA!
Uko mabondeni wewe,na unanuka uharo.
Una kawaida ya watu wasiostarabika na huwezi kukaa Mbezi.
Pili Mbezi inaishi watu wapenda maendeleo siyo vipimbi vinavyoshabiki sketi tasa wa maendeleo, kama nyie viburushuti..
 
Kwa tulioiva kidemokrasia tutachagua tunaye mtaka bila kujali hayo unayoyasema kwani tumesikia wananchi wakiambiwa wakichagua vyama vingine mbali na CCM wataadhibiwa kwa style hiyo. Kabla ya conclude, tuambie wabunge na madiwani wa maeneo hayo yenye lami mpaka uchochoroni ni wa vyama gani? Mwananchi ndio anayejiletea maendeleo kwani ndio mlipa kodi, sasa kama apelekewi matokeo ya kodi yake, basi ujue serikali iliyopo madarakani imekosa uhalali.
Chagua mtu atakayeleta maendeleo.
Huyu Halima aliyepo kashindwa vibaya na baada ya miaka 10 hana cha kuonyesha hasa upande wa barabara.
Barabara ndio kigezo rahisi cha wananchi kukagua maendeleo ya Jimbo.
Kuna maji, shule, viwanja vya michezo na kadhalika.
Halima kashindwa , hafai hata kuwa mbegu!
 
Yani tumchague pornstar? Mcheza x? Kawe unatuonaje wewe!? Kwanza Halina Ni jembe kwa kawe na nchi nzima. Magu anafanya hila hapeleki maendeleo sehemu walipochagua upinzani na kasema live, na sisi tunasema hatupangiwi! Yani tulipigie li pornstar kisa magu kasema? Ndo ataleta maendeleo ,huo ubaguzi na chuki. Ata afanyaje hatumchagui yeye wala huyo mzee.
Mdee hata u pornstar hawezi!
Upo hapo!
 
Amfifiro ameshindwa kuwajengea waumini wake kanisa zuri kwa miaka karibu 20 licha ya kukusanya sadaka wanasalia kwenye mabati hadi leo hii ndio ataweza kuleta maendeleo Kawe? charity starts at home
 
Back
Top Bottom