Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura
Na anaeamua kuzitoa hizo rasilimali ni nani? Mtoa hizo rasilimali asipotaka kuzitoa huyo mpigania anafanya nini? Kwa tabia za kiafrika jimbo likiwa la uoinzani basi maendeleo hayaletwi au huletwa taratibi mno kama ni fundisho. Amka Mtanzania!!!
Halima hawzi kitu.Wewe ndiyo una Akili za kuku huna kumbukumbu kuwa Halima hushawishi vizuri lakini hukwamishwa na wajinga wenzako wa CCM kwa makusudi
Halima ni oppurtunist , hana chochote wala lolote.[emoji3][emoji3][emoji3]
Halima miongoni mwa mambo yaliyomfanya watu kumkinahi na kumchoka ni pamoja na tabia yake ya kutelekeza wananchi mara tu baada ya uchaguzi Mkuu !
Yani akishapewa kura na kushinda Basi kuonana majaliwa [emoji108][emoji108] hadi kipindi cha Campaign ya uchaguzi Mkuu mwingine baada ya miaka 5
Yani ameshindwa hata kutembelea wananchi kujua changamoto na matatizo yanayowakabili , kuwapa mrejesho wa yatokanayo, kuwatia moyo wananchi, n.k
Hayo yalikuwa ndani ya uwezo wake wala hajazuiliwa na serikali [emoji108][emoji108]
Sasa mambo ya kumtupa jongoo na mti wake nani anayataka?!
Halima hata yeye mwenyewe nafsi yake inamshuhudia kuchoka na kuchokwa !
Aende huko Bawacha ambako nako Safari hii ni majaliwa kupata maana itategemea na mwandamo wa mwezi!
Halima ni kama ng’ombe tasa.Wewe kunywa chai na Gwajima amekupa vicent umelewa njaa zako zisikufanye uamini kuwa Gwajima ni bora
Hakuna cha buku saba wala Mataga.Hivi nyinyi mataga buku saba Lumumba Ni wazima kweli vichwani ? Miaka kumi Halima Mdee ndio alikuwa anakusanya kodi ? Waulize waliokuwa wanakusanya Kodi kwa miaka kumi wamezifanyia nini? Pimbi mkubwa wewe .
Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura
Labda kwa uchakachuaji siyo kwa sanduku la kura
Inategemea na maana gani unayoijua ni maendeleo? Anza na kamusi kisha vitabu na hata internet na jifunze nini maana ya maendeleo yao nchi na vipi maendeleo ya nchi na wananchi yanapimwa. Halafu rudi hapa na point za nguvu badala ya kushutumu kuwa nimeropoka.Unaropoka tu. Arusha mbunge aliyemaliza muda wake chama gani ? Hujui kilichofanyika? Dar wabunge waliomaliza muda wao wengi chama gani ? Hujui nini kinafanyika pale?
Maeneo mengi tu hata Mbeya . Acha kuropoka na kupandikiza chuki ya kibaguzi. Acha kabisa