Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

Hamia Burundi kama unaona vipi, yule dikteta wenu wa Chato kafa na kama unampenda zaidi nenda kazikwe naye siye twala nchi,ni zamu yetu sasa.Tumevuta hela na tunaendelea kula pesa nyie wananchi mnaojiita wanyonge pambaneni na hali zenu.Mnategemea sisi wanasiasa wapinzani tuwatetee? Kwa lipi yaani,tozo ni lazima ziwepo na ni lazima ziongezwe maana serikali haina shamba itapata wapi mapato?Mama Samia na Serikali yake ya awamu ya sita imefanya mengi sana mazuri ndani ya kipindi kifupi mno cha uongozi na inaendelea kufanya mengi ila kuna wachache wanaojifanya kutoona.Mama Samia chapa kazi,siku moja watakuelewa.
 
Na hili pia mkalitizame
 
Toa ushahidi wa haya usemayo
 
Unajifanya unajua wakati hujui kitu chochote kuhusu sensa ya mwaka huu. , mada imekuzidi hii ndio maana unadhani ninapo sema vifaa wewe unajua tablet tuu kwani nani asiyejua kuwa sensa ya mwaka huu wanatumia vishikwambi?
Ungejua usingebwabwaja! Nimeshiriki sensa tangu ya 1988 bwashee na akina Mzee Ngalaba kama hujui
 
40k per day country wide
 
nikweli IAM one of them ninaloishi na nilipopangwa kusimamia ni zaidi ya 50 kilometers then ushagoo rough road no transport no payments daah kazi ipo
 
NENO KUBWA SANA... Mzilankende miyago kichwan hakika alijitosheleza,na palipo na ugumu alitafuta watu nje ya ya system wamsaidie ili asipigwe..
Kifupi Mzilankende alikaa kishamba kimuonekano na kimatamshi ILA kichwani alikuwa vizuri sana
 
Sema kiukweli wakuu.. bila kudanganyana sahii nnchi inaonekana kupoteza dira vibaya mno na wananchi wenyewe sasa wanaisshia kubweka mitandaoni tuu..

No wonder Kenya hapa wanatuona sisi ni viazi.. yani tumekubali ujinga ilituishi kwa amani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka sasa vifaa vingne bado havijafika eneo la kazi..chukulia mpaka jana fomu za kujaza watu waliolala gesti hazikuwepo? Haya leo utawapataje waliolala jana gesti na mahotelini...? Hii ngoma hawajiandaa kabsaa

Alafu anatokea mpuuzi mmoja anakwambia unahitaji kifaa gani nje ya tablets..?
 

polokwane mkuu acha kulia namna hiyo [emoji16][emoji16] mama anaukung’uta mwingi !!! CCM oyeeeeee !!! Dadadeki !!!
 
Kwa sasa watanzania wengi wameamua kujiliwaza kwenye mpira na mziki ili kujiliwaza baada ya nchi Yao kuwa ngumu
 
Ni kula kwa urefu wa kamba,mpaka tufike 2025,tutajua huyu mama hakuna kitu,hawezi uongozi,ni janga kwa nchi yetu,huyu ilibidi awe mwenyekiti wa NGO,au kata tu,sasa uraisi,ni shida tupu.
 
Watu wengi hawajahesabiwa kwa siku ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…