Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Hamia Burundi kama unaona vipi, yule dikteta wenu wa Chato kafa na kama unampenda zaidi nenda kazikwe naye siye twala nchi,ni zamu yetu sasa.Tumevuta hela na tunaendelea kula pesa nyie wananchi mnaojiita wanyonge pambaneni na hali zenu.Mnategemea sisi wanasiasa wapinzani tuwatetee? Kwa lipi yaani,tozo ni lazima ziwepo na ni lazima ziongezwe maana serikali haina shamba itapata wapi mapato?Mama Samia na Serikali yake ya awamu ya sita imefanya mengi sana mazuri ndani ya kipindi kifupi mno cha uongozi na inaendelea kufanya mengi ila kuna wachache wanaojifanya kutoona.Mama Samia chapa kazi,siku moja watakuelewa.