Miaka 10 ndani ya JF

Mkuu ubarikiwe
Izo connections za biashara usitusahau na sie basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni connections gani za biashara hizo jamani? Maana kila mtu anataka haya na mimi nataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kinachoandikwa. Nafikiri wengi wanafikiri connection utaitwa uambiwe njoo fanya abc utapata D. It doesn't work that way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…