Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] pacha unanilisha manenoUmeambiwa badili avatar
Faida kubwa ni kuchangia JF, pili ni ile kujua kuwa mwenzetu sio Senior Member tena ni Platinum
Dah...Ndivyo nilivyo mkuu .. 😎Umeambiwa badili avatar
Aah watu wengine ni wabishi tu... Sasa bandiko lako lina tatizo gani?Sina kipaji cha uandishi. Miaka 10 jf pia haijanipa kipaji cha uandishi.
Huyo jamaa kwenye avatar kavuta juzi juzi mkuu, badili
Duh mi mwenyewe hadi hivi sasa nmesoma hivohivoMacho yangu yalikua na shida gani!! siku zote nilikua nasoma hii ID kama PRONDO na sio RRONDO. Nashindwa na kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku mbili zilizopita RRONDO nimetimiza miaka kumi ndani ya JF. Wengi huwa wanauliza kwanini nimejiita RRONDO ni Rajon Rondo ambae nilikuwa nafananishwa nae kwenye basketball court.
Katika miaka hii 10 sijawahi kupigwa ban na haina maana ni mtakatifu basi tu inatokea. Nimepata marafiki wengi sana,connections za biashara kibao. Kifupi nilipojiunga JF mpaka leo nimepiga hatua.
Kiukweli nilijiunga 2006 au 7 enzi za Jambo Chat kama sijakosea, baadae mhusika mkuu akanishawishi nijiunge forum kwani kuna mijadala mizuri.
Ile ID ya enzi hizo niliiacha kwasababu nilijilipua sana kwasababu ya ujana. Ila Maxence Melo inabidi sasa niwe Platinum member kwani shingapi?
Happy New year everyone
AminaMkuu ubarikiwe
Izo connections za biashara usitusahau na sie basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina
Kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kinachoandikwa. Nafikiri wengi wanafikiri connection utaitwa uambiwe njoo fanya abc utapata D. It doesn't work that way.Kwani ni connections gani za biashara hizo jamani? Maana kila mtu anataka haya na mimi nataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app