Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Unabahat ajira hujappteza. Kuna rafiki angu hapa alikuwa accacia. Milion moja kwake ilikuwa sio pesa. Anatumia wanawake atakavyo. Akatumbuliwa sasa hivi kawa dalali na anaish kwa kubet. Kiinua mgongo chake cha m60 cha maana ni Gar bac.
 
Unabahat ajira hujappteza. Kuna rafiki angu hapa alikuwa accacia. Milion moja kwake ilikuwa sio pesa. Anatumia wanawake atakavyo. Akatumbuliwa sasa hivi kawa dalali na anaish kwa kubet. Kiinua mgongo chake cha m60 cha maana ni Gar bac.
ujana huwa unasumbua wengi mkuu
 
Sanaa bob.Kuna watu wana bahati sana dunia hii. Sanaa yan.
At 31 now ila hata kaz ya maana mtu huna.

No hard feelings
 
Ulikuwa sahihi tu kuyapitia uliyoyapitia miaka 21,22,23 ni mtoto mdogo sana kukamata hela nyingi tena ukitokea shuleni,ungetokea mtaani ungekuwa na mtazamo wa msoto,na usingeyapitia hayo kwa wakati ule ungekuja kuyapitia ukubwani,Uzuri umestuka mapema kuna wengi tu wanastaafia nyumba za serikali/mashirika wakipewa pensions ndipo wanajenga na kausafiri kisha wanakufa kwa stress na kukaa bila kufanya kazi mwili unakoswa mazoezi.
 
sikatai boss inawezekana umri na kutokea shule kulichangia
 
Mkuu Hongera sana kwa kuinuka tena. Mimi story yangu inafanana na ya kwako ila kikubwa kilichonitesa mimi ni pombe. Ilinitesa mnooo. Kiasi kwamba ndoa yangu ilitetereka. Kama sio mke wangu kusimama kwenye maombi hata kazi ningepoteza. Nilikuja kuamka nikasema kuanzia leo (POMBE NO) toka pale nikauona ukuu wa Mungu. Maisha yangu yamebadilika kabisaa.
 
Pole sana ndugu yangu, haya mapito huwa yanaumiza sana kuyakumbuka
 
Pole sana kiongozi, kwa angle nyingine nakupa hongera. Wewe ni age mate kwangu.
Mimi binasfi niko na miaka 15 ya kujiaji baada ya mafunzo ya ufundi.
Kweli ukitathimini kwa kina miaka 10 imeishaje huwa majibu hakuna.
Uzembe, kutokujua, kutokua na maono, mwelekeo mbovu nknk ndio hugarimu ndoto za vijana wengi.

Pia kukosa msingi mzuri wa maisha nayo huchagi.
Lakini tunamshukuru Mungu hutuinua tena pale tunapoanguka.

Nukuu fulani inasema usiangalie pale ulipoangukia bali ulipotelezea ukaparekebishe.
 
kabisa ndugu yangu, hayo yameshapita tunajikumbusha ili kutoa uvundo kifuani
 
Katika maisha Hakuna kuchelewa Wala kuwahi heri yako ulifungulia zipu na starehe ujana, kuwekeza sio kupata wawezawekeza na zisizae vile vile.Kuna wengine wamewekeza zaid ya milioni 200 jumla ya miaka 15 na zote zimezama kila wakiwekeza tena kwa kujinyima na Wana miaka 50 bado awajatoka Wala kukata tamaa,wanaamini zitarudi tu.
 
πŸ˜€πŸ˜€ Boss acha utani, unanitakiwa kheri ya kufungulia zipu haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…