Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Duuh🤔, hapa naona bora mimi katika umri ule.
Huyu kachezea pesa wakati hana chanzo Cha kumuingizia hizo pesa aisee


Ujana ni shida sana
 
Kila mtu husema hivi kabla hajazipata ila akishapata matendo uwa tofauti
 
Kwa tathmini yangu isiyoratibiwa nimeona watu wengi tuliokopa Pesa Benki, matumizi yake hayakuzaa matunda. Sasa sijui zinakuwaga na KIGUNDU au ni Nini. Maaana hata Kama unakuwa na mikakati mizuri ile mipango inaenda kuvurugika mwishoni.

Nilikopa nikaingia shambani, nikalimudu shamba vizuri tu. Niligawanya pesa mafungu matatu, kwa maana katika vilimo 3 kwa mikoa mitatu tofauti na wasimamizi 3 tofauti Mimi mwenyewe Kama mratibu ila pia nilikuwa msimamizi wa kitunguu huko iringa.
Kilikuwa kilimo Cha kiangazi, niliondoka na gunia za kutosha tu. Mzigo unaenda kuuzwa Zanzibar, Kipindi hiyo gunia imefika 120,000/= DAAAH MUNGU SI ATHUMANI SIKUPOKEA HATA MIA KWENYE ULE MZIGO.
 
mkuu elezea kwa kifupi hii story
 
Vijana tuna tabu sana katika matumizi ya pesa ambazo hatujawahi kuzishika, nimemuona jooohs nae kwenye uzi wake
 
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maninaaaa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787]

Nimecheka mpaka nikatapika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vitu vfupi vyeupe[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili bandiko lako naomba walimu, mahakimu, polisi na watu wa afya wangeliona kwa kuwasaidia kama una rafiki ama ndugu kutoka katika sekta hizi umtag jamani.

Hapa niko baa na ka mwalimu fulani mpaka huruma kwa future yake asee
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] huu uzi bana
 
Duuh

Pole sana mkuu
 
pole sana ndugu lakini bado hujachelewa sana.
umri wetu bado unaruhusu kufanya makubwa.
We jamaaa acha kujilaumu uko sawa tu,umeoa,unawatoto wakubwa bado una kazi nzuri,una mke anakupenda.

Kinachokusumbua ni msoto uliopitia kulipa madeni,pili jamaa unaofanya nao kazi wako mbali.

Tupa kule papuchi nazo tamu uli enjoy dogo safi sana.

Starehe zote ushapiga sasa unapiga maisha,hakuna cha kujutia hapo mbona!

Mie naona uko kwenye right track tu pia mkuu wa sasa kabana sana alafu biashara tough posho na safari zimepunguwa.

So yote hayo yanachangia kukumbuka ya kale...

Relax huu ndio wkt wako wa kufanya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…