- Thread starter
- #481
Duuh🤔, hapa naona bora mimi katika umri ule.Yes mkuu ,aliweka ndani na mtoto wa kiepemba kwa mda ,michepuko bongo movie huko ,akanunua na gari LA kuuzia sura ....no income generating asset ya aina yoyote ........
Kwanza alikuwa anatembea na kundi LA vijana kama 5 hivi mda wote .......akimpenda mrembo anaenda posa na kuacha ,kanunua sana pikipiki kwa mashemeji kuwapa ajira...
Bado aririthi daladala ndogo.....
Kweli maisha ni akili sio pesa pekee
Huyu kachezea pesa wakati hana chanzo Cha kumuingizia hizo pesa aisee
Ujana ni shida sana