Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Vipi kuhusu uwepo wa uzazi wa mpango ambao unaenda kinyume na flow ya kuzaliana ya kawaida, je, nao umechangia kuwania baadhi ya wafu wasirudie tena duniani?

Vipi kuhusu mimba zinazotolewa, hao wanaotolewa wangali hawajakamilika nao hutumia miaka hiyo hiyo ili warudi tena duniani, au chap chap huzaliwa kwingineko

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mungu alipomuumba Adam na Eva aliumba roho ngapi ambazo mpaka leo hazijawahi kuongezeka wala kupungua?
 
Hapa kidogo wewe umeweka vizuri, kumbe ilikuwa ni ndoto
 
Kama roho ni zile zile, why population inaongezeka?

Hizo roho extra zinatoka wapi?
 
Maswali mazuri, ila kama ni kweli kuna baadhi ya kumbukumbu zitakuwa zinabaki...
 
Mkuu na pia vipi hata kuhusu "cloning" na mazagazaga mengine ya kisayansi!?
 
Kwahiyo, hata watoto wachanga wanaopoteza maisha wakiwa wa siku moja, wakirudi tena baada ya miaka 100 watishi kwa siku moja pekee ama zaidi?
 
Mimi nakumbuka kabla ya maisha yangu ya sasa awali niliishi kwenye jua.
 
Kuna watu wengine wanazaliwa na birth mark , mfano mimi nina kumbukumbu hunijia, nilikuwa miongoni mwa wale waliokufa kwenye vita 1 ya dunia , nilipigwa risasi kwenye shingo, unfortunately hiyo alama ipo hadi leo just around my neck as birth mark
Nimezaliwa nayo

This means my soul ilitransfer some of the genetic DNA into this body I have now

Soul inaweza kuhama na baadhi ya old genetic information

Sad but true

Ndio maana watu kama bush Putin na wengineo ni wale wale tu kama watawala wa zaman
 
Simply idadi ya watu isinge ongezeka

Kuna roho nyingi awaiting kuliko miili

Kimsingi hata hiyo idadi unayosomewa sio actually learn

Hii kitu ina make sense kuliko huko jehanam na peponi kwenu

Eti mtu akifa anaenda moton kuchomwa moto dah [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…