Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Ingawa idadi ya binadamu huongezeka, kuna baadhi ya viumbe idadi yao hupungua. Uzao mmoja wa chatu una range mayai 20 hadi 100. Hivi umewahi jiuliza ni kwanini nyoka hawa wasiwe wengi zaidi ulimwenguni, ni issue nzima ya natural selection. Baadhi yao hubeba nafsi za walio wahi kuwa binadamu. Kupotea kwao ni ujio wa binadamu wengi zaidi ambao wamewahi kuishi kabla

Unaweza ukafa leo, baada ya karne nafsi yako ikazaliwa ndani ya ngamia, ngamia huyo ukafa, kisha baada ya karne ukazaliwa tena kama binadamu wa ukanda ule ule wa karne mbili zilizopita
Kwa hiyo hakuna kihama
 
Kama ndivyo, kwanini difference ya watu wa miaka 1800 na leo ni kubwa sana. Kuna population kubwa sana leo kuliko awali.
Kama roho ni zile zile hazioungui wala kuongezeka tofauti ya ongezeko ingekuwa ndogo sana kati kila miaka 100
Idadi ya nyoka kipindi cha nyuma ilikuwa ni kubwa sana maporini kulinganisha na sasa. Vivyo hivyo kwa wanyam kama tembo na vifaru. Roho za utu zilizohifadhiwa ndani ya wanyama hao ndizo zinazoibuka kuwa watu tena. Ni ngumu ila jaribu kuelewa
 
Haya tuambie nani katika babu na bibi waliorudi na kuzaliwa upya huko kwenu?
 
Tangu World War I mpaka leo ni miaka 110 so wewe ulirudi before 100 au unapost hapa ukiwa na miaka 10 pekee, alafu pia mtoa mada kasema ni roho sio mwili.
Tatizo hatuko serious na hii mada ni fikirishi,kupitia maswali na majibu kuna kitu/ tunaweza kupata kwa logic.

Sio ubongo mchanga unamezeshwa mbinguni na motoni huna fikra pevu za kuhoji.

NB:
Mleta uzi bravoo umeleta mada nzuri sanaaa jukwaani.
 
Haya tuambie nani katika babu na bibi waliorudi na kuzaliwa upya huko kwenu?
Kuna kisa kimoja nilisikia nazani ilikua BBC au aljazira kulikua na binti (black america) alikua anawaambia wazazi wake yeye aliwai kua princess...izo habari zaikasambaa wakaja wataalamu wa mambo kale kwa jinsi alivyokua anazungumza hao wataalamu wakamtambua kwa majina(ya kipindi hiko akiwa princess) na alikua n kutoka eneo la Spain.

Kufupisha story alipelekwa kwenye kasri na hayo maeneo aliyatambua vyema mpaka maeneo waliyokua wanajificha kama vita ingetokea.

Kuna weza kuwa na ukweli ila kuthibitisha ndio shida.
Na izo kesi zipo nyingi sanaa.
 
Tangu World War I mpaka leo ni miaka 110 so wewe ulirudi before 100 au unapost hapa ukiwa na miaka 10 pekee, alafu pia mtoa mada kasema ni roho sio mwili.

Umeenda more literally

Hata Sayansi zinaboreshwa
 
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine

Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia

Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP

Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
Mkuu bado sijawaka ujue acha kutupiga kamba
 
Lincernation theory...
inawezekana kabsa sababu roho haifi bali humtoka kiumbe au bin adam yoyt na kwenda kuskojulikana..
 
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine

Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia

Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP

Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
wewe haupo sawa
 
Reincarnation hutokea Ila sio Miaka 100 it depends na miaka kuna wanaorudi miaka chini ya 10 au 30 au 40..
Ila minimum huwa Generatory Years ambayo huwa ni Miaka 60 au 70.. kwa Normal reincarnation ila kuna Zile emergency Reincanation huwa ni chinu ya Miaka hiyo..

Wengi wanapinga hawajui hata wanachokusema..
Reincarnation proved kwenye biblia yao...
Melki the Storyteller
 
Idadi ya nyoka kipindi cha nyuma ilikuwa ni kubwa sana maporini kulinganisha na sasa. Vivyo hivyo kwa wanyam kama tembo na vifaru. Roho za utu zilizohifadhiwa ndani ya wanyama hao ndizo zinazoibuka kuwa watu tena. Ni ngumu ila jaribu kuelewa
4 Lifeoid..
  1. Humanoid
  2. Animaloid
  3. Vegeteroid
  4. Mineraloid
Hii concepts WanaoIjua wachache sana..
Which Schools of thought ya Spirituality Uliyopo mkuu..
 
Reincarnation hutokea Ila sio Miaka 100 it depends na miaka kuna wanaorudi miaka chini ya 10 au 30 au 40..
Ila minimum huwa Generatory Years ambayo huwa ni Miaka 60 au 70.. kwa Normal reincarnation ila kuna Zile emergency Reincanation huwa ni chinu ya Miaka hiyo..

Wengi wanapinga hawajui hata wanachokusema..
Reincarnation proved kwenye biblia yao...
Melki the Storyteller
Kwenye biblia ni ile habari yesu aliyoizungumzia kuhusu eliya kuja kwa mwili wa yohana mbatizaji???
 
Utajuaje kwamba ni wewe uliyezaliwa baada ya miaka 100?
 
Kwenye biblia ni ile habari yesu aliyoizungumzia kuhusu eliya kuja kwa mwili wa yohana mbatizaji???
Kwenye Biblia Kuna Jesus Incarnation..
Eliya Reincarnation (Malaki) ambayo ilitajwa baadaye na Yesu kuwa (Yohana Reincarnation)..

Pia kuna Yule omba omba Aliyekuea kipofu Rejea mazungumzo.ya Yesu na wanafunzi wke..
 
Chai tupu kama hakuna roho mpya ni zilezile mbona hii idadi ya Bongo kwa Sasa haikuwa sawa tuchukulie tu miaka ya 1960s, pili km roho ni hai inasubiria kuuvaa mwili mwingine inapotezaje kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom