Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

So unataka kutuambia inawezekana saiz kuna watu tupo nao humu ni second version?

Wewe usikuke ni third version

You died before

You were eaten in the forest by lion

Ukafa

Then your soul left the body

Then after 100 you were born in German

You died in a concentration camp , uliwekwa kwenye freezer na Nazi physician wakiwa wanafànya medical experiment ya hypothermie , ukafa

Umezaliwa tena huku TZ this time

This time we don’t know utakufaje, but what we know for sure ni utakufa when your time is due

Huenda ukaenda kuzaliwa swala mbugani, we don’t know
But hata swala hakupenda kuwa swala wawe sehemu ya food chain ya lion
It just happened
 
Mwandishi kasema inarudi kwa mwanadamu mwingine sio mnyama tofauti. Kwahiyo hapa teyari wewe ushaleta theory ingine ya kuongea na watu , congratulations.
 
Umepiga kwenye mshono, pia je aliyezaliwa siku moja na akafa.
 
Kaka mtoa mada kasema ni roho ndo zinazaliwa tena sio miili.
 
Tangu World War I mpaka leo ni miaka 110 so wewe ulirudi before 100 au unapost hapa ukiwa na miaka 10 pekee, alafu pia mtoa mada kasema ni roho sio mwili.
 
Duuuh hii imejirudia
 
Kama ndivyo, kwanini difference ya watu wa miaka 1800 na leo ni kubwa sana. Kuna population kubwa sana leo kuliko awali.
Kama roho ni zile zile hazioungui wala kuongezeka tofauti ya ongezeko ingekuwa ndogo sana kati kila miaka 100
 
Unasema roho zilizopo dunia ni hizo hizo haziongezeki? Mbona watu kuna siku walikuwa bilion 5 na sasa ni 7 hizo zingine zinatoka wapi?
 
Wewe ulijuaje? Yaani uzaliwe upya uchukue sura ya nani?
 
Hakuna biashara hyo kila mtu ana roho yake.
Na ndio inayohifadhiwa ikitoka.
Hata ukiliwa na mnyama,ukiteketea na moto ukawa majivu.mwili na mifupa ikasambaa isionekane n.k.
Ile roho aliyoipenda mtoa roho ndo wewe.umeshaifadhiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…