Hizb Tahrir Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 18, 2020
- 258
- 235
- Thread starter
-
- #61
Iwe na Waislamu wengi, nguvu za kijeshi na kiuchumi. Mf nchi Kama Pakistan, Saudia, Iran, Uturuki, nk kwa sasaIli ianzie kuwa dola iwe na sifa gani ambazo hizo sifa zinaendana sifa za Nchi hizo za waislamu ?
Kwa nini ianzie huko khilaafa ?
Na hizo Nchi ni kama zipi ?
Utajuaje hii dini ni sahihi na hii si sahihi?Dini Kama ilivyo vitu vingine hapa duniani Kuna sahihi na ambazo si sahihi. Muhimu ni kupima usahihi kwa vipimo vinavyokubaliana na akili
Utajua kwa kuangalia Kama inakubaliana na akili au laUtajuaje hii dini ni sahihi na hii si sahihi?
Ukweli ni kwamba, watu wengi wapo kwenye dini zao kwa sababu wamezaliwa kwenye hizo dini, si kwa sababu dini hizo ni sahihi.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake ni kweli, si tungo za watu tu?
Akili ni nini?Utajua kwa kuangalia Kama inakubaliana na akili au la
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Khilafah ni serikali ya kiulimwengu ya kiislamu
Ideology bila imani si dini, usijitoe akili we jamaaKila mfumo wa maisha(ideology) ni dini, lakini si Kila dini ni mfumo wa maisha. Kwahiyo dini ya ubepari kwavile ni mfumo wa maisha una political system yake ambayo inaitwa democracy. Hali kadhalika ujamaa na uislamu nazo zina political system zao
Umeshakubali kuwa ideology ni dini sasa VP ikose Imani ? Kama umekosa hoja usilete matusiIdeology bila imani si dini, usijitoe akili we jamaa
Quraan haina contradiction yeyoteAkili ni nini?
Unaelewa kwamba Quran na Biblia zimejaa contradictions?
Kwanza kabisa, define contradiction ni nini kwa uelewa wako.Quraan haina contradiction yeyote
Kumbe unabishana! Ndiyo maana basi hatuelewani. Tuliza akili kidogo utaelewa vzr, ondoa chuki yako dhidi ya uislamu moyoni mwakoKwanza kabisa, define contradiction ni nini kwa uelewa wako.
Ili tujue tunapotaja "contradiction" tunaongelea kitu kimoja.
Ili kabla sijakuonesha hizo contradictions, tukubaliane misingi ya ubishani wetu.
Contradiction ni nini?
HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:
"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"
Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.
Rajab 1442 H - 2021 M
#TurudisheniKhilafah
#أقيموا_الخلافة
#YenidenHilafet
#ReturnTheKhilafah
#خلافتکوقائم_ک
Umekimbia swali.Kumbe unabishana! Ndiyo maana basi hatuelewani. Tuliza akili kidogo utaelewa vzr, ondoa chuki yako dhidi ya uislamu moyoni mwako
Onesha hizo contradictions au ukae kimya.Umekimbia swali.
Contradiction ni nini?
Tusije kujadili kitu ambacho hatujakubaliana ni kipi.
Kutumia neno "Chuki" bila ushahidi ni chaka la wazembe wasioweza kujadili mambo kwa kina.
Wakishindwa mjadala, wanakimbilia kulaumu chuki, bila ushahidi.
Mimi nina watu kwenye familia yangu Waislamu. Kwetu Kariakoo. Tangu kqblq yq Uhuru. Uislamu naanza vipi kuuchukia?
Nikisema kwamba Quran ina contradiction, kama kweli ina contradiction, hiyo ndiyo chuki?
Asante ndugu yetuKila la heri
Alinacha ni Nani? Na vipi haya mambo yamekuwa yake??Mambo ya alinacha haya...
Tafuta kuhusu "caliphate" ktk mitandao ujifunze zaidi. KaribuMambo ya alinacha haya...
Demokrasia ni ideology na haina imani ndani yake.., sasa inakuwaje dini? Kumbuka, imani ni kukubali ukweli usio na udhibitisho. Wale waMisri walioamini katika jua kwamba ni Mungu hawakuwa na udhibitisho kwamba jua ni Mungu, ila ni imani tu, hapo ndio inakuwa dini. Ideology bila imani ndani yake si dini.Umeshakubali kuwa ideology ni dini sasa VP ikose Imani ? Kama umekosa hoja usilete matusi