Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Ili ianzie kuwa dola iwe na sifa gani ambazo hizo sifa zinaendana sifa za Nchi hizo za waislamu ?

Kwa nini ianzie huko khilaafa ?

Na hizo Nchi ni kama zipi ?
Iwe na Waislamu wengi, nguvu za kijeshi na kiuchumi. Mf nchi Kama Pakistan, Saudia, Iran, Uturuki, nk kwa sasa
 
Dini Kama ilivyo vitu vingine hapa duniani Kuna sahihi na ambazo si sahihi. Muhimu ni kupima usahihi kwa vipimo vinavyokubaliana na akili
Utajuaje hii dini ni sahihi na hii si sahihi?

Ukweli ni kwamba, watu wengi wapo kwenye dini zao kwa sababu wamezaliwa kwenye hizo dini, si kwa sababu dini hizo ni sahihi.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake ni kweli, si tungo za watu tu?
 
Utajua kwa kuangalia Kama inakubaliana na akili au la
 
Kila mfumo wa maisha(ideology) ni dini, lakini si Kila dini ni mfumo wa maisha. Kwahiyo dini ya ubepari kwavile ni mfumo wa maisha una political system yake ambayo inaitwa democracy. Hali kadhalika ujamaa na uislamu nazo zina political system zao
Ideology bila imani si dini, usijitoe akili we jamaa
 
Quraan haina contradiction yeyote
Kwanza kabisa, define contradiction ni nini kwa uelewa wako.

Ili tujue tunapotaja "contradiction" tunaongelea kitu kimoja.

Ili kabla sijakuonesha hizo contradictions, tukubaliane misingi ya ubishani wetu.

Contradiction ni nini?
 
Kumbe unabishana! Ndiyo maana basi hatuelewani. Tuliza akili kidogo utaelewa vzr, ondoa chuki yako dhidi ya uislamu moyoni mwako
 
HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:

"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"

Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.

Rajab 1442 H - 2021 M

#TurudisheniKhilafah
#أقيموا_الخلافة
#YenidenHilafet
#ReturnTheKhilafah
#خلافتکوقائم_ک

Huu ni uwendawazimu. Walishindwa toka enzi zile. Wewe hutaweza
 
Kumbe unabishana! Ndiyo maana basi hatuelewani. Tuliza akili kidogo utaelewa vzr, ondoa chuki yako dhidi ya uislamu moyoni mwako
Umekimbia swali.

Contradiction ni nini?

Tusije kujadili kitu ambacho hatujakubaliana ni kipi.

Kutumia neno "Chuki" bila ushahidi ni chaka la wazembe wasioweza kujadili mambo kwa kina.

Wakishindwa mjadala, wanakimbilia kulaumu chuki, bila ushahidi.

Mimi nina watu kwenye familia yangu Waislamu. Kwetu Kariakoo. Tangu kqblq yq Uhuru. Uislamu naanza vipi kuuchukia?

Nikisema kwamba Quran ina contradiction, kama kweli ina contradiction, hiyo ndiyo chuki?
 
Onesha hizo contradictions au ukae kimya.
 
Umeshakubali kuwa ideology ni dini sasa VP ikose Imani ? Kama umekosa hoja usilete matusi
Demokrasia ni ideology na haina imani ndani yake.., sasa inakuwaje dini? Kumbuka, imani ni kukubali ukweli usio na udhibitisho. Wale waMisri walioamini katika jua kwamba ni Mungu hawakuwa na udhibitisho kwamba jua ni Mungu, ila ni imani tu, hapo ndio inakuwa dini. Ideology bila imani ndani yake si dini.
 
Back
Top Bottom