Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Biashara haramu iliyojificha nyuma inanifanya hata nisiangalie migahawa yake.
Wamasahau kuwa jinai haifi, hata kama ameacha hyo biashara miaka 10 iliyopita as long as aliicanya basi ni lazima ashtakiwe tu!
 
We jamaa ni mjinga sana, kwa kuwa hulazimishwi kutumia basi maana yake ni sahihi kuuza madawa ya kulevya???
 
We jamaa, jua kuwa jinai haifi kama hajashtakiwa leo nasi atashtakiwa kesho! Suala sijui kapamnana na biashara mara sijui ana hustle sana hayo yote hayawezi kufuta jinai ambayo anayo!
 
Naona umejipa jukumu la kimahakama au U Mungu kwa kuhukumu watu mkuu.....!!

Kama atathibitika na mamlaka husika kuwa ana suala la kijidai kujibu, ni sawa, na ahukumiwe hvy! Lakini vinginevyo mkuu utakuwa hauna tofauti na mpiga ramli.

"Innocent until proven guilty"
We jamaa, jua kuwa jinai haifi kama hajashtakiwa leo nasi atashtakiwa kesho! Suala sijui kapamnana na biashara mara sijui ana hustle sana hayo yote hayawezi kufuta jinai ambayo anayo!
 
Hawa wazungu ambao wanafanya kazi kwenye mahoteli makubwa au mabaa wanaconnection na wauza madawa wakubwa hapa bongo,ila wao wateja wao ni wageni wenzao wanaokuja kupunzika ,hawauzii wabongo ni wao kwa wao
 
Huyu kaka huwa namuona mwenye upendo sana. Hata bar zake huduma ni nzuri huwezi kukuta ujinga. Mimi nilijua hiko kidude cheusi kwenye jicho ni swaga Kumbe ni kovu. Jaman cancer zitamaliza watu.....nauguza mgonjwa wa cancer mwaka wa 5 sasa Ila cancer ikibisha hodi nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona.
 

Kwani ukweli ukisemwa ni vibaya?? Sawa ni mbunifu mnoo Ila haiondoi ukweli wa kwamba kuna hela chafu nyuma ya mafanikio yake. Pia hii inatufundisha kwamba sio kila saa Mlaumu vijana kwamba ni wavivu hawajitumi kumbe kuna Siri nzito ndani ya mitaji ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…