siyo hadithi pata na hii: MTOTO WA AUNT YANGU ALIPONIAMBIA NITAFUTE PA KULALA
Nilipata kaz mwanza wakati najiandaa toka dsm to mwanza kuna mtoto wa aunt yng alikuwa mwanza, ye mwenyewe akanitafuta kwmb bro naskia unakuja mwanza njoo ufkie geto kwangu ustafute pa kufkia, nikasema sawa, kweli nlisafiri to mwanza na dogo alinpokea vema, nlikuwa naamka asbh sn naenda uko ofsn nakurud jion khs menu mazaga nlimwambia tanunua mimi wkt naendelea tafuta room na kununua vitu, zlipta kama sku 6.
Siku 1 nikiwa ofsn ikaingia text yake mida ya jion, ikisema UTAFUTE PA KULALA KWAN SISTER ANAKUJA TAMUACHIA CHUMBA KAMA WIKI 2 MI TAKUWA NALALA KWA RAFK YNG.
Kilichoniuma si hayo bt ni ile ghafla tena jion, nlijiuliza maswali mengi sn bila majbu, nlimjbu sawa, nliporud nikabeba begi langu nikatafuta lodge nkafuta na namba yake, nlibadili line skutaka shobo
Jamaa nakufatilia story zako, unA majanga sana, anzia dem wahunako ulozaa nae enzi huna kitu