Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

The only thing kilichonifanya nimsamehe ndugu yangu wa damu japo hadi sasa ananiumiza ni hiki, KUMSAMEHE HASA KILA NKIKUMBUKA KILE BIBLIA ILICHOSISITIZA KWA HABARI YA KUSAMEHE NA KUTOLIPA KISASI.
Pole sana ndugu ila pamoja .
Nakukumbuka kuna mwaka nadhani tumewahi kuwasiliana PM bila shaka ?
Ikiwa ni wewe pamoja sana
 
 
MSIBA WA MTOTO WANGU
Nlifiwa na mtoto ktk kpnd nikiwa sina ktu, mbaya zaid nlikuwa makaz mapya kwaiyo skuwa na uhusiano wa karibu sn na majiran, nlipopgiwa cm ya msiba nlikuwa nawaza mambo mengi, sina hela, ndugu karibia wote nlishatemana nao, wazazi ndoivo tn + msiba. Nlijaribu kupata namba za baaz ya ndugu nikawatext si kwa lengo la msaada nilitaka kuondoa lawama tu, wkt npo ndan ya daladala naenda muhimbili nalia kwa uchungu sn paspo abiria kujua, yan hapo hata sjui naanzia wp.
Nlikuwa nasali kanisa fulan na walikuwa wananikubali sn pale, ndpo pastor akaniambia anaomb msiba uwe kwake,gharama zote za chakula na usafiri kanisa litatoa nlilia machoz ya aman maana skuwa na wa kunihurumia wala kunisaidia, nlitoa hela ya jeneza na msiba ukafanyka pale, baaz ya ndugu walikuja bt for nothing tu,mwngn ananpgia cm kunikoromea why naweka msiba kwa watu baki aisee nilimjbu majbu ambayo mpk leo ananiogopa maana sina cha kupoteza kwa ndugu zng ukzngatia hata msban hakuja, msiba uliisha vema watu walikula wakashba....
 
Ni kweli, lakini ni damu ya mumewe na ni ndugu wa watoto wake, ukizingatia ni damu moja. Kumkubali mtoto ni jambo moja, na kuhusu mgawanyo wa mali ni jambo lingine.

Mzazi kuwagawanya watoto wa damu moja ni kitu kibaya katika malezi.

Angempokea kinafki tu. Kwani huyo mke alijuaje kama mmewe asingeweza kuacha usia ambao sehemu kubwa ya mirathi ameandikishwa huyo mtoto. Angekubali hata kinafki.

Hii ndo inatufanya Waafrica tuonekane takataka. Mali kitu gani?
 
Dah maisha yanakuwa unfair Kwa wengine. Poleni sana. Mtatoboa tu in God's plans. Waachieni mali hao, wanaweza hata kuwaroga na kuwauwa mkiendelea kuwa nao karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…