Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Kadosh

Senior Member
Joined
May 6, 2021
Posts
168
Reaction score
251
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo.

Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia.

Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu, nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha, nakupenda sana bebe.
 
Back
Top Bottom