Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

History ya ujanani ya yesu, haikupotea, bali iliachwa makusudi, tafuta,, "The infant gospel of Jesus"
Mkuu kwema,
infants=mtoto chini ya mwaka mmoja
the infants gospel of jesus
injili ya mtoto yesu....
mkuu nimeisoma yote mpaka akivyokuwa anafukuzwa na wenzake kwwnye kucheza kote nimesoma mkuu shukrani sana...
mpaka kipindi anawafundisha walimu wake kuhusu herufi za kihebrania na maana yake alef,Bet na zingine....ila iliishia pale pale kwenye miaka 10 kama sikosei
 
Kwanza kuna uthibitisho wowote usiokua na shaka kwamba huyu yesu alishawahi kuwepo hapa duniani? Isije ikawa story zake ni habari za kutungwa tu kama robin hood n.k
 
Hii inakusaidia au kutusaidia nini? Hayo mambo ya wabaguzi wa kiyahudi na kiarabu waachie wao wenyewe. Ningekuwa wewe, ningeandika habari za babu yangu badala ya kupoteza muda kwenye ngano koloni na nyemelezi
 
Nyinyi mnaompamba kuwa sijui mungu wakati alikuwa anafanya mambo mengi ya kibinadamu ndio tunashangaa hujui kulikuwa na ndoa ya siri Kati ya Yesu na yule mariam magedalena THE WOMAN WITH THE ALABASTAR JAR
Hii comment sikuiona mkuu ahahahah hebu nielezee hii
 
Hii comment sikuiona mkuu ahahahah hebu nielezee hii
Kitabu kinaelezea kulikuwa na ndoa ya siri Kati ya Yesu na maria Magdalena na
pia biblia imeficha vitu vingi ukitaka kumjua Yesu vizuri nenda kasome vitabu vya kiyahudi kwa maana Jews ndio dini iliyekuwepo kipindi hiko kabla ya ukristo
Na mafundisho ya Jews yanaitwa Talmud katafute kitabu cha The Talmud unmasked utaona vingi kuhusu Yesu kuanzia kuzaliwa kwake hadi kusulubiwa
 
Talmud nishasoma yote babylon pamoja na ya jerusalem
 
"Mungu ni Roho nao wamuabuduo imewapasa kumuabudu katika Roho".

ukimchambua yesu kihistoria au kithiolojia huwez muelewa. Ndio maana hata wanadini (dini ya kiyahudi) walishindwa kumuelewa wakamuua.
Wayahudi waliokua nae hawakumuelewa wewe ndo uje useme unamuelewa?hii kumuabudu ktk roho na kweli bado umeitoa huko huko kwa Wayahudi, sasa wewe unaelewa nini
 
Mzee kuna jambo la ziada unalifahamu hapa ambalo wengi kama sio wote hatulifahamu, nadhani unatakiwa uandike zaidi
 
Kibwetere ni levo nyingine kabisa. Kati ka dhama za utandawazi, Kuaamnisha watu hadi kuwatia kiberiti sio mchezo.
 
Usitarajie KUPATA majibu ya uhakika coz,waumini wametishwa kuhoji Mambo HAYO ni dhambi!
Umenena vyema kabisa. Kila dini inalo la nmna hiyo. Kila dini ina imani ambayo haihojiki - nyingine utaambiwa ni maagizo ya Mwenyezi Mungu. Utayahoji vipi maneno yaliyoagizwa na Mwenyezi Mungu?
Masuala ya dini ni masuala ya imani kwa Mwenyezi Mungu ambaye hautuwezi kumhoji - inabaki ni imani, na naona ibaki hivyo hivyo. Kama Maisha fulani ya Yesu yalifichwa ili kujenga watu kiimani na wakawa na amani - hakuna haja ya kuyatafuta eti kuyafichua.
Watu wakianza kufichua nadharia za yanayosemekana kufichwa kwa kila dini kuna wengine hawatstahimili, wanaweza kuanza kushikiana mapanga. Tusifike huko - yamefichwa wana amani, waache wabaki na imani yao inayowapa amani.
(Sisi wenye familia tuna maisha ya namna hiyo. Kama unaishi na mwenzio kwa amani, basi usitake kuchunguza maisha yake ya zamani ambayo wewe hukuyajua kabla, na hata hayo mnanyoishi pamoja lakini anakuficha. As long as hayakuletei madhara yoyote - achana nayo muendelee kuishi kwa amani)
 
Hivi hajawahi kua manzi!!? Alijuaje makahaba
 
Ebwana eee [emoji1783][emoji1783]

This is my path, find your own fellas.... Hadi leo mnamsubiri
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…