Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Chama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Tunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwara.Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Tafsiri sahihi ipo wapi mkuu?Hiyo sio tafsiri ya home grown.
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Samia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberuTunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwara.
Mafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane nayeSamia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberu
Hao mabeberu wapo afrika pekeeSamia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberu
Mabeberu walitaka kupora mali za wanyonge ila Magufuli akawafukuzia mbali. Rais Samia pia bado anapambana nao.Hao mabeberu wapo afrika pekee
Hizo mali tusipowauzia sisi zinafaida gani kwetu.Unakula madini,Mabeberu walitaka kupora mali za wanyonge ila Magufuli akawafukuzia mbali. Rais Samia pia bado anapambana nao.
Tatizo lako unapenda sana mambo ya kusikia kwa watu. Hivi unajua huko Botswana kuna ufisadi wa kutisha kuliko hata huu mdogo wa Tanzania?Hizo mali tusipowauzia sisi zinafaida gani kwetu.Unakula madini,
Mbona botswana wameweza why sisi tatizo sio mabeberu tatizo ubinafsi wetu.Ni nani wanaoshusha benefits na mishahara mabeberu watakayo kuwalipa wanyonge kwa level ya kimataifa kama sio sisi eti watalewa awatokuja kazini.Sasa wakilewa si pesa zinaingia mtaani.
Mtza akipelekwa kwa mabeberu anashangazwa anakilimiwa anapewa mapokezi ya VIP plus starehe zote watoto wakali kama wote,plus akaunti inasoma bank ya nje, nk then anaanguka tu saini KILA akiletewa karatasi, wenzetu wapo strategic hapo unamlaumu vipi beberu hali mikataba wanasaini wachache walioshangazwa.Kwann mikataba ya nchi wananchi wasipewe waichambue.Beberu sio tatizo afrika bali sisi ndo chanzo cha matatizo yetu.Tatizo lako unapenda sana mambo ya kusikia kwa watu. Hivi unajua huko Botswana kuna ufisadi wa kutisha kuliko hata huu mdogo wa Tanzania?
Unapewa raha ya dunia mpaka akili inakurukaMtza akipelekwa kwa mabeberu anashangazwa anakilimiwa anapewa mapokezi ya VIP plus starehe zote watoto wakali kama wote,plus akaunti inasoma bank ya nje, nk then anaanguka tu saini KILA akiletewa karatasi, wenzetu wapo strategic hapo unamlaumu vipi beberu hali mikataba wanasaini wachache walioshangazwa.Kwann mikataba ya nchi wananchi wasipewe waichambue.Beberu sio tatizo afrika bali sisi ndo chanzo cha matatizo yetu.
Check hapa speaker wako anavyoshangazwa raha kama zote hio akili ya kukumbuka kuna watu wanakula mara 4 kwa wiki itatoka wapi.
Mabeberu awahusiki na matatizo ya afrika bali mwafrika anaposhindwa kutatua matatizo yake umsingizia beberu.
Ukishapewa raha unaingia mikataba ya kuwatesa wanyonge miaka.Shida zote apatazo mwafrika chanzo ni ubinafsi wa wachacheUnapewa raha ya dunia mpaka akili inakuruka
Nalog off
Ukishapewa raha unaingia mikataba ya kuwatesa wanyonge miaka.Shida zote apatazo mwafrika chanzo ni ubinafsi wa wachacheUnapewa raha ya dunia mpaka akili inakuruka
Nalog off
kuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga menoMafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane naye