Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.
 
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Chama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
 
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
 
Mabeberu walitaka kupora mali za wanyonge ila Magufuli akawafukuzia mbali. Rais Samia pia bado anapambana nao.
Hizo mali tusipowauzia sisi zinafaida gani kwetu.Unakula madini,
Mbona botswana wameweza why sisi tatizo sio mabeberu tatizo ubinafsi wetu.Ni nani wanaoshusha benefits na mishahara mabeberu watakayo kuwalipa wanyonge kwa level ya kimataifa kama sio sisi eti watalewa awatokuja kazini.Sasa wakilewa si pesa zinaingia mtaani.
 
Tatizo lako unapenda sana mambo ya kusikia kwa watu. Hivi unajua huko Botswana kuna ufisadi wa kutisha kuliko hata huu mdogo wa Tanzania?
 
Mtza akipelekwa kwa mabeberu anashangazwa anakilimiwa anapewa mapokezi ya VIP plus starehe zote watoto wakali kama wote,plus akaunti inasoma bank ya nje, nk then anaanguka tu saini KILA akiletewa karatasi, wenzetu wapo strategic hapo unamlaumu vipi beberu hali mikataba wanasaini wachache walioshangazwa.Kwann mikataba ya nchi wananchi wasipewe waichambue.Beberu sio tatizo afrika bali sisi ndo chanzo cha matatizo yetu.
Check hapa speaker wako anavyoshangazwa raha kama zote hio akili ya kukumbuka kuna watu wanakula mara 4 kwa wiki itatoka wapi.
Mabeberu awahusiki na matatizo ya afrika bali mwafrika anaposhindwa kutatua matatizo yake umsingizia beberu.
 
Attachments

  • VID-20210521-WA0021.mp4
    14.4 MB

Unapewa raha ya dunia mpaka akili inakuruka
Nalog off
 
Mafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane naye
kuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom