Tall Msafi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 230
- 231
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwakuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwakuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeeeVijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwa
Nimeona na daraja letu la kigamboni,hongera SamiaRais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeee
Eboo, kumbe home grown unamaanisha home Marekani? Ni kwenu huko? Hii ema ni very unfortunate, meaning we have enemies in our midst) au ni elimu duni haijui Kiingreza. Nilichoelewa mimi ni kwamba kulikuwa na Mpemba alisaidia kutengeneza gari la kulipuka kwenye gereji moja kule Kimara Korogwe. Lugha yake na harakati zake zinafanana hivyohivyo na za kikundi cha Uamsho cha Zanzibar, nacho ni homegrown.Kabla ya kutokea kwa tukio lile la kugongesha ndege katika ghorofa pacha, wahalifu wale tayari walikuwa na watu wao ndani ya Marekani waliowasaidia kuwapa taarifa (watoto wa mjini wanasema kuchora rada) kabla ya kupanga mpango mzima wa kuteka ndege na kuleta msiba mzito ndani ya ardhi ya rafiki zetu wa Marekani.
Inawezekana sijui kiingereza mkuuEboo, kumbe home grown unamaanisha home Marekani? Ni kwenu huko? Hii ema ni very unfortunate, meaning we have enemies in our midst) au ni elimu duni haijui Kiingreza.
Huyo mpemba yupo wapi sasa hivi?Nilichoelewa mimi ni kwamba kulikuwa na Mpemba alisaidia kutengeneza gari la kulipuka kwenye gereji moja kule Kimara Korogwe. Lugha yake na harakati zake zinafanana hivyohivyo na za kikundi cha Uamsho cha Zanzibar, nacho ni homegrown.
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sanaNimeona na daraja letu la kigamboni,hongera Samia
Rais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangoteRais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana
Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sanaRais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangote
Rais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadiRais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana
Yuko Guantanamo Bay CubaHuyo mpemba yupo wapi sasa hivi?
Si dhambi kutojua Kiingereza, hata Malkia hajui Kizigua. Homegrown must refer to home, the home of the Speaker. Kijo chasha eshinadha! Yaani pia kukosea si kos kosa ni kuzidi kukosea au ukichukua ukushaoneshwa kosa.Inawezekana sijui kiingereza mkuu
Kwa hiyo 9/11 haikuwa home-grown? Kwa misingi gani mkuu? Ina maana hakuna raia wa USA aliyehusika kufanya static/mobile surveillance kabla ya kutekwa kwa zile ndege?Si dhambi kutojua Kiingereza, hata Malkia hajui Kizigua. Homegrown must refer to home, the home of the Speaker. Kijo chasha eshinadha! Yaani pia kukosea si kos kosa ni kuzidi kukosea au ukichukua ukushaoneshwa kosa.
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sanaRais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadi
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia sasa kijana Ufipa anabwabwaja ili iweje?Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana
Kiongozi..Guantanamo imeshafugwa hakuna hata mdhaniwa,mshukiwa au mtuhumiwa mmoja!!Yuko Guantanamo Bay Cuba
Imefungwa lini mkuu? Obama alipiga siasa tu mpaka muda wake ukaisha, the detention center was still functioning.Kiongozi..Guantanamo imeshafugwa hakuna hata mdhaniwa,mshukiwa au mtuhumiwa mmoja!!
Nifty. SOLJA... vijana washaachiwa wapo uraiani miaka mingi.. hilo ditenshn centa.. lipo kwa ajili ya kodi tu...Imefungwa lini mkuu? Obama alipiga siasa tu mpaka muda wake ukaisha, the detention center was still functioning.
Duuuh...!!!! Sawa mkuuNifty. SOLJA... vijana washaachiwa wapo uraiani miaka mingi.. hilo ditenshn centa.. lipo kwa ajili ya kodi tu...
Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi woteDuuuh...!!!! Sawa mkuu