Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Kabla ya kutokea kwa tukio lile la kugongesha ndege katika ghorofa pacha, wahalifu wale tayari walikuwa na watu wao ndani ya Marekani waliowasaidia kuwapa taarifa (watoto wa mjini wanasema kuchora rada) kabla ya kupanga mpango mzima wa kuteka ndege na kuleta msiba mzito ndani ya ardhi ya rafiki zetu wa Marekani.
Eboo, kumbe home grown unamaanisha home Marekani? Ni kwenu huko? Hii ema ni very unfortunate, meaning we have enemies in our midst) au ni elimu duni haijui Kiingreza. Nilichoelewa mimi ni kwamba kulikuwa na Mpemba alisaidia kutengeneza gari la kulipuka kwenye gereji moja kule Kimara Korogwe. Lugha yake na harakati zake zinafanana hivyohivyo na za kikundi cha Uamsho cha Zanzibar, nacho ni homegrown.
 
Eboo, kumbe home grown unamaanisha home Marekani? Ni kwenu huko? Hii ema ni very unfortunate, meaning we have enemies in our midst) au ni elimu duni haijui Kiingreza.
Inawezekana sijui kiingereza mkuu
 
Nilichoelewa mimi ni kwamba kulikuwa na Mpemba alisaidia kutengeneza gari la kulipuka kwenye gereji moja kule Kimara Korogwe. Lugha yake na harakati zake zinafanana hivyohivyo na za kikundi cha Uamsho cha Zanzibar, nacho ni homegrown.
Huyo mpemba yupo wapi sasa hivi?
 
Si dhambi kutojua Kiingereza, hata Malkia hajui Kizigua. Homegrown must refer to home, the home of the Speaker. Kijo chasha eshinadha! Yaani pia kukosea si kos kosa ni kuzidi kukosea au ukichukua ukushaoneshwa kosa.
Kwa hiyo 9/11 haikuwa home-grown? Kwa misingi gani mkuu? Ina maana hakuna raia wa USA aliyehusika kufanya static/mobile surveillance kabla ya kutekwa kwa zile ndege?
 
Back
Top Bottom