Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

Ume

Umeongea kitu cha maana sana
Ila swali langu ni kwanini miaka hii ndiyo imeshika hatamu kwa ulevi tofauti na enzi zetu
Uhaba wa fursa unaotokana na wingi wa washindani wanaotokana na ongezeko kubwa la watu.

Suluhisho? Hakuna

Kwahiyo? Kutafuta vifubaza akili tu siku zisogee
 
Nimesema hivyo juzi nimebeba vijana wanne wakanisaidie kupandisha
Tairi za gari ziende gereji
Amini ninachokwambia vijana wanne tairi za scania ziliwashinda kuzipandisha mpaka nikatafuta wengine tena watatu na penyewe kwa mbinde
Vijana nguvu empty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa vijana michongo hakuna, wanakula mo eneji na andazi moja nguvu watoe wapi Sasa.
 
Hakuna vitu vinavyowainspire vijana wajitume kwenye kazi au masomo

Wanasoma wanahitimu wanakosa shughuli za kufanya

Haya wakisema waendeleze vipaji bongo ujinga mtupu kuna kundi lipo linamini bila wao kipaji chako hacienda popote wamejimilikisha wao
So vijana wapo confused kila eneo

Acha walewe wasahau shida zao
Kama hili rundo la hawa wanafunzi wa sasa wa sekondari wanaosoma masomo ya arts ambao ni 95% ya wanafunzi wote
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
😂😂😂Khe
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Umeongea kisela sana ila umeongea Ukweli!!!
 
Ungeongelea taifa linaangamizwa na michezo ya bahati nasibu ningekuelewa, ila kwenye pombe /bangi & ugoro wapo wachache sana kutofautisha na michezo ya kubahatisha kila rika linawekeza kwa matarajio ya utajiri.
 
Majuzi Kati palikuwa na fainali ya ndondo cup nliamua kwenda maana magetoni sikuwa na mgeni, aisee vijana walikua wanagonga msuba kama hawana akili vle ugoro ulikua unatumiwa na vijana wengi kinoma mpaka nikaamua nibadilishe zone nlokua nimekaa

Vijana wengi wameangukia kwenye ulevi na kuamini kwenye michezo ya bahati nasibu

Nn kifanyike?
Vijana hawana matumaini ya kujikwamua kiuchumi familia, jamiii, taasisi zingn na serikali ziangalie namna ya kusaidia vijana jinsi ya kuwasaidia kiuchumi sio kwa sababu kahitimu chuo bas Kila mtu anamkimbia
 
Tunapoelekea bangi na pombe vitakuwa vitu vya kawaida kwa vijana chini ya miaka18
 
Back
Top Bottom