Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

Ume

Umeongea kitu cha maana sana
Ila swali langu ni kwanini miaka hii ndiyo imeshika hatamu kwa ulevi tofauti na enzi zetu
Uhaba wa fursa unaotokana na wingi wa washindani wanaotokana na ongezeko kubwa la watu.

Suluhisho? Hakuna

Kwahiyo? Kutafuta vifubaza akili tu siku zisogee
 
Nimesema hivyo juzi nimebeba vijana wanne wakanisaidie kupandisha
Tairi za gari ziende gereji
Amini ninachokwambia vijana wanne tairi za scania ziliwashinda kuzipandisha mpaka nikatafuta wengine tena watatu na penyewe kwa mbinde
Vijana nguvu empty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa vijana michongo hakuna, wanakula mo eneji na andazi moja nguvu watoe wapi Sasa.
 
Kama hili rundo la hawa wanafunzi wa sasa wa sekondari wanaosoma masomo ya arts ambao ni 95% ya wanafunzi wote
 
😂😂😂Khe
 
Umeongea kisela sana ila umeongea Ukweli!!!
 
Ungeongelea taifa linaangamizwa na michezo ya bahati nasibu ningekuelewa, ila kwenye pombe /bangi & ugoro wapo wachache sana kutofautisha na michezo ya kubahatisha kila rika linawekeza kwa matarajio ya utajiri.
 
Majuzi Kati palikuwa na fainali ya ndondo cup nliamua kwenda maana magetoni sikuwa na mgeni, aisee vijana walikua wanagonga msuba kama hawana akili vle ugoro ulikua unatumiwa na vijana wengi kinoma mpaka nikaamua nibadilishe zone nlokua nimekaa

Vijana wengi wameangukia kwenye ulevi na kuamini kwenye michezo ya bahati nasibu

Nn kifanyike?
Vijana hawana matumaini ya kujikwamua kiuchumi familia, jamiii, taasisi zingn na serikali ziangalie namna ya kusaidia vijana jinsi ya kuwasaidia kiuchumi sio kwa sababu kahitimu chuo bas Kila mtu anamkimbia
 
Tunapoelekea bangi na pombe vitakuwa vitu vya kawaida kwa vijana chini ya miaka18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…