Miaka 27 bila Mwl Nyerere; Je CCM bado inaiishi falsafa yake ya kimapinduzi?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Leo imetimia miaka 14 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999.

Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema;

“Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta mapinduzi katika maisha yao”

“Msingi wa chama chetu kipya ni kukataa madaraka yanayotumiwa kwa faida za mtu binafsi.”

Swali muhimu kwetu ni Je, CCM bado inaiishi falsafa ya kimapinduzi?
 
View attachment 3690303
Huyu Nyerere katuachia katiba ya ajabu.
Huyu Nyerere katuachia muungano wa ajabu.

Kumtaja taja Nyerere kama Malaika wakati aliifanya hii nchi mali yake binafsi ni kutukosea adabu Watanganyika.
 
Kwenye suala la Katiba na Muungano, Nyerere alitukosea Wananchi na raia wa Tanganyika, hivyo hastahili kuwa Malaika wala Mtakatifu km inavyosemekana.

Ukweli na usemwe.
 
Back
Top Bottom