ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.
Puli napiga kidogo tu sio sana mademu wapo kitaa ila mpaka ninywe pombe ndo niongee nao bila pombe nakuwa sina lomoni yoyote nakuwa kimya Kama kuku anayetaga.. sometimes mademu wakijua me ni mlevi wanakula Kona wananiachia manyoya..nakula pombe, sie wote si ma born town tunajuana wazee wa ma vibe..
Ila ndo hivo wakuu sometimes waga nahisi lifestyle yangu itapelekea kuwa na mbegu zisizo na ubora wa kutungisha mimba ila sometimes najipa matumaini hata Kama nikikosa mtoto sio ishu maisha yataendelea tu Tena ndo nakuwa Sina mzigo wa kulea...
Ila tatizo nikiwaza Mali zangu nitamwachia Nani Hapo naishiwa pozi...sema Nini sio case mbona yesu yule mwalimu asiye na kifani mfalme mbona hajawahi kuwa na watoto halafu fresh tu kafanikiwa.aah bwana eeh watoto Ni majaliwa kasim...tafuteni hela nyie.