ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #21
Ni wake za watu wengine Wana watoto kabisa wawili mpaka watatuPole, niunganishie basi hao mademu wako niwajaribu kama wanashika mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wake za watu wengine Wana watoto kabisa wawili mpaka watatuPole, niunganishie basi hao mademu wako niwajaribu kama wanashika mimba.
Kama kweli vile....!Mbona vidole laini hivo?? yaani ulivo ishika hiyo Bia Mkuu labda watu wengine wasiione!!! yaani hata kutongozwa tu na Bar Med pia? vitoto vya shule? hawakutongozi Baba pole unasafari ndefu???
jifunze kushika Bia mkononi vizuri utaona haooooooo!!
Mmh sio mchezo yaan hivii vitu vya studio vitatuuaJohn kunywa supu kwanza upumzike kidogo, bado umelewa....
Hospital binafsi wanafanya hiko kipimo brother ukiwa na NHIF Unamwomba tu daktari?Unasema mademu hawakutaki..sasa mimba utawapaje?..kwa mdomo?
Kafanye sperm count and fertility examination kama una hofu na hilo..ila for the meantime ni kuwa ili umpe demu mimba ni lazima umgegede na umwagie ndani siku ambayo yupo kwenye joto vitu vingine vikiwa vimeremain constant.
Kiwango cha juu niliwahi kwenda 11. Siku hizi sizipendi sana naishiaga nne tu halafu nahamia kwenye bia nyepesi. Uwe unakula kwanza vizuri. Sio ugali maharage halafu unaenda piga safari.🤣🤣🤣.Hivi mwanangu we Safari ngapi humalizi?maana me hizi kubwa nikipiga sita tu chali nazima na kuzima yaani aibu kinyama
Bei sijui exactly ni kiasi gani mkuu..Inagharimu sh ngapi kufanya vipimo mkuu
Sina uhakika, ngoja nifuatilie nitakujibu.Hospital binafsi wanafanya hiko kipimo brother ukiwa na NHIF Unamwomba tu daktari?
Hii kitimoto kama ya pale kwa NKOMO ,,, au kwa bwashee pale nyumaNile chips Kwan me mwanamke?View attachment 1842072View attachment 1842073
Hamna noma, walete tu....nitakununulia togwa na maandazi mawiliNi wake za watu wengine Wana watoto kabisa wawili mpaka watatu
Kumbe kuna wadada ambao hawana akilli zao?Ukioa utampa mimba.Lakini iviivi no,na inaonesha unapata wadada wenye akili zao
Yeah, wanafanya danger daysKumbe kuna wadada ambao hawana akilli zao?
Utakuwa bashite weweWakuu hii kitu ni hali ya kawaida au nafeli mahali nguvu za kiume ninazo nina uhakika tatizo ni kwamba sijawahi kuletewa hata stori kwamba nimempa mimba nimpe hela akatoe.