Miaka 27 sijawahi kumpa mimba mwanamke

Miaka 27 sijawahi kumpa mimba mwanamke

Mbona vidole laini hivo?? yaani ulivo ishika hiyo Bia Mkuu labda watu wengine wasiione!!! yaani hata kutongozwa tu na Bar Med pia? vitoto vya shule? hawakutongozi Baba pole unasafari ndefu???

jifunze kushika Bia mkononi vizuri utaona haooooooo!!
Kama kweli vile....!
 
Unasema mademu hawakutaki..sasa mimba utawapaje?..kwa mdomo?

Kafanye sperm count and fertility examination kama una hofu na hilo..ila for the meantime ni kuwa ili umpe demu mimba ni lazima umgegede na umwagie ndani siku ambayo yupo kwenye joto vitu vingine vikiwa vimeremain constant.
Hospital binafsi wanafanya hiko kipimo brother ukiwa na NHIF Unamwomba tu daktari?
 
Hivi mwanangu we Safari ngapi humalizi?maana me hizi kubwa nikipiga sita tu chali nazima na kuzima yaani aibu kinyama
Kiwango cha juu niliwahi kwenda 11. Siku hizi sizipendi sana naishiaga nne tu halafu nahamia kwenye bia nyepesi. Uwe unakula kwanza vizuri. Sio ugali maharage halafu unaenda piga safari.🤣🤣🤣.
 
Mikono laini hiyo kweli umpe mtoto wa watu Mimba THUBUTU.
Angali hii kama uko sawa

Kama hauruki mkojo futi5 toka miguu yako pasipo kushikili mpini. Hesabu mashine haina nguvu
Kama uko miaka 40 and below

Nakumpuka nilikuwa na rusha hadi najikojolea usoni kitu kiko projected at projectile angle
 
Back
Top Bottom