Wale wa miaka hio ambao walipataga ajira serikalini mseleleko bila kufanyiwa interview yoyote wakikaa kuongea ndio wanaongeaga hivyo lawama za kijingaSasa hata mkianza kuwa laumu vijana kushindwa kujitegemea mnakuwa mnakosea Hakika maana zama nazo zimebadilika.
Hakika ila mimi naona hali ni mbaya kotekote tu.Zama zimebadilika na mgharama za maisha kwa ujumla zimebadilika mno hasa kwa waishio mjini. Wanaoishi kijijini wengi ni rahisi kuoa na kuwa na mji mapema kabisa kutokana na mazingira ya huko.
Kwa kijijini n tofauti kidogo. Nna jamaa yangu alikimbia mjini baada ya kuona hali ya kipato si nzuri karudi kwao kapewa eneo na wazazi. Analima na kajenga boma lake na kaoa na maisha yanaenda ila kwa mjini hali ni tofauti sana. Nyumba tu ya kutosha familia ya watu wanne ni gharama sana, bado kula na mambo mengine.Hakika ila mimi naona hali ni mbaya kotekote tu.
Ni kweli Hakika..Kwa kijijini n tofauti kidogo. Nna jamaa yangu alikimbia mjini baada ya kuona hali ya kipato si nzuri karudi kwao kapewa eneo na wazazi. Analima na kajenga boma lake na kaoa na maisha yanaenda ila kwa mjini hali ni tofauti sana. Nyumba tu ya kutosha familia ya watu wanne ni gharama sana, bado kula na mambo mengine.
Kuna strategy gani ambazo kijana anaweza kuzitumia ku adapt??nguvu kubwa ya BINADAMU ni kuwa na uwezo wa kua-adapt,...ni kweli maisha yanabadilika, lakini bado kuna fursa ndogo ndogo ambazo vijana hatuna budi kuzitumia to the maximum, pia mabadiliko ya sheria kadhaa za maisha, kama maisha ya ndoa, ni muhimu sana ili kukidhi matakwa ya maisha ya sasa,...
kuwa na multi-skills,kutokuchagua kazi kwa kisingizio cha elimu na aibu kuwa watu watanionaje,.......Kuna strategy gani ambazo kijana anaweza kuzitumia ku adapt??