BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
njoo dmNaskia una vyote…..
Ntakupelekea moto vby sana
njoo dmNaskia una vyote…..
Ntakupelekea moto vby sana
ndio jibu lako kuhusu madhara ya kutokuwa nafamilia watakujibu uliowaita hawazai??????????????? unamjua General AUSTIN??????????????/Nilikuwambia hao hawazai
Nilikuwambia hao hawazai
Wanaoishi vijijini wanaona maisha ni magumu kuliko ya mjini.Zama zimebadilika na mgharama za maisha kwa ujumla zimebadilika mno hasa kwa waishio mjini. Wanaoishi kijijini wengi ni rahisi kuoa na kuwa na mji mapema kabisa kutokana na mazingira ya huko.
😁😀😀akiwa he si nnakimbiaAngalia usije kuwa ni wewe wa kupelekewa huo moto🔥
Duuh kwa hio shida sio hali ya maisha?Tunasingizia kukosa pesa ndo sababu inayofanya vijana wanafika miaka 30 + bila kuoa, hio inaeza changia, ila sababu kubwa inayofanya watu wafike 30's bila ndoa ni kukosa wenzi wanaoeleweka/wanaoendana
Maana kama ishu ni uchumi mbovu, binadamu wengi uchumi wetu sio mzuri, most people are struggling financially like 85% of people are struggling financially. So kama mkiwa compatible mkiungana wawili mnaeza saidiana mawazo na nguvu ya jinsi ya kukuza uchumi wenu.
Mfano mwanaume unamtongoza mdada wa kufanya nae maisha, kati ya 20 unaofata let's say 5 wanakukataa, 15 hawana story nyingine na wewe zaidi ya kukuomba omba hela mara gesi, mara nywele, ukiangalia huyu mtu ananipa contribution gani kwenye maisha yangu at least friendship and companionship, hamna,wadada wanaokuonesha upendo huwataki kabisa, hapo kuoa ngumu
Mwanamke pia, unakuta wanaume anaowataka hawamtongozi, wakimtongoza wao wanapiga tu na kusepa, wanaume wanaotaka kumuoa yeye hawataki..hapo ni mda unaenda anashindwa kufanya maamuzi, mtu anajikuta 34 hio, hata mtu wa maana hana.. SanArt
Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana sana na kutufanya iwe ngumu sana kwa kijana mwenye umri huo, ambaye kwa miaka 20 nyuma tayari angelikuwa na mianya yake mingi ya hela. Nakumbuka kabla hata mzee wangu hajaoa in his mid 20s tayari alikuwa anamiliki Suzuki.
Tayari alikuwa na mshamba, alikuwa na uwezo wa ulisha familia na ndugu pande zote. Yaani najiuliza, why bado tunaishi na mentality za kudhani kuwa ajira inaleta stability wakati hata wages unayo lipwa haiwezi kukufanya uwe stable.
Ndoa hazidumu pia kwasababu hiyo hiyo, ni stress juu ya stress tu. Yaani mtu unalipwa 2m ila bado Ukisema ujenge financial stability inakuwa ngumu maana running cost nazo zinakuitaji, ukinunua kiwanja kuja ukajenge nako mtihani, ukipanga unaishia kuendelea kupanga tu na wazo la kujenga hata haliji maana kila Mshahara unakuta umekaa kila angle.
Sasa hata mkianza kuwa laumu vijana kushindwa kujitegemea mnakuwa mnakosea Hakika maana zama nazo zimebadilika.
Wapigwe vizuri, watasema ukweli, ugumu wa maisha inachangia kwa asilimia 10 tu mtu kutokuoa, ila asilimia 90 zilizobaki ni kukosa mwenza mnaeendana..mtu katongoza wadada 20 wote wamemkataa unadhani atakwambia, mdada akipata wanaume wao ni kupiga na kusepa, unadhani atakwambia, mdada kakataa husband material 8 waliotaka kumuoa unadhani atakwambia, mdada hafatwi na type za wanaume anaowataka unadhani atakwambia?Duuh kwa hio shida sio hali ya maisha?
Mbona vijana wakiulizwa kwanini hauja oa, wanasema kuwa bado wanaji tafuta?