Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

sio 30 tuu hali inaendelea na miaka inafika.

itafika wakati 40+ kawaida
50+ kawaida
na itafika wakati kuoa itakuwa jambo la kushangaza?????????????
huko ndio enlightment na kukua kiakili.
vijana wengi sasa wamesoma na wamefundishwa kuishi kwa maswali na kujibu kama elimu zetu.


vijana wameona ni maramia wazalishe na kuwa na watoto ila ndoa Harusi na MIkataba ya wawili Mwiko.
 
Je unajua madhara ya kuto kuwa na ndoa(familia)
 
Uliza Watawa mapadre masista ma monk na kamuulize general flani wa marekani
Hao hawazai
Hawana watoto, ndo maana hata madhara hayawakumbi. Unavyokuwa na watoto bila familia inakuwa unawaingiza katika kukosa malezi, na mwisho kuwa na kizazi kibaya
 
Nimerudi zangu kijijini maisha yanaenda angalau. Nilianza na kuku Sasa nina mbuzi 16. Mwakani nataka nivute ng'ombe wa maziwa. Malengo yangu kufika 2030 ni kumiliki biashara ya mgahawa, pub na mashamba ya matunda.

Endeleeni kubanana mjini mkishindana kununua Samsung na Iphone pamoja na smart tv kubwa
 
Hakika vijana wengi wanashindwa maisha mjini lakini wanataka kuendelea kukomaa tu
 
Ingekua bila tendo lingekua jambo !kama unafanya hao unaofanya nao ndio wake zako!!

Achana na hizi ngonjera za wali na hina zao!iangalie asili na kile unachopewa nayo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…