Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

, mifumo imebana sana na kutufanya iwe ngumu sana kwa kijana mwenye umri huo, ambaye kwa miaka 20 nyuma tayari angelikuwa na mianya yake mingi ya hela. Nakumbuka kabla hata mzee wangu hajaoa in his mid 20s tayari alikuwa anamiliki Suzuki.

Tunasingizia kukosa pesa ndo sababu inayofanya vijana wanafika miaka 30 + bila kuoa, hio inaeza changia, ila sababu kubwa inayofanya watu wafike 30's bila ndoa ni kukosa wenzi wanaoeleweka/wanaoendana

Maana kama ishu ni uchumi mbovu, binadamu wengi uchumi wetu sio mzuri, most people are struggling financially like 85% of people are struggling financially. So kama mkiwa compatible mkiungana wawili mnaeza saidiana mawazo na nguvu ya jinsi ya kukuza uchumi wenu.

Mfano mwanaume unamtongoza mdada wa kufanya nae maisha, kati ya 20 unaofata let's say 5 wanakukataa, 15 hawana story nyingine na wewe zaidi ya kukuomba omba hela mara gesi, mara nywele, ukiangalia huyu mtu ananipa contribution gani kwenye maisha yangu at least friendship and companionship, hamna,wadada wanaokuonesha upendo huwataki kabisa, hapo kuoa ngumu

Mwanamke pia, unakuta wanaume anaowataka hawamtongozi, wakimtongoza wao wanapiga tu na kusepa, wanaume wanaotaka kumuoa yeye hawataki..hapo ni mda unaenda anashindwa kufanya maamuzi, mtu anajikuta 34 hio, hata mtu wa maana hana.. SanArt
 
Komaa.
Zama zimebadilika, mfumo umekaba. Usikate tamaa wala usijilinganishe na ya zamani komaa kimkakati, linda akili yako, na pigania hatua zako ndogo ndogo kila siku.
 
kapimwe akili ndugu.







mada inahusu nini? wewe unaongelea nini???????????
familia ni nini????????????
mke ni nini?????????
uko kama chizi
Asiye na akili ni wewe usiye jua link ya mke na familia,
 
WAsukumu mnao na kupewa ardhi na ngombe bure.
Wazaramo wanaia na kukaa na mke hapo kwa wazazi, sasa wachagga lazma wajenge , wajengee wazazi na kusomesha wadogo zao ndio waoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…