Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

Zama zimebadilika na mgharama za maisha kwa ujumla zimebadilika mno hasa kwa waishio mjini. Wanaoishi kijijini wengi ni rahisi kuoa na kuwa na mji mapema kabisa kutokana na mazingira ya huko.
Wanaoishi vijijini wanaona maisha ni magumu kuliko ya mjini.
 
Duuh kwa hio shida sio hali ya maisha?

Mbona vijana wakiulizwa kwanini hauja oa, wanasema kuwa bado wanaji tafuta?
 
WAsukumu mnao na kupewa ardhi na ngombe bure.
Wazaramo wanaia na kukaa na mke hapo kwa wazazi, sasa wachagga lazma wajenge , wajengee wazazi na kusomesha wadogo zao ndio waoe.
Duuh haya mambo kwani mpaka leo wapo
 
 
Duuh kwa hio shida sio hali ya maisha?

Mbona vijana wakiulizwa kwanini hauja oa, wanasema kuwa bado wanaji tafuta?
Wapigwe vizuri, watasema ukweli, ugumu wa maisha inachangia kwa asilimia 10 tu mtu kutokuoa, ila asilimia 90 zilizobaki ni kukosa mwenza mnaeendana..mtu katongoza wadada 20 wote wamemkataa unadhani atakwambia, mdada akipata wanaume wao ni kupiga na kusepa, unadhani atakwambia, mdada kakataa husband material 8 waliotaka kumuoa unadhani atakwambia, mdada hafatwi na type za wanaume anaowataka unadhani atakwambia?

Hujawahi ona baadhi ya vijana Wana nyumba, gari, na kipato kizuri kwa mwezi above 2m+ ila hawajaoa..hao utasema ni sababu ya uchumi umebana SanArt
 
Sema wengi wa vijana waliopo kwenye majiji na miji mikubwa. Kuna maeneo hii Tz kijana wa miaka 30 tayari anajimudu ipasavyo awe kaoa au hajaoa. Hategemei tena kulishwa na wazazi na pale inapobidi yeye ndie anawalisha wazazi.

Wakuu tusing'ang'anie mjini kama kunabana ndoto na mafanikio, tukajaribu na vijijini kituaristi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…