Ilikuwaje wanamuhype Mr Ebbo mbele ya malegend wenyewe wa swahili Rap?Labda hao X-plastaz waliwasiliana nao lakini ratiba zao zimebana mana inaonekana wanaishi Uholanzi. Kwa jinsi wandaaji wanavyotaka kiki sidhani kama hawakufanya jitihada za kuwatafuta Xplastaz!
KU crew ndiyo waasisi,wakina dar Young mob(sugu ndani) walikuwepo jamaa wanaitwa wagumu weusi asilia nkKwanza siwaelewi wale wanaoadhimisha miaka 30 ya bongo fleva, hivi kwanza unit walikuwepo mwaka gani , si kikundi alichokianzisha katibu mkuu wa ccm.
Bongo fleva ina umri wa zaidi ya miaka 30 .
Niggaz 2 Public etc...!KU crew ndiyo waasisi,wakina dar Young mob(sugu ndani) walikuwepo jamaa wanaitwa wagumu weusi asilia nk
Ila kwa chuga xplastaz walitakiwa wapewe heshima yake
Ova
Walitakiwa wawepo kim&BoyzNiggaz 2 Public etc...!
Kulikuwa na kundi lingine wakati huo likiitwa Mamong'oo wa Ara.sijui wako wapi siku hizi.Hawa jamaa walitisha kabla ya kina Joh Makini
Hao watoto wa juzi.Kulikuwa na kundi lingine wakati huo likiitwa Mamong'oo wa Ara.sijui wako wapi siku hizi.
Xplastaz walianza kabla ya kipindi cha RAP TIME alichokuwa anakiendesha Abuubakar Sadie.Hao watoto wa juzi.