Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi.
Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil, si punde Dodoma itaongoza Kwa kila kitu, stay tuned
Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil, si punde Dodoma itaongoza Kwa kila kitu, stay tuned