Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
- Thread starter
-
- #101
Nipe njiaNi kawaida hiyo hali kutokea kwenye ndoa hasa ndoa za muda mrefu ila hapo ndipo unahitaji kupambana kweli kweli maana ndoa nyingi huwa zinaishia kwenye hali hiyo
Madokta wengi wa hivyo washatuzinguanikajua upo serious
Jidanganye π hao watu hautakaa uwaelewe kamwe , kula vizuri , mazoezi kidogo ,tembelea maeneo mapya , achana na mikakati ya kumwelewa mwanamke.Usiseme hivyo, mwanamke bila kumshughulikia vilivyo hakuelewi hata umpe nini.
Sasa tunafanyaje mkuu kama sio kawaida?Sio kitu cha kawaida
Wakimtafuna nitaweza kuvumilia kweli? Kwanza wewe umeona? Tuanzie hapo kwanza.Jidanganye π hao watu hautakaa uwaelewe kamwe , kula vizuri , mazoezi kidogo ,tembelea maeneo mapya , achana na mikakati ya kumwelewa mwanamke.
Kabla hujapata tiba sahihi ,usije ukadharau dawa. tumia tuMadokta wengi wa hivyo washatuzingua
Mbona wanamtafuna tu mkuu sema haujui, nioe ili iweje boss?Wakimtafuna nitaweza kuvumilia kweli? Kwanza wewe umeona? Tuanzie hapo kwanza.
πππSema astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah π π π π π π
Hakuna cha mfumo wa maisha,ukweli ni kuwa Wanaume tunawakinai wanawake.Angalia mfumo wa maisha hasa chakula
Kunywa maji
Pata tangawizi
Maziwa
Tembea mara kwa mara
Sisi ni ngono ni kipaumbele sana, hata makazini tunalipua lipua mambo ila ngono tusipoifanya haswa haswa tunakuwa kwenye matatizo makubwa.Una Matatizo Makubwa....!
Itaharibu Ndoa yako... Wanawake wasikie tu kwa jirani.
Kuna kipindi unamkinai mwanamke wako.Hakuna cha mfumo wa maisha,ukweli ni kuwa Wanaume tunawakinai wanawake.
Nitachukua huo ushauriπππKabla hujapata tiba sahihi ,usije ukadharau dawa. tumia tu
pia hakunaga tiba inafaa kwa kila mtu. hata hizi za malaria kila mtu anayo inayomfaa
Kwahiyo kwenye hicho chama cha walioa wewe huingii kabisa?πππMbona wanamtafuna tu mkuu sema haujui, nioe ili iweje boss?
olewa tu sasaMbona wanamtafuna tu mkuu sema haujui, nioe ili iweje boss?
Kwani na wewe huamshi pump?ππHakuna cha mfumo wa maisha,ukweli ni kuwa Wanaume tunawakinai wanawake.