Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
kawa mtu mkaidi, mkabila mbaguzi dicteta, hasiye shaurika, fisadi

Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani

Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.

Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa Mwanza pale Halimashauri ya jiji alitoa amri akiwa villa-pack matokeo yatangazwe kama yalivyo.

Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
 
ninaweka kichwa changu katiak block ya kuchinjwa,hii so called miradi kama itakamilika kwenye kipindi chake cha uongozi mie nitalifunga jukwaa hili hapa Lingusenguse,kuanzia ATC,RELI,MRADI WA UMEME,UBUNGO (kwangu ule ni uchafu,huwezi unainuka na kuinamia umbali wa 500m,kumbuka uchafu mwingine pale tazara).
 
Kumb
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua

Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani

Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.

Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.

Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.

Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Kumbe tuhuma bado kuthibitishwa.
 
Cha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.
Angekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020
 
Back
Top Bottom