Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

Angekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020
Mkuu zimenunuliwa ndege kumi ndani ya miaka mitano.

Inajengwa reli iliyoonekana muujiza kujengwa.

Huko katika maziwa kuna ujenzi wa meli unaendelea.

Zinajengwa hospitali kila wilaya.

Hizo milioni 50 sio lazima zitolewe mkononi, zinaweza kuwafikia wananchi katika mifumo ya miradi mikubwa.
 
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua

Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani

Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.

Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.

Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.

Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Usijali kamanda.
Kachero mbobezi ataongea na Mwenyekiti wetu.
Si unajua huyu Kachero Mbobezi na Kikwete ni damdam?
Enzi za madili na ngada zitarudi tu.
 
Threads za 2014 Hadi 15 September zilikuwa zinamtabiria Mabaya Magufuli kuliko hizi za leo.
Tusipeane matumaini hewa ya kipya 2020!
Kulialia kama mazikoni wakati mtu lazima azikwe tu ni uboya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao kabla ya kukamata dola walikuwa wanalalamika sana akiwemo jpm.nakumbuka uwaziri alipewa kwa Huruma ya umma, Leo kageuka anajaza jamaa zake tu
 
Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.

Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..

Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.

Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna usahihi wowote katika hili.

Kuna watu ambao unahisi labda akiwaondoa atakuwa fair.

Ila kuna ambao kawaondoa lakini labda hawakuwa katika orodha yako, hivyo unaona kama vile hakuna lililofanyika.
 
Kangi Lugola mpaka leo yupo mtaani anakula bata. Angekua raia wa kawaida ndio amefanya ule ufisadi, basi sasa hivi ndugu na marafiki wangekua wameshamzika na kumfanyia arobaini zamani sana.

October 2020 inakaribia, wajipange kisawasawa.
Wanataka msahau,ndiyo maana kwa sasa wanaendelea na episode zingine na movie inaendelea.Bado zipo nyingi kuelekea October 2020.
 
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua

Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani

Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.

Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.

Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.

Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Mungu mpokee mja wako Lwajabe
 
Tuweke kando hao wengne
Kikwete alimtumbua lowassa from nafasi ipi????
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua

Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani

Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.

Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.

Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.

Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Mzee mbna nahisi kama umemalza kidato cha PILI jana????
Leo hii kikwete akawe wa maana nchi hii kuliko magu tena kwny aspect ya uswahiba????
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaah CNT BE
Labda kama unatabir uongoz kikwete ridhiwan,not Jakaya rly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kangi Lugola mpaka leo yupo mtaani anakula bata. Angekua raia wa kawaida ndio amefanya ule ufisadi, basi sasa hivi ndugu na marafiki wangekua wameshamzika na kumfanyia arobaini zamani sana.

October 2020 inakaribia, wajipange kisawasawa.
Kwani Kangi katiba kiasi gani mpaka sasa.
Serikali ilishachukua au kulipa zile fedha!?
 
Mkuu zimenunuliwa ndege kumi ndani ya miaka mitano.

Inajengwa reli iliyoonekana muujiza kujengwa.

Huko katika maziwa kuna ujenzi wa meli unaendelea.

Zinajengwa hospitali kila wilaya.

Hizo milioni 50 sio lazima zitolewe mkononi, zinaweza kuwafikia wananchi katika mifumo ya miradi mikubwa.
Ilani ilitakiwa iseme hivyo, ila haikusema hivyo, kwa hiyo hayo ni mawazo yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapounda serikali nilazma utafute watu watakao kuelewa na kukuheshimu (watu loyal kwako) hilo sipingi,shida ni unapotaka watu wasitoe maoni tofauti,wasifanye siasa Ila we we na watuwako,unapotishia mihimili mengine kuwa wako we we umejichimbia zaidi kwaiyo mengine unaiona weak, unapoamua kufanya yale unayoyatamani na kulazimisha wanaokupinga kuyakubali,unapokataa hata wastaafu wasiongee na kuwaita wawashwaji,unapowanyima wafanyakazi fair remunerations, unaporuhusu biashara holela na kuzibana kodi zile rasmi (wenzet hufanya vice versa) super markets zinakufa makarai yanajaa barabarani,malls zinakufa vibanda vyamabati vinajaa,tax zinakufa boda zinajaa mjini kati... Tujitathmini
 
Angekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020
Si rahisi kutimiza ilani yote popote duniani tena kila kipengele hatua kwa hatua, kwa nukta zake
Mara nyingi watu huangalia PERCENTAGE.
Changamoto ktk utekelezaji
Mahitaji mapya ndani ya muda wa utekelezaji

Tukiachana unazi, naamini Ndiye RAIS anayeongoza kwa kutekeleza ahadi kwa asilimia kubwa ukilinganisha na wengine, anayefanya miradi mikubwa zaidi kwa usimamizi mzuri zaidi
Shida yake iko kwenye Demokrasi na siasa, eneo ambalo amekwama sana
 
Back
Top Bottom