Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Kitwanga ni kama kange hawakutoa gawioMbona Kitwanga alitumbuliwa?
Acha hizo bwashee!
Kitwanga ni kama kange hawakutoa gawioMbona Kitwanga alitumbuliwa?
Acha hizo bwashee!
Washauziwa chama nani atawatoaHii ni serikali ambayo endapo wasipong'ang'ania madaraka wataishia magerezani maana makosa yao yako wazi kabisa
Hawezi tumbua kule wanajua dili zake nje ndaniPia jamaa zake wa TANROADS wote amewakumbuka kwenye ufalme wake. Ni serikali ya kishkaji mno.
Shibe kwanza kama hayaleti shibe ni bure tuninaweka kichwa changu katiak block ya kuchinjwa,hii so called miradi kama itakamilika kwenye kipindi chake cha uongozi mie nitalifunga jukwaa hili hapa Lingusenguse,kuanzia ATC,RELI,MRADI WA UMEME,UBUNGO (kwangu ule ni uchafu,huwezi unainuka na kuinamia umbali wa 500m,kumbuka uchafu mwingine pale tazara).
Kosa kubwa la wakoloni ni kutesa na kubaguwa watu wasingefanya hayo wangekuwepo hadi keshoSasa kwanini mliwaondoa wakoloni na wao walikuwa wanapiga kazi kuliko huyu?
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Watu kama Makonda na dotto ndio wanaomkusanyiaKikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Mimi naona orodha katika teuzi mbali mbali ziko balance na objective. Tatizo ni kwamba tumekua tunaishi kwa hisia sanaHivi Mungu angehukumu kwa kusikiliza umbea ingekuwaje?
Si tunataka maendeleo hayo mengine mtajua wenyewe wafanyakazi wa halmashauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hatuna umeme wala maji ya uhakika, over 50 years ya independenceCha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.
Maendeleo Tanzania hakuna, kama maji tu na umeme hakuna hayo maendeleo yanatoka wapiSi tunataka maendeleo hayo mengine mtajua wenyewe wafanyakazi wa halmashauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujenzi, ujenzi, ujenzi...vipi kilimo ambacho kinahitaji akili nyingi sana kutengeneza strategies za kuitoa nchi.Mkuu zimenunuliwa ndege kumi ndani ya miaka mitano.
Inajengwa reli iliyoonekana muujiza kujengwa.
Huko katika maziwa kuna ujenzi wa meli unaendelea.
Zinajengwa hospitali kila wilaya.
Hizo milioni 50 sio lazima zitolewe mkononi, zinaweza kuwafikia wananchi katika mifumo ya miradi mikubwa.
Out of orderMembe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.
Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..
Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.
Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliisikiliza hotuba ya ufunguzi wa bunge 2015?, itafute youtube uisikilize ndio utaelewa hicho nilichokiandika.Ilani ilitakiwa iseme hivyo, ila haikusema hivyo, kwa hiyo hayo ni mawazo yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna miradi mikubwa ya umeme inaendelea kutekelezwa mpaka dakika hii ninapoongea na wewe.Kumbuka hatuna umeme wala maji ya uhakika, over 50 years ya independence
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kazi nyepesi kuja na strategies ukiwa mbele ya laptop au simu yako ya kisasa lakini ni vigumu kuweka hizo strategies katika vitendo. Kumbuka kuwa reality ni tofauti na maandishi mengi unayoweza kuyasoma sehemu fulani.Ujenzi, ujenzi, ujenzi...vipi kilimo ambacho kinahitaji akili nyingi sana kutengeneza strategies za kuitoa nchi.
Kwangu mimi ujenzi is more of an operational thing, as long as kuna fedha sehemu unajenga tu; including kununua ndege, kuna shule gani hapo inatumika.
Kilimo kinahitaji thinking katika kutengeneza milestones za kupiga hatua za kiuchumi.
Zimbabwe walianza na mapinduzi ya kilimo, yakazalisha viwanda kisha nchi ikaanza kujengwa bahati mbaya akatokea mtu anayetumia mechanical means kutawala nchi ikarudi chini.
Sent using Jamii Forums mobile app