technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mbona Kitwanga alitumbuliwa?
Acha hizo bwashee!
Bashite ndio nani?Walitofautiana maslahi bwashee, Je kosa la ulevi wa kitwanga unaweza kufananisha na Bashite mwenye tuhuma lukuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,mtoa mada amemsahau pia Shukuru kawambwa kutumbuliwa na JKMbona Kitwanga alitumbuliwa?
Acha hizo bwashee!
Ni pale tu anapopenda, na ni kwa ajili ya kuchukuwa attention za watu. Huyu kakuambia Kikwete aliruhusu Bunge na baadhi ya wakati NEC kufanya kweli dhidi ya serikali yake. Je leo vyombo vyetu vitamshauri nini ?!.Mbona Kitwanga alitumbuliwa?
Acha hizo bwashee!
Bashite ndio nani?
Kumbe tuhuma bado kuthibitishwa.Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Cha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.
Angekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020Cha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.
Pia jamaa zake wa TANROADS wote amewakumbuka kwenye ufalme wake. Ni serikali ya kishkaji mno.
Cha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.