Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mkuu zimenunuliwa ndege kumi ndani ya miaka mitano.Angekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020
Hakuna serikali duniani ambayo rais anazungukwa na watu ambao sio waaminifu kwake.What a lame excuse!
Usijali kamanda.Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Sasa kwanini mliwaondoa wakoloni na wao walikuwa wanapiga kazi kuliko huyu?Cha muhimu anapiga kazi akitimiza ilani aliyokabidhiwa 2015, mengineyo ni mazungumzo ya kijiweni yasiyo na umuhimu wowote.
Wanataka msahau,ndiyo maana kwa sasa wanaendelea na episode zingine na movie inaendelea.Bado zipo nyingi kuelekea October 2020.Kangi Lugola mpaka leo yupo mtaani anakula bata. Angekua raia wa kawaida ndio amefanya ule ufisadi, basi sasa hivi ndugu na marafiki wangekua wameshamzika na kumfanyia arobaini zamani sana.
October 2020 inakaribia, wajipange kisawasawa.
Analipa fadhila,huko yawezekana walipiga mpunga wa haja hivyo ni lazima kulindana.Just thinking loudly.Mpk wanapewa majina ya madaraja,si mchezo.
Uhuru pasipo mipaka ni maisha ya wanyama.Sasa kwanini mliwaondoa wakoloni na wao walikuwa wanapiga kazi kuliko huyu?
Mungu mpokee mja wako LwajabeKikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Tuhuma hzo zmepelekwa mahakama ipi ima ya ndan au ya nje ya nchi?????Walitofautiana maslahi bwashee, Je kosa la ulevi wa kitwanga unaweza kufananisha na Bashite mwenye tuhuma lukuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbna nahisi kama umemalza kidato cha PILI jana????Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua
Makonda ameenda mbali zaidi achana na swala la makontena katuhumiwa kukatisha maisha ya watu na Marekani
Dotto James katuhumiwa mara kibao pamoja na kifo cha Lwejabe.
Nyerere anatukumbusha kutuhumiwa tu unatakiwa kuondoka ofisini ila wao hadi ushahidi upo lakini Magufuli anawaogopa.
Nakumbuka Kikwete mwaka 2010 Masha mshikaji wake wa damu kusindwa alikuja mwanza nakumbuka nilikuwa nafanya kazi pale Halimashauri ya jiji alitoa amri matokeo yatangazwe kama yalivyo.
Magufuli kazima kila kitu na kukiweka mfukoni ili iweje au awa watu anakula nao pesa za umma?
Kwani Kangi katiba kiasi gani mpaka sasa.Kangi Lugola mpaka leo yupo mtaani anakula bata. Angekua raia wa kawaida ndio amefanya ule ufisadi, basi sasa hivi ndugu na marafiki wangekua wameshamzika na kumfanyia arobaini zamani sana.
October 2020 inakaribia, wajipange kisawasawa.
Ilani ilitakiwa iseme hivyo, ila haikusema hivyo, kwa hiyo hayo ni mawazo yako?Mkuu zimenunuliwa ndege kumi ndani ya miaka mitano.
Inajengwa reli iliyoonekana muujiza kujengwa.
Huko katika maziwa kuna ujenzi wa meli unaendelea.
Zinajengwa hospitali kila wilaya.
Hizo milioni 50 sio lazima zitolewe mkononi, zinaweza kuwafikia wananchi katika mifumo ya miradi mikubwa.
Si rahisi kutimiza ilani yote popote duniani tena kila kipengele hatua kwa hatua, kwa nukta zakeAngekuwa anatimiza ilani angetoa milion 50 kila kijiji, angeleta katiba mpya, asingefukuza watoto wenye mimba shule. Maana hivyo vitu vyote vimo kwenye Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020