Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

Shibe kwanza kama hayaleti shibe ni bure tu
 
Kinacho tutafuna sasa hivi ni ndugunization na familiazation. The despotic Tanroads dynasty cum nepotism. Polarising a nation is easier than building it!​
​
Soma kitabu cha "Sawing the mustard seed" by Kaguta Yoweri Mseveni. Hapa utajua athari za sectarian politics.​
 
Maswaiba wanakinga ya utumbuzi ila tu kwa wasio na chapa,maadamu wanawashughulikia wapinzani ni CV tosha ya kazi.Gambo,sabaya,mnyeti,muro,hapi,chalamila,bashite,kigwa hawa wanakinga ya utumbuzi hata waboronge vipi by evidence sababu wanawashughulikia wapinzani ambao ni kikwazo na awatakiwi bungeni wataleta kikwazo cha kuongeza mihula.
 
Baada kuishiwa hoja zenye mashiko kinachofuata ni majungu na fitina umekuwa mtaji.

Basi akuteue wewe mkuu.
 
Watu kama Makonda na dotto ndio wanaomkusanyia
pesa yake yake kutoka miradi mingi ya kifisadi aliyoianzisha kinyume na taratibu
 
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiliza umbea ingekuwaje?
Mimi naona orodha katika teuzi mbali mbali ziko balance na objective. Tatizo ni kwamba tumekua tunaishi kwa hisia sana

Kama orodha ya watwule ni balance then hauna haja ya kuishi kwa hisia. Hiyo itakuwa ni dhambi na chuki binafsi.
 
Ujenzi, ujenzi, ujenzi...vipi kilimo ambacho kinahitaji akili nyingi sana kutengeneza strategies za kuitoa nchi.

Kwangu mimi ujenzi is more of an operational thing, as long as kuna fedha sehemu unajenga tu; including kununua ndege, kuna shule gani hapo inatumika.

Kilimo kinahitaji thinking katika kutengeneza milestones za kupiga hatua za kiuchumi.

Zimbabwe walianza na mapinduzi ya kilimo, yakazalisha viwanda kisha nchi ikaanza kujengwa bahati mbaya akatokea mtu anayetumia mechanical means kutawala nchi ikarudi chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of order

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hatuna umeme wala maji ya uhakika, over 50 years ya independence

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna miradi mikubwa ya umeme inaendelea kutekelezwa mpaka dakika hii ninapoongea na wewe.

Miradi ya maji sisi wenyewe tunaihujumu halafu tunakuwa wa kwanza kukimbilia JF na kudai hakuna kilichofanyika over 50 years.
 
Ni kazi nyepesi kuja na strategies ukiwa mbele ya laptop au simu yako ya kisasa lakini ni vigumu kuweka hizo strategies katika vitendo. Kumbuka kuwa reality ni tofauti na maandishi mengi unayoweza kuyasoma sehemu fulani.

Kuna wengi tu walishawishiwa kuingia katika kilimo cha kisasa kupitia maandishi mazuri lakini walipokwenda field cha moto walikiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…