Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona sasa hoja zimeisha vimeanza viroja, mkuu wangu Pasco, wewe ni msukuma wa Sengerema unataka kuwafundisha watu wa Kengeja historia ya Mapinduzi ambao walikuwepo kwenye hayo mapinduzi, zingekuwa habari za kina Mwanamarundi sawa.Mkuu Zomba, unaonaje kama hili ungelianzishia thread yake tuchangie humo, namna ya kuisaidia Zanzibar kuurejesha udola wake!. Hapa tunajipanga kusheherekea Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu kisha zinafuatia sherehe za Miaka 50 ya Muungano Adhimu, huku tunamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mtukufu atupe kila la kheri na atuepushe na kila la shari na hila za wapinga Mapinduzi yale Matukufu, na Muungano huu Adhimu ili tupate kusherehekea miaka 100 ya Mapinduzi Matukufu na Muungano Adhimu Amin.
Wa Billah Tawfiq
Pasqwa
Hili kila mtu analijua, ila tulifungulie thread yake ili pia tueleze jinsi Waarabu walivyokuwa kuwa wakaribu kwa watumwa!, waliwauza wapi?, huko walikouzwa ni kwa kina nani?, hao walionanunua hao watumwa babu zetu, walifanya nini watumwa wote wanaume?, na wanawake walitumikaje!. Fungueni tuu thread kuhusu ya Wema na Ukarinu wa Waarabu kwa Watumwa ili tuichangie!. Hii ni ya Maswali yasiyo na majibu kuhusu Ule uhuru bandia wa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ya ZanzibarBabu zetu ndio waliwauzia Waarabu watumwa, kwa shanga na vioo. Au hilo hulijui?
Kuna watu wanadhani Mwarabu alipokuja Zanzibar, kuna wenyeji aliwakuta!, la hasha!. Hao wamatumbi mnao waona leo, na masalia ya watumwa walikosa soko!. Waarabu walikuwa ndio mabwana na Matumbi ni watwana, Mapinduzi yamewafanya watwana kugeuka ndio mabwana na waliokuwa mabwana wakawa watwana!. Leo hata wingi wa machotara na Mapinduzi kuwezesha mtwana kujitwalia binti wa Kiarabu na kumfanya mke!. Wabwana wa Mkongwe walichinjwa kwa jambia, leo Alhamdidulahi, watwana nao wanaishi ghorofani!, zamani wali wakiishi Kibanda Maiti, Mchambawima, Mchafukoge etc. Huu sii utukufu wa mapinduzi?!.
Pamoja na harakati zote, muungano utadumu, Mapinduzi Daima!.
Pasco
Mkuu Hemedi Didati, hoja hujibiwa kwa hoja!, hoja za iongo hupanguliwa kwa hoja za ukweli!. Mada kuu ni thread start, ile mada kuu ya msingi!, mengine yote ni mengineyo!. Nenda kwenye mada ya msingi, chambua uongo, weka ukweli tusonge mbele!.
Muungano huu una abracadabra kwa wingi tu,Zanzibar wanataka uhuru wao wakati Tanganyika haipo ila Tanzania ndio haitaki??
Ni yapi manufaa ya muungano kwa wananchi wa bara hadi watawala wautetee??!! Kwangu majibu yao ni abracadabra tupu!!
Muungano ni kama ndoa, na kwa upande wa UN ni kama ndoa ya ughaibuni. Baada ya kumtwaa binti wa watu huko ughaibuni, kuwa mkeo, ni binti ndiye kwanza hutoa taarifa kwao kuwa amepata mchumba na wanataka kuleta posa, kisha ndipo mshenga hutumwa na binti kuulizwa kama amekubali ndipo posa hupokelewa na mahari kupangwa na ndoa kufungwa, na sio muoaji kutoa taarifa kwa wazazi wa binti kuwa yeye ndie kamuoa binti yao!.
Hivyo tulipoungana, SMZ ndio ilipaswa ipeleke NV kule UN kuisurender seat yake kwa Tanganyika baada ya muungano!, kilichofanyika ni kwa Tanganyika kupeleka NV kule UN kuwa imeungana na Zanzibar hivyo Jamhuri wa Watu wa Zanzibar has ceased to exist na imebadili jina kutoka Tanganyika hadi Tanzania!.
Kama ilivyokuwa kwenye issue ya ratification, something was wrong, the same kwenye kufuta seat ya Zanzibar kule UN, something was wrong!. Its very unfortunately UN iko busy sana, bado sijaelewa mpaka leo, nchi imefutwa futwa vipi bila any international instruments kuwa deposited kule UN kuonyesha muungano!. Kiti kimefutwa kwa NV tuu!. Its very unusual ila hivyo ndivyo hali ilivyo till todate!.
Next year nafanya tena visit ya UN kwa mengine, ila hili pia litakuwa ni moja ya agenda zangu!. Nimeishamaliza ground work huku nyumbani, hizo articles of union, are no where to be seen!, sababu naijua!. Kumbe hata UN hazipo!.
Pasco.
Pasco
Hili kila mtu analijua, ila tulifungulie thread yake ili pia tueleze jinsi Waarabu walivyokuwa kuwa wakaribu kwa watumwa!, waliwauza wapi?, huko walikouzwa ni kwa kina nani?, hao walionanunua hao watumwa babu zetu, walifanya nini watumwa wote wanaume?, na wanawake walitumikaje!. Fungueni tuu thread kuhusu ya Wema na Ukarinu wa Waarabu kwa Watumwa ili tuichangie!. Hii ni ya Maswali yasiyo na majibu kuhusu Ule uhuru bandia wa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Pasco.
Mkuu Zomba, unaonaje kama hili ungelianzishia thread yake tuchangie humo, namna ya kuisaidia Zanzibar kuurejesha udola wake!. Hapa tunajipanga kusheherekea Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu kisha zinafuatia sherehe za Miaka 50 ya Muungano Adhimu, huku tunamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mtukufu atupe kila la kheri na atuepushe na kila la shari na hila za wapinga Mapinduzi yale Matukufu, na Muungano huu Adhimu ili tupate kusherehekea miaka 100 ya Mapinduzi Matukufu na Muungano Adhimu– Amin.
Wa Billah Tawfiq
Pasqwa
Kwa heshma ya Karume na Mama Fatma, please lets spare them, please usiwageuze ni subject of discussion ya uzi huu!, mada uko thread ya kwanza, unamajibu jibu, huna kaa kimya!.Hivi Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume alioa lini na alioa nani?
Huoni ajabu Mtwana kama Karume kulioa binti la Kiuungwana kama Fatma?
Unanini cha kusema hapo kuhusu Utwana na Ubwana wa Zanzibar? au Karume ni unique case?
Utaongelea kusherehekea Muungano bila kuujadili Muungano wenyewe?
Ungeweka basi taarab humu tusikilize yaishe. Hivi una akili timamu au yamekushinda?
Mkuu Pinno, haya ndio majibu niliyoyataka. Muungano wowote wa two sovereign states kwenye medani za kimataifa unatawaliwa na international instruments ambazo copy ya hizo instruments hutumwa UN ili kuuhalalisha huo muungano!. Jee unajua kwa muungano wetu ni nini kilichopo UN zaidi ya hiyo NV?!. Is it right?!.You might be right but also very wrong Pasco.
Tanganyika na Zanzibar ziliungana, na wala siyo kwamba Zanzibar iliunganishwa kwa Tanganyika. Hivyo mfano wako wa bint muolewaj na kijana muoaji haufit hapa.
Pia NV kutumwa na JMT ilikuwa bado sahihi ,ingekuwa wrong kama ingetumwa na Serikali ya Tanganyika pekekee,au serikali ya zanzibar pekee.jambo lililosahihi ilikuwa ni aidha itumwe na serikali zote mbili kama ulivyoainisha (na hili lingefanyika kabla ya muungano) au itumwe na serikali ya muungano ambayo ndni yake kuna SMZ na Serikali ya tanganyika.na hili lilikuwa ni lazima liwe baada ya muungano.
Sasa kwa sababu ya mazingira yaliyokuwepo wakati huo ,ilikuwa ngumu kwa NV kutumwa kabla ,ndo maana option ya baada ya muungano ikawa bora zaid.
Akhsante.
Mkuu Bilali Bini Rabaha, thread ya msingi ni ile ya kwanza, umeelewa unajibu, hujaelewa unakaa kimya!. Unapokuwa humuelewi mtu wala hata usijisumbue kujangia, kuna threads kibao humu unaziweza kuzielewa, au hata uamuzi wa ku log off ni wa busara zaidi kuliko kujaza savers kwa usichokielewa!. Main topic ipo, hizo hoja nyingine si zifunguliwe topic zake tutachangia!. Lengo ni to keep focus!.Zomba
Mimi namshangaa sana Pasco sijui kwanini anarukaruka kama mahindi ya POPCORN mara hili suala kafungue thread yake hata simuelewi ngoja ni log off mpaka huu muhemko/jazba zake zitakapo pungua.
Mkuu Pinno, haya ndio majibu niliyoyataka. Muungano wowote wa two sovereign states kwenye medani za kimataifa unatawaliwa na international instruments ambazo copy ya hizo instruments hutumwa UN ili kuuhalalisha huo muungano!. Jee unajua kwa muungano wetu ni nini kilichopo UN zaidi ya hiyo NV?!. Is it right?!.
Pasco.
Hili kila mtu analijua, ila tulifungulie thread yake ili pia tueleze jinsi Waarabu walivyokuwa kuwa wakaribu kwa watumwa!, waliwauza wapi?, huko walikouzwa ni kwa kina nani?, hao walionanunua hao watumwa babu zetu, walifanya nini watumwa wote wanaume?, na wanawake walitumikaje!. Fungueni tuu thread kuhusu ya Wema na Ukarinu wa Waarabu kwa Watumwa ili tuichangie!. Hii ni ya Maswali yasiyo na majibu kuhusu Ule uhuru bandia wa Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Pasco.
Pasco umeuliza ni kitu gani kilisababisha kiti cha UN kufutwa jibu ni hili hapa.Mkuu Bilali Bini Rabaha, thread ya msingi ni ile ya kwanza, umeelewa unajibu, hujaelewa unakaa kimya!. Unapokuwa humuelewi mtu wala hata usijisumbue kujangia, kuna threads kibao humu unaziweza kuzielewa, au hata uamuzi wa ku log off ni wa busara zaidi kuliko kujaza savers kwa usichokielewa!. Main topic ipo, hizo hoja nyingine si zifunguliwe topic zake tutachangia!. Lengo ni to keep focus!.
Merry X-mass.
Pasco
Siwajua, naomba unijuze hao makomredi ni kina nani na wanahusika vipi na mada ya msingi?!.
Pasco
Mkuu Hemedi Didati, hoja hujibiwa kwa hoja!, hoja za iongo hupanguliwa kwa hoja za ukweli!. Mada kuu ni thread start, ile mada kuu ya msingi!, mengine yote ni mengineyo!. Nenda kwenye mada ya msingi, chambua uongo, weka ukweli tusonge mbele!.
Pasco.