THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Pasco anaonesha kaanza kuingiwa na uchizi wana ukumbi
Itazameni kwa umakini hiyo ID YA Nikupateje utaona hapo mwishoni kamalizia na kauli yake ya kuandika jina lake Pasco,,
Jasho linamtoka kwa sasa,hii ni uthibtisho kwamba anatumia IDS nyingi kuandika na kujijibu yeye mwenyewe,lakini haitamsaidia,
Siku zote njia ya mwongo ni fupi,ndio kwa maana analalama huu mjadala ufungwe kwa kuwa anajua jamaa zake wamemkimbia na kila mtu kampuuza,amedhalilika kias kwamba anataman hata kuihama hii JF,
Hata ukimwaga chozi,bakora bado zinakusubirii.
Inatia simanzi kiasi fulani,
Kwahiyo sasa anachokifanya ni kuandika na kujijibu yeye mwenyewe??
Attention seeker,thats why nimemuulize yule bwana mshume kiyate kwamba huyu pasco ana akili timamu??usikute watu wanaumiza akili kuhangaika na majinuun huyu.