Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Pasco anaonesha kaanza kuingiwa na uchizi wana ukumbi

Itazameni kwa umakini hiyo ID YA Nikupateje utaona hapo mwishoni kamalizia na kauli yake ya kuandika jina lake Pasco,,

Jasho linamtoka kwa sasa,hii ni uthibtisho kwamba anatumia IDS nyingi kuandika na kujijibu yeye mwenyewe,lakini haitamsaidia,

Siku zote njia ya mwongo ni fupi,ndio kwa maana analalama huu mjadala ufungwe kwa kuwa anajua jamaa zake wamemkimbia na kila mtu kampuuza,amedhalilika kias kwamba anataman hata kuihama hii JF,

Hata ukimwaga chozi,bakora bado zinakusubirii.

Inatia simanzi kiasi fulani,

Kwahiyo sasa anachokifanya ni kuandika na kujijibu yeye mwenyewe??

Attention seeker,thats why nimemuulize yule bwana mshume kiyate kwamba huyu pasco ana akili timamu??usikute watu wanaumiza akili kuhangaika na majinuun huyu.
 
Wewe unasema nini saa hizi? jina la Salma Said alileta nani hamu kwnye hii nyuzi kwa mara ya kwanza na kwa mantiki ipi. Si umemvulia heshima yake humu, au umesahau? licha ya kuleta jina la Salma Said humu na kutujuza kuwa ni wako kimapenzi ukaja na kututukana kuwa dada zet wa gerezani wakikupapatikia ulipokuwa RTD.

Sasa huyo ndio Salam Said uliyemvunjia heshima humu na kujisifu sifa za kijinga kupitia jina lake. Tumeweka picha wasiomjuwa wamjuwe mtu uliyemvunjia heshima. Licha ya kukusihi na kukuomba uachane na hayo, ukaendelea kejeli na tashtiti.

Nna uhakika Wazanzibari wanakusoma humu na unakwenda huko kama ulivyosema, nna uhakika ukifika huko utakuwa na mengi ya kuwajibu.
Mkuu Zomba, pamoja na ubinaadamu wetu, na masikhara yoyote humu jamvini, pia ujue Mungu yupo na japo mimi sio Mungu, nakuapia kwa Jina La Mungu, utalaanika!. Kitendo cha kuileta picha ya dada wa watu asiye na kosa lolote, na kuiweka humu kwa ill motive ili kumchafulia na kunijengea chuki, kitakugharimu kupitia sheria kuu kuliko zote ya "karma!" Huko ni kumdhalilisha mtu asiye na kosa lolote kwa nia ya kunikomoa mimi!.

Ni kweli nimetaja mahala kuwa namfahamu Salma Saidi, jee unaweza kuiweka hiyo posti nilimzunguzia nini?, au kwa vile nimesema namfahamu vipi?.

The only way ku reverse the bad karma is to do the right thing baada ya kuujua ukweli!. Nakuomba kwa heshima yake, kwanza ondoa picha yake na zile insinuations ulizoziweka!.

Tiachane na mengine yote, jiulize ndani ya dhamira yako kwa haki, jee hayo unayoyasema dhidi ya binti wa watu ndiyo niliyoyasema kumhusu yeye?!.

Wale mnaonitukana mimi, nitukaneni hadi mwisho wa uwezo wenu wa kutukana, nawaomba msiwaingize wasiohusika!. Nakuomba tuwatendee haki wengine ambao unaweza kuwaharibia!. Naomba fikiria impact ya ulichoandika juu ya huyu dada na matokeo yake kwa familia yake, jamii yake na sisi wana media kwa ujumla!.

Please do the needful, kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako!.

"Karma" is real!
Pasco.

NB. Modes ikitoka mapimzikoni, nawaomba mtupie macho hii thread!.
 
Pasco una ID'S NGAPI??

Ama kwa kweli umechanganyikiwa ona unakuja na IDS zingine bila hata kujua kuwa unajianika ujinga wako zaid,

hii Nikupateje umeifungua lini??tokea 2009??

Kweli kutetea DONA ni kazi na shughuli pevu sana wallahi

Mohamed,

Kwa taarifa yako juzi tu, through Private masage, nimetoka kumuomba Pasco namba yake ya simu ili tuanze mawasiliano nje ya JF kuhusu research ya hili!!!

Je, hata kama ingekuwa Pasco amekujibu via separate ID, pangua hoja yake maana hiyo ID ya pili hajaja na hoja kwamba amefungua ID bali kaleta sunstannsive contribution ambayo akili yako haikweuza kuifikia.

Panua akili utaweza kujibu hoja nyingi humu JF.

Ukiangalia hoja zangu humu utaona Pasco ni mmoja wa wanaonipa like nyingi. Toa na wewe watakupa like akiwemo Pasco.

Kupanua akili ni rahisi sana. Soma vitabu, usikimbilie viroba.
 
Mkuu Zomba, pamoja na ubinaadamu wetu, na masikhara yoyote humu jamvini, pia ujue Mungu yupo na japo mimi sio Mungu, nakuapia kwa Jina La Mungu, utalaanika!. Kitendo cha kuileta picha ya dada wa watu asiye na kosa lolote, na kuiweka humu kwa ill motive ili kumchafulia na kunijengea chuki, kitakugharimu kupitia sheria kuu kuliko zote ya "karma!" Huko ni kumdhalilisha mtu asiye na kosa lolote kwa nia ya kunikomoa mimi!.

Ni kweli nimetaja mahala kuwa namfahamu Salma Saidi, jee unaweza kuiweka hiyo posti nilimzunguzia nini?, au kwa vile nimesema namfahamu vipi?.

The only way ku reverse the bad karma is to do the right thing baada ya kuujua ukweli!. Nakuomba kwa heshima yake, kwanza ondoa picha yake na zile insinuations ulizoziweka!.

Tiachane na mengine yote, jiulize ndani ya dhamira yako kwa haki, jee hayo unayoyasema dhidi ya binti wa watu ndiyo niliyoyasema kumhusu yeye?!.

Wale mnaonitukana mimi, nitukaneni hadi mwisho wa uwezo wenu wa kutukana, nawaomba msiwaingize wasiohusika!. Nakuomba tuwatendee haki wengine ambao unaweza kuwaharibia!. Naomba fikiria impact ya ulichoandika juu ya huyu dada na matokeo yake kwa familia yake, jamii yake na sisi wana media kwa ujumla!.

Please do the needful, kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako!.

"Karma" is real!
Pasco.

NB. Modes ikitoka mapimzikoni, nawaomba mtupie macho hii thread!.

Nimekuwa kwa muda mrefu sana naufatilia huu mjadala,

Lakini nimegundua kwa sasa umeingia na woga baada ya kubain kwamba yale uliyosema yamekugharimu,kwani nimesoma huku pages za nyuma kwamba waungwana wameshazprint pages zako ulizoandika kashfa na kejeli dhidi ya huyu binti wa watu maskin asie na kosa lolote,sasa kama wewe umezifuta na kudhani unaweza ukapoteza ushahid basi utakuwa unarusha ngumi hewan dhidi yako wewe mwenyewe,nakuhurumia sana kwani mwisho wa uongo na uzandiki siku zote ni majuto na kudharaulika kama huku kunakokusibu wewe,

Hivi huoni kwamba hakuna hata mmoja anaekuunga mkono kwenye uzi huu??hii ni ishara kwamba wana JF walio wengi wamekupuuza na kukuachia segere hili ucheze nalo mwenyewe,kazi unayo safari hii.
 
Mimi ni Mswahili wa bara, hivyo nayaandika majina kwa jinsi ninavyoyatamka!. Kahawarizimu na Ahamedi Diidati!.
Kama hii nayo ni name calling, ama unaweza niripoti pia, unaweza kukisia ban ya siku ngapi itanitosha, naweza kujipa mwenyewe, leo ni week end, ma mode wote wako mapumziko mpaka kesho Jumatatu saa 3 asubuhi.
Hata mimi nimeomba thread hii ifungwe ili niifungue ile nyingine!.
Mfulilizo wa thread hizi ziko 5, zinatakiwa kutoka kabla ya kilele cha Sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.
Mada zenyewe ni hizi
  1. Part I-Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Maswali Bila Majibu Part I
  2. Part II-Jee nini Chanzo Halisi cha Mapinduzi ya Zanzibar na Nani Haswa Waipanga/Waliotekeleza
  3. Part III -Nani ni Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar!.
  4. Part IV -Kwanini Abedi Amani Karume, Aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar na hakushiriki?
  5. Part V- Baadhi Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!-"Mapinduzi Daima!"

Nasubiri tumalize hili tusonge mbele!.

Pasco.

Hivi weye unaubavu wa kumaliza huu uzi kweli ama wasubiri kuendeleza chafuzi zako na tambwe za ngono kisha ndo ulete matumboyo mangine?

Uliishia nukta gani vile ili waungwana waendeleze kutoa bayana zao juu ya kilichopotoshwa?

Pasco jibu hoja moja baada ya nyangine za maulizo uloulizwa ili tumalize Nukta ya kwanza na tukusafishe matando na mapotoko yako yanokuzonga na watu waelewe nini kilipotoshwa ndani ya nyaka 50 ndani ya Zanzibar.
 
Mkuu Zomba, pamoja na ubinaadamu wetu, na masikhara yoyote humu jamvini, pia ujue Mungu yupo na japo mimi sio Mungu, nakuapia kwa Jina La Mungu, utalaanika!. Kitendo cha kuileta picha ya dada wa watu asiye na kosa lolote, na kuiweka humu kwa ill motive ili kumchafulia na kunijengea chuki, kitakugharimu kupitia sheria kuu kuliko zote ya "karma!" Huko ni kumdhalilisha mtu asiye na kosa lolote kwa nia ya kunikomoa mimi!.

Ni kweli nimetaja mahala kuwa namfahamu Salma Saidi, jee unaweza kuiweka hiyo posti nilimzunguzia nini?, au kwa vile nimesema namfahamu vipi?.

The only way ku reverse the bad karma is to do the right thing baada ya kuujua ukweli!. Nakuomba kwa heshima yake, kwanza ondoa picha yake na zile insinuations ulizoziweka!.

Tiachane na mengine yote, jiulize ndani ya dhamira yako kwa haki, jee hayo unayoyasema dhidi ya binti wa watu ndiyo niliyoyasema kumhusu yeye?!.

Wale mnaonitukana mimi, nitukaneni hadi mwisho wa uwezo wenu wa kutukana, nawaomba msiwaingize wasiohusika!. Nakuomba tuwatendee haki wengine ambao unaweza kuwaharibia!. Naomba fikiria impact ya ulichoandika juu ya huyu dada na matokeo yake kwa familia yake, jamii yake na sisi wana media kwa ujumla!.

Please do the needful, kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako!.

"Karma" is real!
Pasco.

NB. Modes ikitoka mapimzikoni, nawaomba mtupie macho hii thread!.
Hivi kuna matusi kama ulivyotukana sisi na dada zetu wa gerezani ulivyokuwa unafanya nao ngono kama ulivyosema walikuwa wanakufuata wenyewe ulivyokuwa RTD.

Nani kakuambia Mods wapo mapumzikoni haujaona wameiamisha thread yako ya Karume.

Pasco kutuka utukane wewe kulalamika ulalamike wewe.
 
Ni uelewa wako mdogo tu kujua nini tofauti ya absoulte Monarch na constitutional monarch. Kama hujui faida za constitutional monarch basi hata Tanganyika ilikaa chini ya constitutional monarcy kwa mwaka mmoja tangu 1961 hadi 1962.

Britain, Canada, Australia, New Zearland kote huko kuna constitutional monarchy.

Kama huoni faida ya hiyo sysytem basi iambie Tanzania ijiondoe kwenye CHOGM ambayo kwa mbali kidogo unaweza kuifananisha na constitutional monarch huku Head of CHOGM akiwa Britain Monarch.

Pasco

Teh teh teh mkuu Pasco mungu kakuangaza umejitekenya mwenyewe halafu ukacheka mwenyewe.
 
Nimekuwa kwa muda mrefu sana naufatilia huu mjadala,

Lakini nimegundua kwa sasa umeingia na woga baada ya kubain kwamba yale uliyosema yamekugharimu,kwani nimesoma huku pages za nyuma kwamba waungwana wameshazprint pages zako ulizoandika kashfa na kejeli dhidi ya huyu binti wa watu maskin asie na kosa lolote,sasa kama wewe umezifuta na kudhani unaweza ukapoteza ushahid basi utakuwa unarusha ngumi hewan dhidi yako wewe mwenyewe,nakuhurumia sana kwani mwisho wa uongo na uzandiki siku zote ni majuto na kudharaulika kama huku kunakokusibu wewe,

Hivi huoni kwamba hakuna hata mmoja anaekuunga mkono kwenye uzi huu??hii ni ishara kwamba wana JF walio wengi wamekupuuza na kukuachia segere hili ucheze nalo mwenyewe,kazi unayo safari hii.
Mkuu Alihaji Maliki Alishabazi, sio kuwa nimeingia woga bali kiukweli nimeumia sana toka ndani ya nafsi yangu kulitaja jina la binti wa watu kuwa ndiye aliyenipatia kitabu fulani, binti amechafuliwa, amesingiziwa uchafu wa ajabu, hadi picha yake imeletwa humu kwa sababu yangu!.

Huyu ni binti wa Kiislamu aliyelelewa Kiislamu kweli, ni mtu mchamungu, swala 5!. Tangu nimemfahamu hata kuuona unywele wake sijawahi, leo anazingiziwa makubwa yasio kifani!. Just imagine positition ya familia yake, wakiyaamini haya watamchukuliaje?. Kwa nini umzishie an innocent lady mambo maovu na machafu kiasi hiki hadi kuileta picha yake humu!.

Hii si haki hata kidogo na Mwenyeenzi Mungu, mwingi wa rehema ataliingilia kati kuhakikisha haki inatendeka!. Nimemuomba aliyeileta ile picha aiondoe!. Siafuta hata page moja!. Kumhusu huyo binti, hiki ndicho nilichosema
. Nikakisome wapi tena wakati kimeletwa humu jf, kitabu kizima kipo!. Ninayo nakala nimepewa na rafiki yangu binti wa Kizanzibari, yule mwanahabari Salma Said. Nimekisoma na kukisoma na kukisoma na humu jf pia ni mimi ndio nimekiweka
Kwaheri Ukoloni- Kwaheri Uhuru...Dk. Harith Ghassany ...

Hoja yangu kwenye uzi huu bado inasimama, bado kuna maswali mengi kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar kuliko majibu!.

Hoja yangu kwenye uzi huu, ni baadhi ya hoja zenye maswali yasiyo na majibu kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar!. Kuna vitu nimewauliza, majibu mnayo leteni!, majibu hamna, tulieni kimya kama mlivyitulia, tuacheni tuendelee na maandalizi ya kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tukimaliza tusherehekee Muungano Adhimu.
Hivi binti wa amekosa nini kustahili haya yaliolezwa humu!. Kwenye sheria ya defamation, ukifanya defamation yoyote kuhusu jambo lolote, lazima upeleke ushahidi ili kuuthibitisha lakini ukifanya defamation inayohusu chastity of a woman inaitwa defamation per se, hahitaji ushahidi wowote wa third part, unahukumiwa moja kwa moja!. Mimi nimelitaji jina kwenye jambo moja, safi la kheri, jina limerudishwa kwenye jambo jingine chafu la kuzushiwa tena la shari na udhalilishaji mkubwa!.
This is not fair hata kidogo!.
She doesn't deserve that!
Tuwe vyovyote tunavyokuwe sisi wenyewe kwa wenyewe ila tuwe fair kwa wengine1, tutende haki!.
Pasco.
 
Mkuu Zomba, pamoja na ubinaadamu wetu, na masikhara yoyote humu jamvini, pia ujue Mungu yupo na japo mimi sio Mungu, nakuapia kwa Jina La Mungu, utalaanika!. Kitendo cha kuileta picha ya dada wa watu asiye na kosa lolote, na kuiweka humu kwa ill motive ili kumchafulia na kunijengea chuki, kitakugharimu kupitia sheria kuu kuliko zote ya "karma!" Huko ni kumdhalilisha mtu asiye na kosa lolote kwa nia ya kunikomoa mimi!.

Ni kweli nimetaja mahala kuwa namfahamu Salma Saidi, jee unaweza kuiweka hiyo posti nilimzunguzia nini?, au kwa vile nimesema namfahamu vipi?.

The only way ku reverse the bad karma is to do the right thing baada ya kuujua ukweli!. Nakuomba kwa heshima yake, kwanza ondoa picha yake na zile insinuations ulizoziweka!.

Tiachane na mengine yote, jiulize ndani ya dhamira yako kwa haki, jee hayo unayoyasema dhidi ya binti wa watu ndiyo niliyoyasema kumhusu yeye?!.

Wale mnaonitukana mimi, nitukaneni hadi mwisho wa uwezo wenu wa kutukana, nawaomba msiwaingize wasiohusika!. Nakuomba tuwatendee haki wengine ambao unaweza kuwaharibia!. Naomba fikiria impact ya ulichoandika juu ya huyu dada na matokeo yake kwa familia yake, jamii yake na sisi wana media kwa ujumla!.

Please do the needful, kuwa mkweli toka ndani ya nafsi yako!.

"Karma" is real!
Pasco.

NB. Modes ikitoka mapimzikoni, nawaomba mtupie macho hii thread!.

Uwache kulaanika wewe uliyekuja kutamba humu kuwa ni mwanamke wako. Wewe hauko timamu kichwani.

Wewe ulimtaja wa nini humu Salma Said? na baada ya muda kidogo ukawataja na dada zetu wa gerezani.

Unaongelea kuhusu niilete post wakati hata post yangu umeichakachuwa na kuipeleka jukwaa lingine, utashindwa kuichakachuwa hiyo uliyoileta mwenyewe?

Unachokataa ni nini wewe? si mimi tu niliyekutahadharisha kuhusu kuandika hovyo na kukejeli mabinti zetu na dada zetu. Ikafikia mpaka mtu mzima akakuasa inafaaa uwe unasikiliza. Ulivyoandika na kutukejeli kwa kutumia jina la Salma Said ulimaanisha nini? utani?

Hiyo dua yako itanifikiaje wakati wewe ni tayari umeshalaaniwa wala sina haja ya kukulaani tena, kwanza siruhusiwi kulaani mtu, lakini wewe ni tayari, ungekuwa huna laana ya Mwenyeezi Mungu usingekuwa unaandika kama mwehu humu kukejeli mabinti zetu, wazee wetu na dada zetu na hata ulipoaswa na jamii ukajifanya huoni wala husikii. Mpaka watu wakafikia kukwambia wewe moyo wako ndio wenye maradhi, au hizo post wewe unazigongea like lakini huzisomi?

Huyu Binti yetu uliyemtukana tumekuwekea hapa umuone vizuri alivyo, na watu wamuone haiba yake halafu uje Laana mmoja kama wewe ukamtukana humu na kututukana sote halafu ulitaka tukukalie kimya?

Nilikwambia andika bila kejeli hukunielewa. Na nnakuambia tena, ukiandika kisheshima na adabu basi na sisi wote tutakuonesha heshima na adabu mara 10 yako, na ukituletea dharau na kejeli na sisi tutakuonesha mara elfu. Uchaguzi ni wako.

Shika adabu yako na adabu ikushike, ama endelea nasi tuendelee kukushikisha adabu.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako.
 
Mkuu Alihaji Maliki Alishabazi, sio kuwa nimeingia woga bali kiukweli nimeumia sana toka ndani ya nafsi yangu kulitaja jina la binti wa watu kuwa ndiye aliyenipatia kitabu fulani, binti amechafuliwa, amesingiziwa uchafu wa ajabu, hadi picha yake imeletwa humu kwa sababu yangu!.

Huyu ni binti wa Kiislamu aliyelelewa Kiislamu kweli, ni mtu mchamungu, swala 5!. Tangu nimemfahamu hata kuuona unywele wake sijawahi, leo anazingiziwa makubwa yasio kifani!. Just imagine positition ya familia yake, wakiyaamini haya watamchukuliaje?. Kwa nini umzishie an innocent lady mambo maovu na machafu kiasi hiki hadi kuileta picha yake humu!.

Hii si haki hata kidogo na Mwenyeenzi Mungu, mwingi wa rehema ataliingilia kati kuhakikisha haki inatendeka!. Nimemuomba aliyeileta ile picha aiondoe!. Siafuta hata page moja!. Kumhusu huyo binti, hiki ndicho nilichosema

Hivi binti wa amekosa nini kustahili haya yaliolezwa humu!. Kwenye sheria ya defamation, ukifanya defamation yoyote kuhusu jambo lolote, lazima upeleke ushahidi ili kuuthibitisha lakini ukifanya defamation inayohusu chastity of a woman inaitwa defamation per se, hahitaji ushahidi wowote wa third part, unahukumiwa moja kwa moja!. Mimi nimelitaji jina kwenye jambo moja, safi la kheri, jina limerudishwa kwenye jambo jingine chafu la kuzushiwa tena la shari na udhalilishaji mkubwa!.
This is not fair hata kidogo!.
She doesn't deserve that!
Tuwe vyovyote tunavyokuwe sisi wenyewe kwa wenyewe ila tuwe fair kwa wengine1, tutende haki!.
Pasco.

Wewe mnafik muongo na mzandik na spinner unabadilisha maneno kama kadondo. Wewe uliyekuja kutamba humu kuwa huyo binti kidogo akusilimishe, umesahau?

Wewe nani atakuamini? post yangu umeibadili maneno na kuifungulia nyuzi na kui edita kutia uharo wako.Halafu bado una credibilty ya kuongea humu ukasikilizwa?

Eti kusema amenipa kitabu, umesema zaidi ya kukupa kitabu, tusingekuzozomokea humu. Usijifanye ni hodari wa spinning watu wanazidi kukuona ni --------.

Wewe ungejuwa maana ya "defamation" ungetuletea visa vya umalaya wako na kuwasingizia dada zetu Gerezani? au hiyo si defamation?
 
Hiyo dua yako itanifikiaje wakati wewe ni tayari umeshallaniwaa wal sina haja ya kukulaani tena kwanza siruhusiwi kulaani mtu, lakini wewe ni tayari, ungekuwa huna laana ya Mwenyeezi Mungu usingekuwa unaandika kama mwehu humu kukejeli mabinti zetu, wazee wetu na dada zetu na hata ulipoaswa na jamii ukajifaanya huoni wala husikii. Mpaka watu wakafikia kukwambia wewe moyo wako ndio wenye maradhi, au hizo post wewe unazigongea like lakini huzisomi.

Huyu Binti yetu uliyemtukana tumekuwekea hapa umuone vizuri alivyo, na watu wamuone haiba yake halafu uje Laana mmoja kama wewe ukamtukana humu na kututukana sote halafu ulitaka tukukalie kimya?

nilikwambia andika bila kejeli hukunielewa. Na nnakuambia tena, ukiandika kisheshima na adabu basi na sisi wote tutakuonesha adabu mara 10 yako, na ukituletea dharau na kejeli na sisi tutakuonesha mara elfu. Uchaguzo ni wako.

Shika adabu yako na adabu ikushike, ama endelea nasi tuendelee kukushikisha adabu.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako.
Mkuu Zomba, with due respect, haya uliyoandika humu kumhusu huyu binti ndiyo niliyoyasema humu kuhusu yeye?!.
Mlengwa wenu si ni mimi?!, Unapomsingizia mtu wa watu, mtu muadilifu, mwenye heshma zake, mwenye staha zake, 24/7 ndani ya hijabu sijapata hata kuuona unywele wake mmoja, Mwislam safi wa swala 5, halafu unamsingizia mambo makubwa, mabaya, machafu, maovu kama haya ili nionekane mimi ndio nimemtaja kwa hayo ili iweje?!.
Naomba tusiendeleze the damage already done!.
I rest my case
Asante kwa michango yako na wengine wote asanteni kwa michango yenu!.
Pasco

Mode kwa heshima ya jukwaa hili, wakiendelea kudefame wengine, nitakuomba kwa heshma na taadhima uufunge huu uzi kwa sababu hakuna mwenye jibu la maana kuhusu hoja ya msingi ya uzi huu.
Natanguliza shukrani.
 
Uwache kulaanika wewe uliyekuja kutamba humu kuwa ni mwanamke wako. Wewe hauko timamu kichwani.

Wewe ulimtaja wa nini humu Salma Said? na baada ya muda kidogo ukawataja na dada zetu wa gerezani.

Unaongelea kuhusu niilete post wakati hata post yangu umeichakachuwa na kuipeleka jukwaa lingine, utashindwa kuichakachuwa hiyo uliyoileta mwenyewe?

Unachokataa ni nini wewe? si mimi tu niliyekutahadharisha kuhusu kuandika hovyo na kukejeli mabinti zetu na dada zetu. Ikafikia mpaka mtu mzima akakuasa inafaaa uwe unasikiliza. Ulivyoandika na kutukejeli kwa kutumia jina la Salma Said ulimaanisha nini? utani?

Hiyo dua yako itanifikiaje wakati wewe ni tayari umeshalaaniwa wala sina haja ya kukulaani tena, kwanza siruhusiwi kulaani mtu, lakini wewe ni tayari, ungekuwa huna laana ya Mwenyeezi Mungu usingekuwa unaandika kama mwehu humu kukejeli mabinti zetu, wazee wetu na dada zetu na hata ulipoaswa na jamii ukajifanya huoni wala husikii. Mpaka watu wakafikia kukwambia wewe moyo wako ndio wenye maradhi, au hizo post wewe unazigongea like lakini huzisomi?

Huyu Binti yetu uliyemtukana tumekuwekea hapa umuone vizuri alivyo, na watu wamuone haiba yake halafu uje Laana mmoja kama wewe ukamtukana humu na kututukana sote halafu ulitaka tukukalie kimya?

Nilikwambia andika bila kejeli hukunielewa. Na nnakuambia tena, ukiandika kisheshima na adabu basi na sisi wote tutakuonesha heshima na adabu mara 10 yako, na ukituletea dharau na kejeli na sisi tutakuonesha mara elfu. Uchaguzi ni wako.

Shika adabu yako na adabu ikushike, ama endelea nasi tuendelee kukushikisha adabu.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako.
Mkuu zomba

Umeongea maneno mazito sana, tuendelea mjadala ngoma atakavyopiga Pasco ndivyo tutakavyoicheza.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zomba, with due respect, haya uliyoandika humu kumhusu huyu binti ndiyo niliyoyasema humu kuhusu yeye?!.
Mlengwa wenu si ni mimi?!, Unapomsingizia mtu wa watu, mtu muadilifu, mwenye heshma zake, mwenye staha zake, 24/7 ndani ya hijabu sijapata hata kuuona unywele wake mmoja, Mwislam safi wa swala 5, halafu unamsingizia mambo makubwa, mabaya, machafu, maovu kama haya ili nionekane mimi ndio nimemtaja kwa hayo ili iweje?!.
Naomba tusiendeleze the damage already done!.
I rest my case
Asante kwa michango yako na wengine wote asanteni kwa michango yenu!.
Pasco

Mode kwa heshima ya jukwaa hili, wakiendelea kudefame wengine, nitakuomba kwa heshma na taadhima uufunge huu uzi kwa sababu hakuna mwenye jibu la maana kuhusu hoja ya msingi ya uzi huu.
Natanguliza shukrani.
Mkuu Pasco

Hii mpya JF member anaanzisha uzi anataka majibu hayapendayo members wenzake wasipo mjibu anatoa amri kwa Mods uzi ufungwe, hii ni forum siyo kijiwe cha porojo.
 
Last edited by a moderator:
. Hawakukuta mtu!, inasemekana mwanzo visiwa hivi vilikaliwa na Wahadimu na Watumbatu, ila hakuna kumbukumbu yoyote ya kihistoria inayoonyesha Sultan Sayyid Said hakunegotiate na yoyote kuvitwaa visiwa vile as if aliviokota!. Yaani alipofika hakukuta wenyewe!. Ila excavations na ruins ndio zilithibitisha kuwepo maisha kabla ya Waarabu!. Inamaanisha waliokuwepo waliteketea wote!, au waliteketezwa!, maana Waarabu! usipime!.

Sio kama Kilwa Hassan Bin Amiri, alikinunua kisiwa cha Kilwa kwa wenyeji kwa gharama ya kitambaa cha kukizunguka kisiwa chote!.

Katika safari za Ibin Batuta, anazungumzia wenyeji wa Kilwa na sio wenyeji wa Zanzibar!.

Ya Zanzibar ni kama ile hadithi ya Bistani ya Aden ni Ngorongoro Creater!, Dr. Richard Leakey na Mkewe ndiko walikolivumbua fuvu la mtu wa kale kabisa anayesemekana atakuwa ndio Adamu!.
Pasco

Wacha uongo. Dr. Leakey alivumbua fuvu sehemu inayotwa Olduvai Gorge na si Ngorongoro crater.

Ikiwa mambo ya huku kwenu bara huyajui, utayajua ya Zanzibar?

Ushahidi: Louis and his wife Mary held firm to this belief through decades of exploring sites in Tanzania and Kenya, and in 1959 their faith was vindicated when they uncovered the first of many hominid fossils at Olduvai Gorge.

Source: A Century of the Leakey Family in East Africa » A Century of the Leakey Family in East Africa
 
Mkuu Alihaji Maliki Alishabazi, sio kuwa nimeingia woga bali kiukweli nimeumia sana toka ndani ya nafsi yangu kulitaja jina la binti wa watu kuwa ndiye aliyenipatia kitabu fulani, binti amechafuliwa, amesingiziwa uchafu wa ajabu, hadi picha yake imeletwa humu kwa sababu yangu!.

Huyu ni binti wa Kiislamu aliyelelewa Kiislamu kweli, ni mtu mchamungu, swala 5!. Tangu nimemfahamu hata kuuona unywele wake sijawahi, leo anazingiziwa makubwa yasio kifani!. Just imagine positition ya familia yake, wakiyaamini haya watamchukuliaje?. Kwa nini umzishie an innocent lady mambo maovu na machafu kiasi hiki hadi kuileta picha yake humu!.

Hii si haki hata kidogo na Mwenyeenzi Mungu, mwingi wa rehema ataliingilia kati kuhakikisha haki inatendeka!. Nimemuomba aliyeileta ile picha aiondoe!. Siafuta hata page moja!. Kumhusu huyo binti, hiki ndicho nilichosema

Hivi binti wa amekosa nini kustahili haya yaliolezwa humu!. Kwenye sheria ya defamation, ukifanya defamation yoyote kuhusu jambo lolote, lazima upeleke ushahidi ili kuuthibitisha lakini ukifanya defamation inayohusu chastity of a woman inaitwa defamation per se, hahitaji ushahidi wowote wa third part, unahukumiwa moja kwa moja!. Mimi nimelitaji jina kwenye jambo moja, safi la kheri, jina limerudishwa kwenye jambo jingine chafu la kuzushiwa tena la shari na udhalilishaji mkubwa!.
This is not fair hata kidogo!.
She doesn't deserve that!
Tuwe vyovyote tunavyokuwe sisi wenyewe kwa wenyewe ila tuwe fair kwa wengine1, tutende haki!.
Pasco.

Yaani muda wote ulotukwepa hapa jamvini na baada ya kukuambi haki ya kuwa mtu wa kujua sheria ukawa wewe....?!

Ndo kijimtindo ulichokichagua na kuona chafaa kuleta hapa tena?

Suala hilo huna hila yoyote iwayo ya kulikwepa, utatujibu tu, na ziada ya kujibu utaenda kulithibisha pale TBC ili waajiri wako waone kazi uifanzayo,

Pia naona kanakwamba waelekea changanyikiwa vile...!

Sasa ushike la huyo binti yetu ama la wale wa gerezani nakuhakikishia hukwepi hapo utaeleza tu hiyo miufidhuliyo ulikiiandika hapa kufurahisha ama kumaanisha....?!

Na kama ni jokes jukwaalevhulitambui weye mzinzi ama ni kukoswa ya bisara?

Pia ukimaliza twaezakugeiya ofa ya kuchomoa/ kunyofoa tena hili la binti yetu na ikalifungulia uzi kama ulivyofanza katika ule wa nyaka 50 za mapinduzi navkukimbia na kipande cha maneno ya wake za Abeid Amani Karume kama Kipanga kwa kukifungilia Uxi ili tu kupata huruma na bahati mbaya pia bado ukawa umeangukia PUA....!!

Joja zimekushinda jibu au usamehewe kwa upuuzi/matusi uloyazagaza kwa watu hapa jamvini?
 
Wewe mnafik muongo na mzandik na spinner unabadilisha maneno kama kadondo. Wewe uliyekuja kutamba humu kuwa huyo binti kidogo akusilimishe, umesahau?

Wewe nani atakuamini? post yangu umeibadili maneno na kuifungulia nyuzi na kui edita kutia uharo wako.Halafu bado una credibilty ya kuongea humu ukasikilizwa?

Eti kusema amenipa kitabu, umesema zaidi ya kukupa kitabu, tusingekuzozomokea humu. Usijifanye ni hodari wa spinning watu wanazidi kukuona ni --------.

Wewe ungejuwa maana ya "defamation" ungetuletea visa vya umalaya wako na kuwasingizia dada zetu Gerezani? au hiyo si defamation?
Mkuu Zomba kosa langu kubwa ni kuwa very frank, ukiwa mkweli mno ni tatizo!. Yote niliyoyasema humu ni mkweli mtupu tatozo ni tafsiri.

Tukubali tukatae kuna mambo mazuri yanafanyika katika jamii zetu ambayo ndio tunapenda kuyataja, ila pia kuna mambo mabaya yanayo fanyika katika jamii zetu tunapenda kuyaficha, yasitajwe.

Mfano kwa wakazi wa Dar es Salaam miaka ile kuna mambo fulani, yalianzia club moja maarufu ikiitwa Maggots, fanya utafiti waanzilishi ni kina nani?!. Nyingi ya zile nyumba za maeneo fulani ya zamani, wamiliki ni kina mama, mama zetu, fanya utafiti baadhi yao walizijenga hizo nyumba kivipi au walizimiliki vipi, utashindwa kuamini!. Tukiingia kwenye ukweli wa aina hii, tutaishia kuleta malumbano ya kunyoosheana vidole kuwa nimetikana watu humu!.

Naanza kukubali ukweli mno pia sometimes sio kitu kizuri, haswa ukweli wenyewe kama ni ukweli mchungu wa kuudhi!.

Kwa sasa mjadala umeisha na haya ni mengineyo tuu ambayo yanapelekea nifanye tafakari yakinifu kama mada hizi ziendelee au zisiendelee kufuatia mchafuko wa hali ya hewa ya uzi huu!.

Mada zenyewe ni hizi

  • Part I-Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar: Maswali Bila Majibu Part I
  • Part II-Jee nini Chanzo Halisi cha Mapinduzi ya Zanzibar na Nani Haswa Waipanga/Waliotekeleza
  • Part III -Nani ni Shujaa Halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar!.
  • Part IV -Kwanini Abedi Amani Karume, Aliyakimbia Mapinduzi ya Zanzibar na hakushiriki?
  • Part V- Baadhi Matunda ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni Muungano Adhimu!-"Mapinduzi Daima!"
Nafanya tafakuri kama nizipandishe au laa, nitaisikiliza dhamira yangu (listening to myself, the voices from within) kisha utekelezaji utafuatia.Pasco.
 
Mkuu Alihaji Maliki Alishabazi, sio kuwa nimeingia woga bali kiukweli nimeumia sana toka ndani ya nafsi yangu kulitaja jina la binti wa watu kuwa ndiye aliyenipatia kitabu fulani, binti amechafuliwa, amesingiziwa uchafu wa ajabu, hadi picha yake imeletwa humu kwa sababu yangu!.

Huyu ni binti wa Kiislamu aliyelelewa Kiislamu kweli, ni mtu mchamungu, swala 5!. Tangu nimemfahamu hata kuuona unywele wake sijawahi, leo anazingiziwa makubwa yasio kifani!. Just imagine positition ya familia yake, wakiyaamini haya watamchukuliaje?. Kwa nini umzishie an innocent lady mambo maovu na machafu kiasi hiki hadi kuileta picha yake humu!.

Hii si haki hata kidogo na Mwenyeenzi Mungu, mwingi wa rehema ataliingilia kati kuhakikisha haki inatendeka!. Nimemuomba aliyeileta ile picha aiondoe!. Siafuta hata page moja!. Kumhusu huyo binti, hiki ndicho nilichosema

Hivi binti wa amekosa nini kustahili haya yaliolezwa humu!. Kwenye sheria ya defamation, ukifanya defamation yoyote kuhusu jambo lolote, lazima upeleke ushahidi ili kuuthibitisha lakini ukifanya defamation inayohusu chastity of a woman inaitwa defamation per se, hahitaji ushahidi wowote wa third part, unahukumiwa moja kwa moja!. Mimi nimelitaji jina kwenye jambo moja, safi la kheri, jina limerudishwa kwenye jambo jingine chafu la kuzushiwa tena la shari na udhalilishaji mkubwa!.
This is not fair hata kidogo!.
She doesn't deserve that!
Tuwe vyovyote tunavyokuwe sisi wenyewe kwa wenyewe ila tuwe fair kwa wengine1, tutende haki!.
Pasco.

Ukikoswa la kheri shari ndo stahikiyo, utambaji wako na imwamba wa uzinzi wako u-wepi tena?

Yaani hivi sasa baada ya kushauriwa na jamaazo kuwa kwa ulichokifanyiza ni katika makosa ndo umetanabahi kuwa binti yule ulikimkashifu ati ndo usala tano kaushika?!

Endelea na kejeli zako za kutuandika majina namna utavyo lakini kwa hili huchomoki katu kipanga weye,

Naona hujui hata cha kuandika leo,

Umebaki kodoa mimacho tu kama umetiwa pilipili matoni mwako,

Huja za mabwana bado unajeuri za kuzijibu ama ndo umepoteza mwelekeo kabisa?
 
Wacha uongo. Dr. Leakey alivumbua fuvu sehemu inayotwa Olduvai Gorge na si Ngorongoro crater.

Ikiwa mambo ya huku kwenu bara huyajui, utayajua ya Zanzibar?

Ushahidi: Louis and his wife Mary held firm to this belief through decades of exploring sites in Tanzania and Kenya, and in 1959 their faith was vindicated when they uncovered the first of many hominid fossils at Olduvai Gorge.

Source: A Century of the Leakey Family in East Africa » A Century of the Leakey Family in East Africa
Mkuu zomba

Huu uzi umejaa upuuzi mwingi mno ndiyo maana Pasco anataka ufungwe, kazi ndiyo imeanza kudadavua kila post yake.
 
Last edited by a moderator:
Huu Uzi toka umeanza nautupia jicho kwa ukaribu sana Pasco kubali kuwa wewe umekosa tena sana,ni wewe ndio ulieanza kumdhalilisha Yule bint japo umewahi kufuta ushahidi lakini umechelewa sana waungwana tulishachukua screen shot muda mrefu,
Nashangaa kuwa unakataa kuwa hujasema lolote baya kuhusu yule bint,
Ni nani aliyesema kama sio dini ungekuwa shemeji yao? Hapo ulimkusudia nani?
Ukiendelea kubisha mimi nitaweka picha ya ushahidi wa comment yako kuhusu Salma
 
Last edited by a moderator:
Wacha uongo. Dr. Leakey alivumbua fuvu sehemu inayotwa Olduvai Gorge na si Ngorongoro crater.

Ikiwa mambo ya huku kwenu bara huyajui, utayajua ya Zanzibar?

Ushahidi: Louis and his wife Mary held firm to this belief through decades of exploring sites in Tanzania and Kenya, and in 1959 their faith was vindicated when they uncovered the first of many hominid fossils at Olduvai Gorge.

Source: A Century of the Leakey Family in East Africa » A Century of the Leakey Family in East Africa
Mkuu Zomba, hii ya kufundishwa kwa ku kremu tuu majina kuwa Fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa Olduvai Gorge na kuishia hapo tuu kumeponza wengi bila kujua hiyo Olduvai iko wapi haswa!.

Sio kosa lako hata sisi zamani tulifundishwa Mlima Kilimajaro uko Moshi, then mtu anaandika humu Mlima Kilimajari uko Mkoa wa Kilimajaro, mtoto uliekremisha unaibuka na kusema hapana, hauko Kilimajaro bali uko Moshi!. Kwa kukusaidi tuu, Olduvai iko Ngorongoro!.

Baada ya kuvumbuliwa hilo fuvu hapo Oldudai, kwa kudhaniwa ndio la Adamu, msako wa kuisaka bustani ya Adeni ukafanywa ndipo ile Ngorongoro Creater ikaonekana ni mahali stahiki!.

Baadae limeishavumbuliwa fuvu la kale zaidi, bustani yake ya Edeni bado haijapatikana!.

Nendelea kusisitiza hoja yangu kuu humu imekwisha bila majibu, haya ni mengineyo tuu!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom