Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Huyo alitembelea jengo la UN akaenda ofisi za ubalozi wa Tanzania UN.

Sasa fikiria kesi ya nyani uipeleke kwa ngedere.

Aseme UN alionana na nani zaidi ya maafisa ubalozi wa Tanzania? Katibu Mkuu wa UN? Naibu Katibu Mkuu UN? Baraza la Usalama wa UN? au alitembelea jengo la UN kama mtalii tu? (kuna program pale ya watalii wanaotembelea jengo la UN).

Jibu lake hapo utacheka.
Mkuu Zomba, nilitembelea UN kama visiting journalist, na nadhani mimi ndie mwanahabari wa kwanza private kutoka nchini Tanzania kuripoti UN General Assembly mara 3, nikitokea New York. Waandishi wengine wote private wameanza kwenda na awamu ya JK. Journalist wote wanaoripoti GA wana full access na viongozi wote wa dunia hii kwa kuhudhuria press co zao au kufanya appointment. Mimi sikufanya appointment na yoyote!.

Mwaka huu nitakwenda tena na this time nitairipotia JF, live from New York!.

NB. Sio huko tuu, pia ni mimi ndie niliyeiripotia JF process yote ya maridhiano nikitokea Baraza la Wawakilishi na nilizuiliwa na kutolewa nje ya baraza na ni yule yule dada yenu mliyemsingizia humu, aliyenisaidia nikaruhusiwa kuendelea kuutangaza muafaka!.(mseme tena nimewatukana!).

Ni mimi ndie niliyeutangaza ule ushindi wa CUF 1995, uliopelekea kituo changu kupigwa faini kwa kutangaza matokeo ya halali!.

Ni mimi ndie nilyepiga zile picha za vurugu za 1996, na nilishikwa kituo cha Mwembe Madema nikiwa na Ali Saleh na Mwandishi wa gazeti la Majira. Nikanyang'wa kamera ya DV, polisi wakaniambia niwaonyeshe picha nilizopiga, nikawaambia sijapiga picha!. Wakaichukua kamera kuipeleka TVZ, Mungu bariki, TVZ walikuwa bado wako VHS, DV hawajui, wakairudisha na kuthibitisha hakuna picha!. Nikafukuzwa Zanzibar under escort. Kufika bara, jioni mimi mwenyewe nikatangaza vurugu za Zanzibar na picha juu!. Ulimwengu ukaona!. Picha hizo zilipelekea Kituo cha DTV kupigwa marufuku Zanzibar!.

Pia ni mimi niliyetangaza zile vurugu za Mwembechai nikiwa in a line of fire!. Japo ni mwandishi wa habari, backround yangu ni jeshini, JWTZ kikosi cha Paratrouper!. Naombeni msiniulize kwanini niliondoka jeshini!.

Pia ni mimi nakuja kuwatangazia wana jf, maandimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nikitokea uwanja wa Amani hapo Zanzibar!.
Pasco.
 
Pasco,
Dk. Harith Ghassany tukizungumza kwa simu yeye akiwa Maryland, Washington
mimi nikiwa Ngamiani Tanga nilimpa fikra zangu za siku za mwisho za Kassim
Hanga
kabla hajauliwa.

Ghafla akanambia anataka kunirekodi ili maneno yangu ayatumie katika kitabu.
Alifanya hivyo.

Pasco ikiwa umekisoma kitabu utayakumbuka haya meneno yangu hapo chini:

''Kuwa Hanga ndiye aliyekuwa kinara wa Mapinduzi ya Zanzibar hili si jambo
lenye utata tena. Ikiwa hivyo ndivyo Hanga hatoweza kuutua mzigo wa roho
zilizopotea katika mapinduzi hayo.

Ikiwa Hanga atalaumiwa kwa vifo vya maelfu ya Wazanzibari nani alaumiwe
kwa umauti uliomfika Hanga tena kwa kuuliwa kishenzi kwani hapana neno
zaidi ya hilo linaloweza kutosheleza kuelezea jinsi Hanga alivyouliwa.

Kichekesho kikubwa ni kuwa wale waliopoteza roho kwa hiyo kutangulia mbele
ya haki, yao yalikuwa yamekwisha. Lakini kwa wale wajane na mayatima
waliobakia nyuma wakihangaika, kifo cha Hanga na wenzake katika wale
waliofanikisha mapinduzi kuuliwa kwao kulikuwa muujuza wa aina yake,
uchawi usioelezeka nani fundi wake.

Ilikuwa vigumu kueleza. Ingeeleweka vyema endapo kisasi cha kuitoa roho
ya Hanga kingetimizwa kutoka katika mikono ya maadui zake waliopinduliwa.
Haikuwa hivyo.

Wale wajane na mayatima walililipiziwa kisasi na watu waliokuwa maadui
wakubwa wa waume na baba zao waliopinduliwa. Vipi Hanga kiongozi mkuu
wa mapinduzi aje kuwa adui wa mapinduzi yenyewe kiasi cha kuwa hukumu
ya kumtosheleza haikuwa kifo tu bali kifo cha kishenzi.

Fikra ya Hanga ilikuwajealipokuwa peke yake ndani ya selo Ukonga Prison…
usiku ukimpita bila ya hata lepe la usingizi akiwaza yanayomkabili. Nini kilikuwa
kikipitika katika ubongo wake wakati wauaji wake walipomtoa katika selo yake
na yeye akawakabili ilhali aikijua kuwa walikuwa wamekuja kuitoa roho yake.

Fikra yake ilikwenda wapi? Ilikwenda kwa Sultan Jamshid bin Abdullah
aliyempindua na kwa masultani wengi waliopita ambao wameiaga dunia mikono
yao ikiwa haina damu au kwa Abeid Amani Karume aliyeingia madarakani
kwa mapanga ya Wamakonde kutoka Tanganyika, wakata mkonge kutoka
Tanganyikawakifanya kazi mashamba ya Sakura na Kipumbwi? Fikra ya
Hanga ilielekea wapi? Kwa Nyerere aliyemsaliti?

Hakika ni wazi hakutegemea mapinduzi aliyoyasisi yangemgeukia na kuwa
sababuya yeye kutolewa roho kwa kuuliwa kishenzi. Jambo la kusikitisha ni
kuwa hadi pale alipokamatwa na kuwekwa jela Ukonga na kufikishwa mbele ya
mkutano wa hadhara na kuadhiriwa na Julius Nyerere tayari alikuwa
keshapoteza kila kitu achilia mbali dira ya mapinduzi aliyokusudia ingeongoza
Zanzibar.

Hanga
hakuwa kamwe na uwezo wa kumfanya Karume lolote kwani Karume
tayari alikuwa chini ya mbawa za Nyerere ngome ambayo Hanga asingeweza
kuitikisa achalia mbali kuibomoa. Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
ilikuwa hirizi tosha ya kumkinga Karume.

Katika mkasa wa kuuliwa kwa Hanga ndipo msemaji mmoja akasema, “Maiti
toka makaburini mwao walionyesha ujuzi wa kufanya miujiza na uchawi wao
kwani laiti kifo cha Hanga kingesababishwa na wale waliopinduliwa kisasi
chake kingekuwa cha kutisha. Ilibidi Hanga kwa miujiza ya maiti zile auliwe
na wale wale aliowaweka madarakani watu ambao hapakuwepo na sababu
ya wao kumuona adui.”

Halikudondoka chozikwa kifo cha Hanga. Kila aliyepata mnong’ono wa kuuliwa
kwake alikuwa kimyakama vile ile taarifa ile ya kifo haimuhusu.''

Pasco,
Hii ni moja katika visa vingi vya kusikitisha katika historia ya mapinduzi ya
Zanzibar.

Maujai ya kishenzi, mateso na udhalilishaji ambao sina ujasiri wa kueleza hapa.

Sina ujasiri kwa kuwa hawa waliouliwa ndugu, jamaa na rafiki zao bado wa
hai.

Wasingependwa kukumbushwa machungu haya yaliyo wafika ndugu zao.

Nakuuliza Bwana Pasco.
Kuna utukufu gani katika historia kama hii?

Na Hanga hakuuliwa na Waarabu.

Ndiyo toka mwanzo nikakuonya kukuambia kuwa wewe huna makamo ya
kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar.

Hii ndiyo sababu hadi leo hajapata mtu yoyote kutoka Zanzibar kuandika
chochote kuhusu kitabu Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.

Hata hao makomredi ambao wanahusishwa na mapinduzi hadi leo
hawajanyanyua kalamau.

Inawezekana kuwa Wazanzibari wengependa sana kusahau uovu
uliopita.

image001.jpg
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Kassim Hanga ni huyo aliyekaa chini ya jukwaa kavaa miwani. Aliyevaa sare ya polisi ni Hamza Aziz kushotoni
kwake ni Andrew Shija aliyevaa pama. Aliyekaa mbele ya Kassim Hanga ni Omari Londo. Nyerere ndiye huyo
katika ulingo akihutubia. Hapo ni Mnazi Moja. Baada ya mkutano huu Hanga alirejeshwa Zanzibar na huko
akauawa mwaka 1967 au 1968
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Maalim Mohamed Said, asante kwa hoja hii, japo nzuri, hapa sii mahali pake, fanya subra kwenye muendelezo, utazileta.
Kwa wale wanaendelea kutukana, tukaneni mpaka mwisho wa uwezo wetu kutukana, na kiukweli, msidhani ndio mnaniumiza, mimi nawahurumia kwa sababu naamini kabisa kuwa mtu kuwa kichaa, sio lazima mpaka aikote makopo!.
Pasco.
Pasco
 
Mkuu Zomba, nilitembelea UN kama visiting journalist, na nadhani mimi ndie mwanahabari wa kwanza private kutoka nchini Tanzania kuripoti UN General Assembly mara 3, nikitokea New York. Waandishi wengine wote private wameanza kwenda na awamu ya JK. Journalist wote wanaoripoti GA wana full access na viongozi wote wa dunia hii kwa kuhudhuria press co zao au kufanya appointment. Mimi sikufanya appointment na yoyote!.

Mwaka huu nitakwenda tena na this time nitairipotia JF, live from New York!.

NB. Sio huko tuu, pia ni mimi ndie niliyeiripotia JF process yote ya maridhiano nikitokea Baraza la Wawakilishi na nilizuiliwa na kutolewa nje ya baraza na ni yule yule dada yenu mliyemsingizia humu, aliyenisaidia nikaruhusiwa kuendelea kuutangaza muafaka!.(mseme tena nimewatukana!).

Ni mimi ndie niliyeutangaza ule ushindi wa CUF 1995, uliopelekea kituo changu kupigwa faini kwa kutangaza matokeo ya halali!.

Ni mimi ndie nilyepiga zile picha za vurugu za 1996, na nilishikwa kituo cha Mwembe Madema nikiwa na Ali Saleh na Mwandishi wa gazeti la Majira. Nikanyang'wa kamera ya DV, polisi wakaniambia niwaonyeshe picha nilizopiga, nikawaambia sijapiga picha!. Wakaichukua kamera kuipeleka TVZ, Mungu bariki, TVZ walikuwa bado wako VHS, DV hawajui, wakairudisha na kuthibitisha hakuna picha!. Nikafukuzwa Zanzibar under escort. Kufika bara, jioni mimi mwenyewe nikatangaza vurugu za Zanzibar na picha juu!. Ulimwengu ukaona!. Picha hizo zilipelekea Kituo cha DTV kupigwa marufuku Zanzibar!.

Pia ni mimi niliyetangaza zile vurugu za Mwembechai nikiwa in a line of fire!. Japo ni mwandishi wa habari, backround yangu ni jeshini, JWTZ kikosi cha Paratrouper!. Naombeni msiniulize kwanini niliondoka jeshini!.

Pia ni mimi nakuja kuwatangazia wana jf, maandimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, nikitokea uwanja wa Amani hapo Zanzibar!.
Pasco.
Mkuu Pasco

Naona baada kuwashawishi Mods wafunge huu uzi wako kushindika, ukaamua kuanga na kufunga mjadala.

Umerudi tena safari umekuja kwa mtindo mpya kwa nini hii historia yako fupi ya maisha yako usiifungulie uzi mpya au nayo inahusu Mapinduzi ya Zanzibar.

Karibu tena Jamvini kila post utakayoandika watu wanaisubiri kwa hamu kama vile kipanga kaona kifaranga.

Subiri majibu mengine murua kutoka kwa vichwa vya madrassa wanywa kahawa.
 
Last edited by a moderator:

Haya yote uliyoandika hapa siyo mahala pake nakushuri tena yafungulie uzi, na sikia wewe ndiyo wa kwanza pale gerezani kufuatwa na wanawake ulipokuwa RTD.
 
Nimeipenda hii! Duuh…Pasco wewe ni kiboko
 
Uishaishiwa wewe, leo mateso ni hakiyo weye mja mkoswa na makini sasa wembe hulia na damu kwa kukoswa kwako umakini,

Hukuuficha wako uso kwa waungwana pindi ukijitapa kwa kashfa na mbwembwe, mambo sasa yamekuzenga, leo waandika na kuzunguka uso tini, huruma akupe nani?

Ulifikiri si neno maovu kuyasifia kwako ukaona fakhari,

Kushukuru kwako ni kitu kigeni na hutobahatika kukipata,

Laakini kwako hatutaraji geni, kama ambavyo hukuwa na uwezo na huna uwezo wa kuwaza mwisho itakuwa nini....!

Jamvi limekuwia zito kama tani 12 za mchanga,

Sasa hayo yahusuni katika mambo uloulizwa pale na waungwa?

Pasco,
Lile ulizo langu juu ya idadi ya wale binti zetu wa Kizanzibar akiwemo Bi' Salma binti Said na wale wa Gerezani, juu ya kwamba hukubahatika kupata nao japo hata mwana mmoya au ....?

Naomba jibu, nataraji umerekebika japo kidogo kwani huwezi niambia kuwa wale binti zetu hukupata jifunza uungwana japo wa dharura,

Tafadhal nisaidie hayo maulizo yangu.
 
Maalim Mohamed Said, asante kwa hoja hii, japo nzuri, hapa sii mahali pake, fanya subra kwenye muendelezo, utazileta.
Kwa wale wanaendelea kutukana, tukaneni mpaka mwisho wa uwezo wetu kutukana, na kiukweli, msidhani ndio mnaniumiza, mimi nawahurumia kwa sababu naamini kabisa kuwa mtu kuwa kichaa, sio lazima mpaka aikote makopo!.
Pasco.
Pasco

Pasco
Kweli unahizaya ya Mungu, yaani matusi yaandikwe na weye, kisha kujibiwa na kuekewa wazi yako matusi kwako imekuwa matukano?

Sasa toka kwako tujifunze nini? Tusaidie namna utakayo ya kukujibiza, ikiwa utatumia yale maneno ambayo uishayazoeya ambayo ni ......manina, .....mako, .....nyoko, .....mayo n.k, ambayo ulikiyakiri kuwa kwako huezi badili katu,

Wapendi tuwe twarejeza vipi baaya ya kutuletea hayo hapo juu?
 
Pasco, nilikuonya kuhusu kuamsha mizimu, unaona sasa? Mizimu imepanda! Ghadhabu, chuki, hasira...yaani mioyo ya watu ishawekwa rehani kwa shetwani! Na bado. Pamoja na yote, historia kwa maana yake halisi haibadiliki na hata pale inapojaribu kupindishwa haitakubali.

Mag3,

Hapo "Muheshimiwa" unakua mnafiki na mzandiki mno kama dasturi yako,pia inakua hukitendei haki yake hicho kinyago chako cha mpapure kiitwacho Pasikali aka Pasco!? Teeh! Teeh! Teeh!

Wewe ndo Sheitwani Bint Iblis,ambae inalazim utie maguu yako hapa jamvini ili japo kiduchu uje tuzungumze kitaaluma na kunyambua yalo mangi kwa utuvu ulokubuhu...kama awali yetu!?

Maana huyo Msukuma mwenzio hapa keshachemsha kama unavyoshuhudia...yaani kabakiza makhanatha tu,nasi hatumwachi asilan,yaani twenda naye hivyo hivyo japo yutaabani!? Teeh! Teeh! Teeh!

Tafadhali Mag3,nakusihi thubutu tia maguu yako yalojaa ndunda humu!...ili tuzungumze japo kwa staha na hishma zako za kuazima ili tunyambue yayo kitaaluma na undani Yakhe!? Khalaf uone nitakavyokuadhibu humu tartib tena kwa starehe nyingi mno!?

Acha kusemea pembeni ewe Mwana-Ziwa Vikitoria...kuja hapa jamvini upambane! Wewe si unadai yakuwa unaijua mno history tena kitaaluma na kwa undani ati kwakuwa yule Nyerere wenu alikuleta kuwa mlevi hapo Mwambao/Mzizima during 60's,na wafahamu mangi kuhusu WanaMwambao na Zanzibar yetu!?

Yaani hayo yoote matusi,kebehi,tashtit,zahma,zilzala,apambani,tafrani na mangineyo mangi alotufanzia huyo Mwana-Ziwa Vikitoria mwenzio Pasikali aka Pasco hapa jamvini...hivi huyaoni/hukuyaona!? Yaani sisi kujaribu kumweka sawa ndo wangia kati weye ati kujaribu kumtetea!? Duh! Huna hata soni/tahayuri Yakhe!?

Sasa nakusihi,tumia huo utu uzima wako na ingia humu! Wallahi, Mag3,nakuhakikishia yakuwa kama utangia kwa staha na stahamala japo za kuazima...nasi abadan, hapana atokudhuru asilan,zaidi ya majibizano tu ya hoja tashrif za kitaaluma na hisham ilo njema,Ok!? It's a deal!!

Nafanza sabra na stahamala kukusuburia ewe Mwana-Ziwa Vikitoria Mag3 na Kikundi chako/chenu!?Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.

Cc;Faby
 
Mkuu Pasco

Naona baada kuwashawishi Mods wafunge huu uzi wako kushindika, ukaamua kuanga na kufunga mjadala.

Umerudi tena safari umekuja kwa mtindo mpya kwa nini hii historia yako fupi ya maisha yako usiifungulie uzi mpya au nayo inahusu Mapinduzi ya Zanzibar.

Karibu tena Jamvini kila post utakayoandika watu wanaisubiri kwa hamu kama vile kipanga kaona kifaranga.

Subiri majibu mengine murua kutoka kwa vichwa vya madrassa wanywa kahawa.

Haya yote uliyoandika hapa siyo mahala pake nakushuri tena yafungulie uzi, na sikia wewe ndiyo wa kwanza pale gerezani kufuatwa na wanawake ulipokuwa RTD.

Mkuu Ritz,

Nakusoma kwa utuvu ulo mwingi,khasa kwa hizo bayanazo mubashar! Teeh! Teeh! Teeh!

Niwia radhi Maulana Maalim wangu mtukufu,wajua kimya changu nalishikwa na mashughuli/wajib kiduchu wa Family...ndo maana nikatoweka! Si wajua tena hii holiday season Al Habiby!? Teeh! Teeh! Teeh!

Huyo Pasikali yaani pia ajiitae Pasco,asikushughulishe asilan,abadan Maalim wangu!

Ati kaweka silly/cheap profile yake!? Dah! Sasa hayo ndo majambo alokua akiwatishia Waungwana wengi mno maskini humu-JF! Dah!...lakini safari hii "tumemmalizia chumbe"!? Kudadeki zake! Teeh! Teeh! Teeh!

Kama yeyote mwenye maarifa embu na achungulie/aangaze japo kiduchu kuanzia posts/bayana zetu zoote za awali humu,na watajionea wenyewe jinsi gani tulianza kwa staha na taadhima kuzungumza na huyo Pasikali!?

Lakini kama dasturi ya mlaanifu Pasikali au kwa jina lake la kutongozea kishamba hapo mjini ati ajiita Pasco,akatuchukulia ule uungwana wetu for granted na kujaribu ku-take liberty!? Dah!...No bloody way this time!...yale alotufanzia yule Afrit Nyerere yashatuchosha mno!

Nipa fursa kiduchu nipitia yalojiri humu!

Tupamoja Mkuu.

Ahsanta.
 
ni yule yule dada yenu mliyemsingizia humu, aliyenisaidia nikaruhusiwa kuendelea kuutangaza muafaka!.(mseme tena nimewatukana!).

Si nilisema "jibu la hapo utacheka", umeyakinisha niliyoyasema sasa kama si vichekesho ni nini hivi ulivyojibu? umeulizwa mengine umeleta utumbo mwingine kabisa, lakini kama kawaida yangu, ntakujibu moja moja, tena ntaanzia hili la huyu binti yetu ambalo mpaka sasa bado unaliendeleza na kujaribu kutetea ujinga wako:

Nilikuwekea matusi yako uliyomtukana binti yetu na dada zetu wa Gerezzani, nnadhani hujayasoma, rudia tena:
quote_icon.png
By Pasco

Mkuu Zomba, with due respect, haya uliyoandika humu kumhusu huyu binti ndiyo niliyoyasema humu kuhusu yeye?!.
Mlengwa wenu si ni mimi?!, Unapomsingizia mtu wa watu, mtu muadilifu, mwenye heshma zake, mwenye staha zake, 24/7 ndani ya hijabu sijapata hata kuuona unywele wake mmoja, Mwislam safi wa swala 5, halafu unamsingizia mambo makubwa, mabaya, machafu, maovu kama haya ili nionekane mimi ndio nimemtaja kwa hayo ili iweje?!.
Naomba tusiendeleze the damage already done!.
I rest my case
Asante kwa michango yako na wengine wote asanteni kwa michango yenu!.
Pasco

Mode kwa heshima ya jukwaa hili, wakiendelea kudefame wengine, nitakuomba kwa heshma na taadhima uufunge huu uzi kwa sababu hakuna mwenye jibu la maana kuhusu hoja ya msingi ya uzi huu.
Natanguliza shukrani.
Jisome mwenyewe hapa halafu useme nimekusingizia nini?

quote_icon.png
By Pasco

Asante kwa links hizo, kumhusu Dr. Ghassany, naomba fungua hii link hapa, soma tarehe ya hii thread, angalia nilisema nini kumhusu Dr. Ghassany, by the time nachangia hapa nilikuwa nimeishasoma kitabu siku nyingi na nilipewa na dada yenu, Mtoto wa Kiarabu hapo Zanzibar!, tena mnabahati sisi haturuhusiwi kuoa zaidi ya mara moja!, ningembadili dini na leo hii ningekuwa shemeji yenu!. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa ...
Leo nimekiweka ili wengi zaidi wakisome, ili nitakapoanza kukibomoa, tuweze kwenda sambamba.
Pasco

Ulikuwa unamaanisha nini hapo? mpaka kufikia kumkejeli yeye huyu Binti yetu pamoja na sisi. Hivi ulifikiri kututangazia hayo ulikuwa unafanya mema kwake au kwetu sisi? Mpaka Maalim Mohamed Said akaja kukutanabahisha:

quote_icon.png
By Mohamed Said

Pasco kuwa muungwana. Hata sie lugha hizo twaziweza. Ushemeji hauelemei upande mmoja. Kuwa na adabu.

Lakini hukumuelewa na ukaendelea kutoa kejeli zako ukaingia mpaka kututukania dada zetu wa Gerezani. Umesahau?
quote_icon.png
By Pasco

La ushemeji, si nimesema ninge!, au hasira na kumbadili dini mtu?!. Mbona wabara wengi wamesilimishwa kwa ajili hiyo!. Bara Zanzibar dugu moja!. Hata mitaa yako hapo Gerezani, tumepita sana tuu, wakati huo nikiwa RTD, walikuwa wanakuja wenyewe!. Ujana nao una ushetani wake, basi tuu saa hizi ungekuta labda niliishasilimishwa zamani nikiitwa Mkwe!. Basi tuu!.
Pasco.

Bado tu unataka kusema hujatutukana sisi na binti zetu na dada zetu?

Jee, majibu hayo bado tu hayakutoshi kuonesha kuwa ulitutukana? niongeze mengine?

Unazidi kuonesha ni vipi u punguani na mpaka ma mods wamekudharau ombi lako la kuufunga huu uzi.

...Ulinywe.
 
Mkuu Zomba, nilitembelea UN kama visiting journalist, na nadhani mimi ndie mwanahabari wa kwanza private kutoka nchini Tanzania kuripoti UN General Assembly mara 3, nikitokea New York. Waandishi wengine wote private wameanza kwenda na awamu ya JK. Journalist wote wanaoripoti GA wana full access na viongozi wote wa dunia hii kwa kuhudhuria press co zao au kufanya appointment. Mimi sikufanya appointment na yoyote!.

Hahahahahaha, Yale yale, ulienda "private" tour, sasa umeyakinisha niiyoyasema ulienda kama mtalii tu. Hakuna zaidi.
 
Nimeipenda hii! Duuh…Pasco wewe ni kiboko

Mkuu,

Mbona hujamuomba huyo Pasikali aka Pasco aongezee kwenye hiyo profile yake,ule uharamia wake wa ngono alokua akifanza wakti yupo RTD na mpaka hivi sasa kueneza maradhwi kwa Dada zetu wasio na hatia maskini!? Dah!

Nafikiri unaufuatilia huu mnakasha kwa utuvu na umejaribu kuchungulia bayana zoote japo kiduchu!?...basi itakua umejionea jinsi gani huyo Mkatoliki mwenye ati "Wake wanne" alivyotukana humu!? Duh!

Huoni itakuwa hajaitendea haki ile cheap/silly profile yake kwa kutojumuisha na yale makhanatha yake mangineyo alotujuza humu!?

Au Mkuu Mshikachuma wewe ndo huyo Pasikali aka Pasco mwenyewe!? Duh!

Maana Mkuu Bondia Muhammad Ally amemfuatilia huyo jamaa na ametuhadharisha yakuwa baada ya kuchemsha...hivi sasa Pasikali aka Pasco ana multiple ID's!? Duh! Mambo ya Pasikali bana yanahuzunisha mno! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta sana.
 
Hahahahahaha, Yale yale, ulienda "private" tour, sasa umeyakinisha niiyoyasema ulienda kama mtalii tu. Hakuna zaidi.

Mtaalam Al Khabaru Maalim Ulamaa Ibn Maarifa Al Zomba!

Nijaalia fursa kuzungumza nawe japo kiduchu ewe Maulana Ibn Maarifa!?

Nachukua dhima na faghari hii ilotukuka kukupa pongezi na hongera zilo nyingi mno toka kwetu sisi Wana Chadema Tawi la Tengeru kwa Nabii...kwa kumvuruga,kumgarafaza na kumchana kitaaluma huyo kauzu Pasikali aka Pasco!

Unajua ameishi humu-JF miaka mingi mno kwa kujikweza status ya ati "usomi"/"Mwanahabari Nguli" na utoto wa mjini asokua nao! Yaani ametutesa mno sisi misukule ya Chadema! Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Hivi sasa baada ya wewe Mkuu Zomba kumvuruga na kumchana kitaaluma huyo kauzu Pasikali...imetusaidia nasi pia kumfahamu yakuwa ni ndondosa/kanjanja tu kama sisi misukule ya Chadema!? Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwanini Mkuu Zomba usjiunge na hiki kikundi chetu cha Chadema...ili utusaidie pia kutokomeza ma-CCM mangine yajifanzayo ati ndo "wasomi"/"wanataaluma" humu-JF ili sisi Chadema tupumue kwa raha zetu!? Teeh! Teeh!Teeh!

Najua Pasikali atakuja kukanusha yakuwa ati hana Chama cha Siasa!? Teeh! Teeh!...kama ni hivyo kwanini unaishi mjini kwa kutapeli senti/pesa za Viongozi wa CCM,kwa kujifanza ati "Mwanahabari nguli"!? Duh!

Shukran saana kwa yoote Mkuu Zomba!...na twaendelea kukusoma Al Habiby!

Ahsanta sana.
 
Jee, majibu hayo bado tu hayakutoshi kuonesha kuwa ulitutukana? niongeze mengine?

Unazidi kuonesha ni vipi u punguani na mpaka ma mods wamekudharau ombi lako la kuufunga huu uzi.

...Ulinywe.

Mkuu Zomba,

Nimekusoma kwa utuvu ulo mwingi!

Sasa huyo kauzu bingwa wa kuijisifu ngono Pasikali aka Pasco...yeye kwenye post/s zake za awali humu anatuaminishia yakuwa ati ana "Wake wanne" walio kila pembe ya dunia!?

Khalaf hiyo post ulobandika hapo juu...yeye mwenyewe Pasco anaji-contradict kwa kudai yakuwa,ati Sisi tuna bakhti hakuweza kumuoa yule Dada'etu sababu wao/yeye haruhusiwi kuoa Wake "zaidi ya mmoja"!? Dah!

Hivi huyu kauzu Pasco huwa anajisoma na kupitia huu uharo wake kabla hajatuwekea hapa jamvini!? Teeh! Teeh! Teeh!

Vipi ile thread ilojaa unafiki na uharo mwingi wa kizandiki kuhusu ati "Wake Wa Mzee Karume"...hivi imeishia wapi!?

Nastaajab mno...hivi hawa ati ndo wajiitao Mods humu-JF wanafanza haki kweli!?

Huyu Pasikali aka Pasco...yaani kwa makusudi ame-distort ile post/comment yako na kujaribu kukufanzia character deformation ya hali juu kwa kuifungulia thread ya kinafiki!...khalaf ati hajafanzwa lolote na wala kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu japo kiduchu jamani,kama vile kanuni na tartib za JF zisemavyo!? Dah!

Ahsanta.
 
Wabara
Naona Pasco hana moyo tena wa mnakasha. Anakimbia hawezi tena. Ushauri wangu ni bora kumfungulia mlango atoke akatibu madonda yake.
Mkuu Maalim mohamed Said, sio sina hamu bali mnakasha huu umekwisha, umefikia kikomo, najiandaa kupandisha muendelezo. Mimi sii mmoja wa wale wakimbiao, bali niliamua kunyamanya baada ya kuona baadhi ya vichaa fulani humu na wenda wazimu fulani humu, wamepandisha wazimu wao, uzuri wa wazimu wa msimu hupanda kisha hushuka, hivyo kwa saa hizi hao wendawazimu, ule wazimu wao umetulia kidogo kusubiria mwezi me vu, hivyo nimerudi kwa haya mengineyo.
Bado nipo, nilikuwepo, na nitakuwepo sana!.
Mkuu Maalim Mohamed Said, Hawa vijana wako mbona hawajifunzi kwako?. Mimi sawa sijafunza kwetu na sasa ndio nafunzwa na walimwengu!. Kumbe mafunzo yenyewe ndio haya?!. Sasa hawa walichofunzwa ndicho hiki?!.
Endeleeni kunifunza ili nikiisha hitimu na mimi niyafungulie kama bomba!.
Pasco.
 
Pasco unakimbia vita. Sihitaji kukukumbusha kuwa mimi na hao wewe unawaita vijana wangu tulivunja rekodi hapa JF. Hatukukimbia mjadala. Tulikusimamisheni kwa miezi sita mpaka mkajua sie nani. Rudi uwanjani au toa mbukwa.
 
Maalim Mohamed Said, asante kwa hoja hii, japo nzuri, hapa sii mahali pake, fanya subra kwenye muendelezo, utazileta.
Kwa wale wanaendelea kutukana, tukaneni mpaka mwisho wa uwezo wetu kutukana, na kiukweli, msidhani ndio mnaniumiza, mimi nawahurumia kwa sababu naamini kabisa kuwa mtu kuwa kichaa, sio lazima mpaka aikote makopo!.
Pasco.
Pasco

Nilisema:

Pasco, nna uhakika yalioandikwa si kimo chako kwani uko too shallow. Hayo ni kwa wale wenye mioyo isiyokuwa na maradhi.

Maalim Mohamed Said ikiwa huyu Pasco hawakumbuki hata Makomred atakumbuka kweli hayo yaliopo kwenye kitabu? I doubt.

Si mahali pake?

Hapo unaulizwa huo Muungano "Mtukufu" ndio huu?

Nilikwambia kijana, "uko too shallow" na umeendelea kuyakinisha maneno yangu.
 
Maalim Mohamed Said, asante kwa hoja hii, japo nzuri, hapa sii mahali pake, fanya subra kwenye muendelezo, utazileta.
Kwa wale wanaendelea kutukana, tukaneni mpaka mwisho wa uwezo wetu kutukana, na kiukweli, msidhani ndio mnaniumiza, mimi nawahurumia kwa sababu naamini kabisa kuwa mtu kuwa kichaa, sio lazima mpaka aikote makopo!.
Pasco.
Pasco

Duh! Teeh! Teeh! Teeh! Yaani Mkuu Pasikali hapo ndo unazidi kuchemsha!

Yaani jinsi wachovu wenzio wengi wa maisha walivyokua wakikuona ati ndo wa maana...na hivi sasa wakisoma hizo comments zako jinsi unavyolalama!? Dah! Yaani umewaangusha wengi mno,khasa hao Wapuuzi walokutuma na ukakwapua senti zao maskini! Duh! Wee mtu unatisha! Teeh! Teeh! Teeh!

Yaani najaribu ku-imagine ati ndo Mwandishi nguli/Mwanataaluma yeyote mwenye japo maana zake kiduchu...basi asilan asingethubutu kuandika uharo kama huo ufanzavyo wewe!!

Yaani wewe unatoa amri ili Sheikh Mohamed Said ati akusuburie wewe kauzu Pasikali kufungua threads zako za kitapeli humu...khalaf yeye ndo umtumie kama bridge and/or buffer zone kwa materials na knowledge yake,ili kwako kufanikisha ubadhilifu wako wa kitaaluma siyo!? Duh!

Kwa taarifa yako...wewe hata ukifungua threads zako alfu,Sisi asilan wala Sheikh Mohamed Said hatutakuja!

Hii thread/mada uloianzisha ikakushinda...sisi tutakuendelezea "mziki" wako hapa hapa na Wana-JF na wasomaji wangine woote,tutawapa Ilm mwanana hapa hapa! Nawe pia salaam zako utazikuta!

Wewe Pasikali wala huitajiki,maana huna ulijualo!

Na hizo threads nyangine utakazofungua nakuhakikishia yakuwa zitadoda!...maana utabaki weye na "machogo" wenzio mlishane pumba zenu za kinafiki! Maana nyoote hamna mjualo kwayo,asilan!

Wewe Pasikali,huna hadhi wala asili hata ya kujua nini maana ya huruma!

Pitia bayana zako zoote za awali hapa jamvini,uone jinsi ulivyoharisha! Dah! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Sioni tofauti kati ya pasco na yule professor aliyesema zanzibar imeungana na zimbabwe. Wote wamekosea wote hawaijui historia ya zanzibar japokua yule professor alikosea/bahata mbaya tu lakini na wote WAMEUMBUKA. Sasa ivi pasco namwona kama yule mzee we ngonjera mzee wa nchi ya LEBANON iliyopo nyuma ya ikulu,yule aliyevuliwa uverified kwa kuendekeza uongo mpaka kumkana babake
 
Pasco unakimbia vita. Sihitaji kukukumbusha kuwa mimi na hao wewe unawaita vijana wangu tulivunja rekodi hapa JF. Hatukukimbia mjadala. Tulikusimamisheni kwa miezi sita mpaka mkajua sie nani. Rudi uwanjani au toa mbukwa.

Al Habiby Maulana Sheikh Mohamed Said,

Asalaam Alaykum.

Nakuamkua tu kiduchu,maana ni kitambo kinpita ewe wangu Maalim Tabib Al Maarifa!

Shukran kwa yoote...nami sitakwacha kukusoma kwa Ilm nzito utoazo bila khiyana kwetu sie nduguzo Watanga-Nyikwa na Wazanzibary!

Huyo Pasikali umuitae mbona kishikimbia mwana-kukimbia hoyo! Teeh! Teeh! Teeh!

Niwia radhi Maalim wangu,kicheko kintoka nami nalishindwa jizuia!...maana humu-JF pana nyangarakata kila upitapo Yaillahi! Dah!

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom