Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Balukta ndio nini?Balukta ndio suluhisho la matatizo ya Waislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balukta ndio nini?Balukta ndio suluhisho la matatizo ya Waislamu
Laki...Bado hauko sahihi, waislamu wengi wana iunga mkono BAKWATA, nenda kwenye ofisi za BAKWATA Temeke uone zilivyofurika waislsmu kwa ajili ya matatizo yao ya ndoa na mirathi, hakuna taasisi ya waislamu yenye nguvu zaidi ya BAKWATA, usipindishe ukweli
AsanteTUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA
"... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo.
Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru.
Ieleweke hapa kuwa kama tulivyokwisha eleza hapo nyuma, serikali nzima ya Tanzania ilikuwa mikononi mwa Wakristo na watendaji hawa walikuwa wapo chini ya Kanisa.
Hii ilikuwa na maana kuwa kilichotakiwa kuwepo ilikuwa taasisi ya Kiislam ambayo Kanisa itaweza kuiamuru.
Hii ilikuwa ni jambo lazima lifanyike ili kuwadhibiti Waislam kama nguvu inayoweza kuleta mabadiliko ya siasa.
Baada ya kuelewa hali hii ndipo sasa tunaweza kuuangalia kile kilichoitwa ‘’mgogoro’’ wa EAMWS’’ ambao ulidumu kwa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka wa 1968.
Ilituweze kuuelewa vyema kisa kizima cha ‘’mgogoro’’ ni muhimu kwanza kuelewa chanzo chake, hadhi za wahusika wakuu na nafasi zao katika ‘’mgogoro’’ ule.
Mwisho, ni muhimu kuweka bayana na kuchambua nafasi ya Julius Nyerere, serikali yake, chama cha TANU na vyombo vya dola katika ‘’mgogoro’’ ule.
Hii itasaidia kuelewa kama kweli ulikuwepo ‘’mgogoro’’ katika EAMWS, au ‘’mgogoro’’ ulibambikizwa na watu katika TANU, serikali na ndani ya Waislam wenyewe ili kuwadhoofisha Waislam kwa nia ya kuwa usije Uislam ukawa na nguvu katika Tanzania hivyo kuwawezesha Waislam kushika madaraka ya nchi."
(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998).
Jina rasmi la Mufti Mkuu ni Sheikh Hemed bin Jumaa bin Hemed, na sio Mufti Mkuu Sheikh Hemed bin Hemed.Mufti Mkuu Sheikh Hemed bin Hemed
Nani kakuongopea? Bakwata ndio taasisi inyoludisha nyuma maendeleo ya Waislamu viongozi wao wapo pale kwa maslahi ya matumbo yao na Serikali Bakwata haipo kwa ajili ya maslahi ya WaislamuBAKWATA ndio taasisi ya kiislamu yenye nguvu na umoja kuppita zote. Hizo taasisi nyingine ziko kwa maslahi ya watu wachache
Mwalim wangu Sheikh Mohammed Said Kila Sku nakuombea kwa Allah Akupe umri mref wenye Siha Tele ili uendelee kutupa Elim yenye Manufaa,,TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA
"... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo.
Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru.
Ieleweke hapa kuwa kama tulivyokwisha eleza hapo nyuma, serikali nzima ya Tanzania ilikuwa mikononi mwa Wakristo na watendaji hawa walikuwa wapo chini ya Kanisa.
Hii ilikuwa na maana kuwa kilichotakiwa kuwepo ilikuwa taasisi ya Kiislam ambayo Kanisa itaweza kuiamuru.
Hii ilikuwa ni jambo lazima lifanyike ili kuwadhibiti Waislam kama nguvu inayoweza kuleta mabadiliko ya siasa.
Baada ya kuelewa hali hii ndipo sasa tunaweza kuuangalia kile kilichoitwa ‘’mgogoro’’ wa EAMWS’’ ambao ulidumu kwa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka wa 1968.
Ilituweze kuuelewa vyema kisa kizima cha ‘’mgogoro’’ ni muhimu kwanza kuelewa chanzo chake, hadhi za wahusika wakuu na nafasi zao katika ‘’mgogoro’’ ule.
Mwisho, ni muhimu kuweka bayana na kuchambua nafasi ya Julius Nyerere, serikali yake, chama cha TANU na vyombo vya dola katika ‘’mgogoro’’ ule.
Hii itasaidia kuelewa kama kweli ulikuwepo ‘’mgogoro’’ katika EAMWS, au ‘’mgogoro’’ ulibambikizwa na watu katika TANU, serikali na ndani ya Waislam wenyewe ili kuwadhoofisha Waislam kwa nia ya kuwa usije Uislam ukawa na nguvu katika Tanzania hivyo kuwawezesha Waislam kushika madaraka ya nchi."
(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998).
Alwayz....Mwalim wangu Sheikh Mohammed Said Kila Sku nakuombea kwa Allah Akupe umri mref wenye Siha Tele ili uendelee kutupa Elim yenye Manufaa,,
Umetufaa wengi,tumetutoa Kizan wengi sana Na Inshallah Mola atakulipa Kheri ktk haya ya Kuutetea Dini yake kwa Kalamu yako adhim,,
Npo hapa nasubiria muendelezo inshallah ili nipate Elim nzur toka kwako,,
Maasaalaam
Kaka Naomba umuheshimu mzee wetu Mohamed Said maana yeye ni wazee wachache wanaoijua historia ya Taifa hili na haya mambo yakitokea alikuwepo haongei kwa Kubahatisha. Kwahio heshima itangulie jamani.Kwahiyo mlitaka muiamuru serikali,we mzee kubwa jinga kabisa,
Agrey...Kaka Naomba umuheshimu mzee wetu Mohamed Said maana yeye ni wazee wachache wanaoijua historia ya Taifa hili na haya mambo yakitokea alikuwepo haongei kwa Kubahatisha. Kwahio heshima itangulie jamani.
BAKWATA ndio taasisi pekee iliyosheheni viongozi mahiri,weledi na wabunifu.BAKWATA ndio taasisi ya kiislamu yenye nguvu na umoja kuppita zote. Hizo taasisi nyingine ziko kwa maslahi ya watu wachache
Hii ni historia hata angeandika mwingine bila hiana angesema hivi hiviMzee said Kila mara mada zako ni kuhusu uislam na kuonewa tuu, shida ni nini hasa mzee [emoji848][emoji848]
Umoja na amani wenye nia chafu dhidi ya Uislam na WaislamMkuu hoja za mzee zimejaa aibu na matusi dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,hujui ni madhara gani au ni malengo gani makubwa aliyonayo huyu mzee dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,anataka kuleta utengano na chuki za kidini baina ya watanzania.
Sio wa kuvumilia wala wa kuchekea,tunamjibu mpumbafu sawa na upumbafu wake
Hata hekima na maarifa sio umri,kuna wazee wajinga na wapumbafu pia.
Nimeuliza kwa sababu mara nyingi sana mada zake hua zimejikita kuona kwamba waislamu wanaonewa tuuHii ni historia hata angeandika mwingine bila hiana angesema hivi hivi
Uzalendo...Mzee kwahiyo unakiri kulikuwepo na mgogoro ndani ya EAMWS?
Papaya,Nimeuliza kwa sababu mara nyingi sana mada zake hua zimejikita kuona kwamba waislamu wanaonewa tuu
Papaya,Mzee said Kila mara mada zako ni kuhusu uislam na kuonewa tuu, shida ni nini hasa mzee 🤔🤔