Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

Bado hauko sahihi, waislamu wengi wana iunga mkono BAKWATA, nenda kwenye ofisi za BAKWATA Temeke uone zilivyofurika waislsmu kwa ajili ya matatizo yao ya ndoa na mirathi, hakuna taasisi ya waislamu yenye nguvu zaidi ya BAKWATA, usipindishe ukweli
Laki...
Ni kweli usemalo na wanakwenda pale kwa kuwa makadhi wako BAKWATA kwa sheria ya serikali.

Ingekuwa si hilo wasingekwenda.
 
TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA

"... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo.

Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru.

Ieleweke hapa kuwa kama tulivyokwisha eleza hapo nyuma, serikali nzima ya Tanzania ilikuwa mikononi mwa Wakristo na watendaji hawa walikuwa wapo chini ya Kanisa.

Hii ilikuwa na maana kuwa kilichotakiwa kuwepo ilikuwa taasisi ya Kiislam ambayo Kanisa itaweza kuiamuru.

Hii ilikuwa ni jambo lazima lifanyike ili kuwadhibiti Waislam kama nguvu inayoweza kuleta mabadiliko ya siasa.

Baada ya kuelewa hali hii ndipo sasa tunaweza kuuangalia kile kilichoitwa ‘’mgogoro’’ wa EAMWS’’ ambao ulidumu kwa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka wa 1968.

Ilituweze kuuelewa vyema kisa kizima cha ‘’mgogoro’’ ni muhimu kwanza kuelewa chanzo chake, hadhi za wahusika wakuu na nafasi zao katika ‘’mgogoro’’ ule.

Mwisho, ni muhimu kuweka bayana na kuchambua nafasi ya Julius Nyerere, serikali yake, chama cha TANU na vyombo vya dola katika ‘’mgogoro’’ ule.

Hii itasaidia kuelewa kama kweli ulikuwepo ‘’mgogoro’’ katika EAMWS, au ‘’mgogoro’’ ulibambikizwa na watu katika TANU, serikali na ndani ya Waislam wenyewe ili kuwadhoofisha Waislam kwa nia ya kuwa usije Uislam ukawa na nguvu katika Tanzania hivyo kuwawezesha Waislam kushika madaraka ya nchi."

(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998).

Asante
P
 
BAKWATA ndio taasisi ya kiislamu yenye nguvu na umoja kuppita zote. Hizo taasisi nyingine ziko kwa maslahi ya watu wachache
Nani kakuongopea? Bakwata ndio taasisi inyoludisha nyuma maendeleo ya Waislamu viongozi wao wapo pale kwa maslahi ya matumbo yao na Serikali Bakwata haipo kwa ajili ya maslahi ya Waislamu
 
TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA

"... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo.

Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru.

Ieleweke hapa kuwa kama tulivyokwisha eleza hapo nyuma, serikali nzima ya Tanzania ilikuwa mikononi mwa Wakristo na watendaji hawa walikuwa wapo chini ya Kanisa.

Hii ilikuwa na maana kuwa kilichotakiwa kuwepo ilikuwa taasisi ya Kiislam ambayo Kanisa itaweza kuiamuru.

Hii ilikuwa ni jambo lazima lifanyike ili kuwadhibiti Waislam kama nguvu inayoweza kuleta mabadiliko ya siasa.

Baada ya kuelewa hali hii ndipo sasa tunaweza kuuangalia kile kilichoitwa ‘’mgogoro’’ wa EAMWS’’ ambao ulidumu kwa miezi mitatu ya mwisho ya mwaka wa 1968.

Ilituweze kuuelewa vyema kisa kizima cha ‘’mgogoro’’ ni muhimu kwanza kuelewa chanzo chake, hadhi za wahusika wakuu na nafasi zao katika ‘’mgogoro’’ ule.

Mwisho, ni muhimu kuweka bayana na kuchambua nafasi ya Julius Nyerere, serikali yake, chama cha TANU na vyombo vya dola katika ‘’mgogoro’’ ule.

Hii itasaidia kuelewa kama kweli ulikuwepo ‘’mgogoro’’ katika EAMWS, au ‘’mgogoro’’ ulibambikizwa na watu katika TANU, serikali na ndani ya Waislam wenyewe ili kuwadhoofisha Waislam kwa nia ya kuwa usije Uislam ukawa na nguvu katika Tanzania hivyo kuwawezesha Waislam kushika madaraka ya nchi."

(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998).

Mwalim wangu Sheikh Mohammed Said Kila Sku nakuombea kwa Allah Akupe umri mref wenye Siha Tele ili uendelee kutupa Elim yenye Manufaa,,
Umetufaa wengi,tumetutoa Kizan wengi sana Na Inshallah Mola atakulipa Kheri ktk haya ya Kuutetea Dini yake kwa Kalamu yako adhim,,

Npo hapa nasubiria muendelezo inshallah ili nipate Elim nzur toka kwako,,
Maasaalaam
 
Alwayz....
Amin.
Nimeweka hadi sehemu ya nne.
Angalia utaziona zote.
 
Kwahiyo mlitaka muiamuru serikali,we mzee kubwa jinga kabisa,
Kaka Naomba umuheshimu mzee wetu Mohamed Said maana yeye ni wazee wachache wanaoijua historia ya Taifa hili na haya mambo yakitokea alikuwepo haongei kwa Kubahatisha. Kwahio heshima itangulie jamani.
 
Agrey...
Historia hii inawataabisha wengi.

Nakuwekea hapo chini niliyoandika muda mfupi kwenye Group yetu kuhusu EAMWS:

"Sheikh Jafar,
Haikutakiwa kwa Waislam waelimike kwa kiasi cha kuwafikisha wao kushika madaraka ya nchi.

Chuo Kikuu kilichokuwa kinajengwa na EAMWS kingewafikisha Waislam katika kiwango hicho.

Waislam walikuwa na nguvu na mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika ulikuwa unafahamika.

Miaka hiyo hakuna mtu aliyethubutu kusema ati Wakristo ni wengi kuwazidi Waislam Tanganyika.

Hii ndiyo hofu iliyokuwapo kuwa Waislam wakishika madaraka katika serikali Uislam utazidi kupata nguvu.

Hatua ya kwanza kuchukuliwa ilikuwa kuifuta historia ya uhuru wa Tanganyika.

Baada ya hapo ikawa kuzuia ujenzi wa Chuo Kikuu kwa kuipiga marufuku EAMWS.

Ndugu zangu Sheikh Jafar anahitaji kufahamishwa historia ya uhuru kwa utulivu na aachiwe kuwa huru kutoa mawazo yake."
 
BAKWATA ndio taasisi ya kiislamu yenye nguvu na umoja kuppita zote. Hizo taasisi nyingine ziko kwa maslahi ya watu wachache
BAKWATA ndio taasisi pekee iliyosheheni viongozi mahiri,weledi na wabunifu.
 
Mzee said Kila mara mada zako ni kuhusu uislam na kuonewa tuu, shida ni nini hasa mzee 🤔🤔
 
Mkuu hoja za mzee zimejaa aibu na matusi dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,hujui ni madhara gani au ni malengo gani makubwa aliyonayo huyu mzee dhidi ya umoja na amani ya nchi hii,anataka kuleta utengano na chuki za kidini baina ya watanzania.

Sio wa kuvumilia wala wa kuchekea,tunamjibu mpumbafu sawa na upumbafu wake

Hata hekima na maarifa sio umri,kuna wazee wajinga na wapumbafu pia.
Umoja na amani wenye nia chafu dhidi ya Uislam na Waislam
Umoja huu unaouwita wa amani,unamanufaa upande mmoja tu ambao ni wa Kanisa na Watu wake

Mumewakandamiza Waislam na bado mpaka leo hii mnawakandamiza eti kwa neno Umoja na amani

Pumbavu zako.
 
Mzee said Kila mara mada zako ni kuhusu uislam na kuonewa tuu, shida ni nini hasa mzee 🤔🤔
Papaya,
Tuchukue jambo moja kisha lingine.

Tuanze na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Historia ya kweli ilifutwa ikapachikwa nyingine.

Hii ilikuwa shida.

Kuondoa hii shida nikaandika kitabu cha Abdul Sykes.

Kitabu hiki ni maarufu naamini unakifahamu.
 
Back
Top Bottom