Kila mtu anawajibika kwa maisha yake, hao uliowaacha kijijini nao waendelee na maisha yao, tatizo letu ni fikra za ujamaa ndio bado zinatufanya hata kuondoka nyumbani tulikozaliwa kuona ni tatizo.mimi ninachoona kwamba watu hawakatazi mtu kwenda kujitafutia sehemu nyingine,watu hupata mstuko pale unapokata miaka zaidi ya 10+ bila kustuka na hata kujua uliyowaacha wanaishi vipi.
NB;HAPA NDIPO WATU WANAPOJARIBU KUTAFAKARI SHIDA NI NINI KUKATA MIAKA YOTE PASIPO KUSTUKA KURUD NYUMBAN
Hata wanyama hulea watoto, lakini wakikua basi huwaacha wajitegemee.
Ndugu sio jukumu lako, ni fikra tu.